Huyu jamaa clam anajua kuigiza bn haki yake apewe mchek apo alipokuja kakaake kumuulz kwamb anaskia mapaka ametumia tunzi wa hali ya juu kabisa JIKAZE USICHOKE.
Ya leo nmependa imeweza atali clam n shado big up nawapenda san hamna baya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila nmecheka kaa mjinga fulan yaa shadow umezeeka ndipo ukaoanheri ukuje kuuliza kaka kwan au badoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣