Тёмный

JOYCE KIRIA - BOSS MAMA ANANIAMBIA NISIMLETEE HOUSE GIRL MWENYE SHAPE, MZURI NA ANAEFUGA NYWELE 

Dina Marios tv
Подписаться 284 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@Ann-z6q1e
@Ann-z6q1e 10 месяцев назад
Dada jois naomba kaz
@ashalaurent4722
@ashalaurent4722 4 года назад
Hahahahahaha hatari sana wivu muhimu jamani
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Mashallah, hongera sana Dada Joyce uko vizuri
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 года назад
Ttzo hawajiamini kina mama kwenye majumba yao kuna madada wengne tunajiexhimu tunaagalia kilichotupeleka from oman
@fatmaomary3981
@fatmaomary3981 3 года назад
Kweli dd nahuku Omani kwa warabu pia tu naona hataki wanao jua kuonga
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 4 года назад
Nimekuwa na wadada wakazi warembo hata sitoshi.. wakati nikilea watoto wangu. Sikuona chochote kibaya bora heshima idumu kutoka kwa mume na mambo yote yatakuwa sawa..tusiwakague na kuwabagua kwa urembo wao ni haki yao
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 года назад
Hapo Dada umeongea kweli m2 alipwe mapema hata sheria ya dini inasema mfanyakaz alipwe mapema km huna mwambie ttz tunazalaulika hatulipwi mapema
@fatumadiriye6162
@fatumadiriye6162 4 года назад
The superwoman the one and only 🙏🙏
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 года назад
Co kila mfanyakaz anataka mambo hayo
@rehemajackson8453
@rehemajackson8453 4 года назад
Hujielewi kwani weusi ndo wabayaaa
@beatricemtewele1557
@beatricemtewele1557 4 года назад
Dahaaa
@maryamselemanabdalah4086
@maryamselemanabdalah4086 4 года назад
Hiyo ni tabia tu ya mwanaume wote
@dayana5513story
@dayana5513story 4 года назад
Da joyce pls naitaji kazi nikirudi tz
@maryanomar119
@maryanomar119 3 года назад
Mimi nahitaji dada wa kazi za ndani nipo kenya
@salomesharif9709
@salomesharif9709 4 года назад
Dada Joyce naomba unipigie namba 0767830301 nahitaji wasichana 2 wa kazi
@khadijachacha9275
@khadijachacha9275 4 года назад
Bas anae kaa hapohapo ndie mwenye kazi kuliko anae kwenda na kurudi sababu ata usiku anafanya hapumziki
@dayana5513story
@dayana5513story 4 года назад
Mimi mshamba wa ulaya 😃😃😅
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 4 года назад
Mimi madamu wenye mashartin siwatakagii
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Uyu sophia ni mbaguzi, mfanyazi umpe mashart kiasi hicho.
@fatumamassamba4699
@fatumamassamba4699 4 года назад
Hilo lidada la ushungi lina roho mbaya tu shepu ndio nn
@Ann-z6q1e
@Ann-z6q1e 10 месяцев назад
Dada jois naomba kaz
Далее
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
MWANAMKE ASIEJITAMBUA - JOYCE KIRIA
1:58
Просмотров 2 тыс.
FAHAMU UKWELI KUHUSU PUMU YA NGOZI  -  JIONI YA LEO
30:43
MASANJA COMEDY INALIPA KULIKO UCHUNGAJI
36:21
Просмотров 1,7 тыс.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25