Ubarikiwe sana ndugu rafiki yangu kwa burudisho tamu wa wimbo huo wa yesu kristo full mkonga wa kwetu wabembe mumejaliwa vipaji vingi vya kuimba aina zote zile za nyimbo
Ndugu ubarikiwe sana kwa huduma nayo hifanya, lakini ingekua niliona hiyo vidéo kabla hauja hi post, ninge kuambia uvute sehemu ambayo hiyo ndugu wa Comedy alipo tukana( fyoto ) mara mbili,, sababu huo ni wimbo wa Mungu na isingekua vizuri maneno hayo kusikika ndani ya wimbo.