kipindi kizuri ,ila tatizo mnachelewa ku POST vipindi youtube mfano kipindi cha january mwaka huu unaweza ukakiona baada ya miezi miwili au usione kabisa ,na sio wote tunapata nafasi ya kuangalia tv mda huo wa saa tatu usiku ndiyo maana tunategemea M POST humu maana LIVE hampo hewani