Тёмный

KAMPENI YA MTU NI AFYA YAENDELEA HALMASHAURI YA MAFINGA MJI 

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa
Подписаться 726
Просмотров 51
50% 1

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga Mhe. Reginant Kivinge amewataka wananchi wa Mji huo wakiwemo wa Mtaa wa Kinyarambo kutengeneza mazingira safi kwenye maeneo yao kwa kuzingatia vigezo vya Afya bora ikiwemo ujenzi wa vyoo bora pamoja na matumizi sahihi ya vyoo Hivyo.
Ameyasema hayo Agosti 23, 2024 wakati wa mwendelezo wa Kampeni ya Mtu ni Afya iliofanyika kwenye kata ya kinyarambo, Halmashauri ya Mji wa Mafinga huku ikiongozwa na Balozi wa msafara Huo Ndg. Mrisho Mpoto.
Nao baadhi ya Viongozi wa Mtaa huo wamesisitiza wananchi juu ya Swala la Mtu ni Afya kwa kuchukua kile walichofundishwa ili kuzuia magonjwa ya mlipuko kwa kuweka vifaa vya kuhifadhia taka kwenye maeneo yao, kula mlo Bora, pamoja na kunawa mikono Kwa maji Safi na sabuni.
Lengo la kampeni hiyo ni kutekeleza Afua tisa za kampeni ya Mtu ni Afya ikiwepo ujenzi wa vyoo bora, matumizi ya maji Safi na Salama, unawaji wa mikono Kwa maji Safi na sabuni, Hedhi Salama pamoja na kufanya mazoezi.

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
# funny#daily#vlog#family#prank
00:12
Просмотров 7 млн
Doors Harpy Hare (Doors 2 Animation)
00:16
Просмотров 702 тыс.
Kũmuramura magathĩti (16/09/2024) #iNooroRũciinĩ
1:33:00
MAFANIKIO YA MKOA WA IRINGA
5:42
Просмотров 76