Тёмный

KANISA SI NYUMBA YA MUNGU/YESU HAKUTUMWA KWA ULIMWENGU MZIMA. MAZINGE , MBWANA RICO .K GROUND KENYA. 

Saimu gwao Online tv
Подписаться 231 тыс.
Просмотров 54 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@luckyhardson18
@luckyhardson18 3 года назад
Mwenyezi mungu akutunze kwa Iman yako yahaya
@issmuking3987
@issmuking3987 3 года назад
Yaaan uislamu raha sanaaa maaana muislamu yyte aatakaekufa haliakua muislamu kamili akatelekeza mafundisho ya Mtume s a w kikamilifu basi peponi kwa uwezo wake mola
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-AaW2ZgcVrRA.html
@somojarso9614
@somojarso9614 2 года назад
Allah akurehemu Sheikh Yahya..msomaji maarufu wa UST.mazinge
@abdulazizabdulaziz6692
@abdulazizabdulaziz6692 3 года назад
Yahyaaa Allah akurehemu in shaa Allah
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 3 года назад
Allahumma Amiin
@Junior-rl2hj
@Junior-rl2hj 3 года назад
Mazinge oyeee
@A.a.m-b4y
@A.a.m-b4y 7 месяцев назад
Poleni wakristo hamutaki ukweli
@sharrifidris3422
@sharrifidris3422 3 года назад
Hizo zama MashaAllah..namuona sheikh harun olo odundo
@arbaqrubaq6260
@arbaqrubaq6260 3 года назад
Yahya Allah Akurehem
@godfreymatias7489
@godfreymatias7489 3 года назад
Professor mazinge
@OmnayfAldosaru
@OmnayfAldosaru 3 года назад
Mashallah shekhe mazinge
@saramss7262
@saramss7262 3 года назад
Sasa UISLAM una Rahaa Gani Quran 142 inasemaje acheni upuuuuuziii wenuuu DINI Gani mnaasira Kama nyoka kwendeni huko Mashetanii Wekunduuu nyiyeeee ipo siku mtalijuwa Kama YESU ni Kristu
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Год назад
Mashallah allah awaongoze kutangaza dini yetu watu wabafilike wamjue allah
@makenakendi9014
@makenakendi9014 3 года назад
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers
@KhadijaMkambe-f6q
@KhadijaMkambe-f6q Год назад
Mashallah
@mussamohamedmohamed9629
@mussamohamedmohamed9629 2 года назад
Mashaa Allah,,
@rbagha5280
@rbagha5280 2 года назад
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
@gharibislam1586
@gharibislam1586 3 года назад
Huyo maskini hajuwi analo lisema
@luckyhardson18
@luckyhardson18 3 года назад
Yahaya we ni mwamba.
@سلطانسليمانبنجمعة
Saimu, watufurahisha wallahi
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-AaW2ZgcVrRA.html
@geraldsanga4879
@geraldsanga4879 3 года назад
Mungu aturehemu, asante Kristo kwakuwa ulinyenyekea na ukatufundisha kuwarejeza watu kwako kwa upole. Maana kama Wakristo wangekuwa wanahubiri imani yao kama hawa jamaa basi amani ingekuwa ndogo. Maana daima wamejikita kukashifu na kutukana Wakristo badala ya kuhubiri imani yao.
@mohamedibra8322
@mohamedibra8322 2 года назад
Hajatukanwa mtu hapo ni maandiko yanasomwa
@mikyfosikama8752
@mikyfosikama8752 2 года назад
Mashallah tabarakallah
@mullerdacostar8778
@mullerdacostar8778 3 года назад
Allah akbar
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-AaW2ZgcVrRA.html
@SamsonNgendakumana-ek9vj
@SamsonNgendakumana-ek9vj 3 месяца назад
❤❤❤❤
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 года назад
ماشاء الله تبارك الرحمن 😍😍😍😍🇴🇲
@FatmaRashid-fv6pe
@FatmaRashid-fv6pe 9 дней назад
Yahaya mbili kumi na nane matayo mpe huyo 😂😂
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 года назад
Masha"Allah RIP sheikh yahya
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-AaW2ZgcVrRA.html guza link Al habibu
@maherzain615
@maherzain615 3 года назад
Huyu kijana sheikh shariff upo simskii kwenye mihadhara siku hizi
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 3 года назад
Yko lkn naona sio sna kwnye mihadhara...
@thulaniduku3218
@thulaniduku3218 2 года назад
Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh Naomba namba ya ustahi Rico Please 🙏 please please 🙏
@bakarimnaku6896
@bakarimnaku6896 2 года назад
Bakari mnaku kazeri
@KhadijaMkambe-f6q
@KhadijaMkambe-f6q Год назад
😅
@paulmkuki5638
@paulmkuki5638 3 года назад
Udini utawafanya wengi waikose pepo maana tunasimamia udini kuliko kuyatenda yaliyo mema
@ghulamyassintv4825
@ghulamyassintv4825 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-AaW2ZgcVrRA.html ☝️☝️🥺 Pia tusisahau
@johnissango2357
@johnissango2357 3 года назад
sasa kama ninyi ni wanyenyekevu mbona hammfuati yesu ambae yeye ndiye dini au njia ya kweli na uzima?mnafanya vizuri kuwa wanyenyekeva lakini bado hamna dini mnamfuata mohamad ,mohamad sio dini ni mtu tu kama sisi wala hajui atakachofanywa.
@ilovejesus666
@ilovejesus666 3 года назад
Ndungu soma uelewe usikulupuke maana unaangamia kwa kukosa maarifa uyo Yesu wako kwa Waislamu ni mtume wa 24 nyie mnajua Waislamu hawamjui Yesu nauku sis tumajua Adi bibi yake na bibi wa bibi zake
@sosdododo5653
@sosdododo5653 3 года назад
Wewe unamfwata yesu mbona hamfanyi
@sosdododo5653
@sosdododo5653 3 года назад
Wewe unamfwata yesu wala hamna habari na yesu,yesu amesujudu nyinyi munasujudu na mumeqmbiwa musujudu munajidai ati tunamfwata yesu Kubwa kwenu kuomba ni kupiga magoti nani amewafundisha wapotevu wakubwa Ati tunamfwata yesu wanafiki wakubwa
@sosdododo5653
@sosdododo5653 3 года назад
@@ilovejesus666 tena ati tunamjua yesu adi bibi yake Kebu nipe jina lababake mama wa yesu ambae ni maryam nyinyi munasema Mary
@ilovejesus666
@ilovejesus666 3 года назад
@@sosdododo5653 ndugu yangu mim sio kafiri mimi ni muislamu tena uniambii kitu kuhusu Uislamu mim nakushangaa wew unaniganda
Далее
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 858 тыс.
MAPASTA 7 WASHINDWA KUTETEA UKRISTO
1:00:07
Просмотров 640 тыс.
Je msalaba ni alama ya Mungu?Prof.Mazinge
54:02
Просмотров 28 тыс.
Wachungaji kumi walemewa kujibu swali ya Mazinge
51:56
053 HABIB MAZINGE | JE SACRAMENTI NI MWILI WA YESU 2/2
58:24
HABIB MAZINGE | DEBATE YA ALMALLID MWANZA TZ PRT2
1:00:01