Kana Nicko hii comment yangu ipitie tafadhali,,,,,nataka kujua Ile pesa unaweza kuja nayo kwa kyathi yangu ya ngaasya,,,,,nikuone na pia unitengenezee kyathi please,,nyimbo zako zinanifanya ni sahau kama Kuna gospel songs 😄😄😄😄,,,,, congrats for your good work God bless you abundantly king of rhumba ukambani🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
My dad is a pastor,so hawezi kubali hizi nyimbo za begga but huwa naweka hii hajajua so ya kanisa akisikia hii story ya Goliath anasema niongeze volume
U never fail...congrants bro...ulinishow itakuwa moto kweli ni 🔥🔥🔥🔥.........ngethesye @kilonzo cubas, mama tanga, steve mwendwa kilili, shughuli mule, kanana the driver
Hii inafaa kua national anthem juu wee niliiieka vol yote kwa plot nikasikia watu wakiitisha hiyo flash nami ninani nakataa mtu a-download juu lazima tuinuane...ndwimuito na ndwimundumuka Indi iwasyaa kana kaseo