Jamani nikiona msanii kama huyu aliyewahi kutamba,Leo hii ndio huyu ameisha kwenye janga la mihadarati ...😢😢kweli nahisi uchungu Moyoni.....swali langu ni ,serikali imetulia tu kuwaona hao wasanii waishe hivyo??this man needs help sio kumcheka...he's a legend.
Jamaa anaongea kama mimi nikiwa nimechoka sanaaaa halafu ninausingizi, nikiulizwa swali na majibu yake hayafanani hata kidogo na ukiuliza tena unasemaa ndio kabsaaa naongea tofauti mwisho nazima kabisa😂
baba punguza changa na sauti kama chura , wewe sio star ulikuwa star lakini uliponza kuchagua jembe maana mkulima hachagui jembe, ulitwa kazi ukaendla kulewa alafu ukasemba pesa ni kidogo sasa uko hapa unalea lia