Moja ya kiongozi mwenye Hekima na busara ..hata mm nitaanza kutumia kwa sababu anatuelewesha vizur...hatumii nguvu kama hao wengine...barikiwa sana ...tungewapata 20 kama nyie taifa lingesonga mbele
Frank Joseph Kwanini mnabagua biashara za kutoa mashine niseme ukweli napenda sana kulipa kodi ,kama kodi nirafiki hivyo ila wakadiriaji wanakomoa watu wanafilisika serikali inakosa na mfanyabiashara analalimika kuuza kwa kujificha ,kodi ikiwa rafiki kila mfanya biashara atalipa
Mkuu naiona nia yako ya kumsaidia JPM msaidie kwa nia hiyo baba coz nia ya mzee ni njema hajengi kwake anaijenga Tanzania yetu kwaajiri ya sisi watanzania elimu yakulipa kodi mzee bado inahitajika sana sio kwawafanya biashara ila kwa sisi walaji tunapaswa kuelimishwa sana tena kwa juhudi za makusidi ili kusukuma jambo hili najuwa mweshimia mkimpa mkakati safi ni mdau safi plz msaidieni ili inchi imove forward. Pili watumishi wako waacha ujinga flani wakusingizia Serikali wanapodai kodi "ndio serikali mulioichagua umieni tuu" please wawe na lugha rafiki kwawafanya biashara na wajuwe sheria zipo ilizifuatwe na sivinginevyo .Mwisho tulipe kodi kwa maendeleo ya Tanzania yetu nzuri.
Wangekuwa wafanyakazi wa TRA wote wapo kama muheshimiwa huyu natumai wangekusanya pesa nyingi lakini hawa wafanyakazi wa chini vitisho na hawakupi elimu sahihi hongera kiongozi