Amen Amen Amen umenena nami mtumishi barikiwa Sana sana kama Kuna kitu nahitaji MUNGU akufanyie n akupe maisha marefu ili uzidi kuponya nafsi za wengi ndilo ombi langu kwa Jina la YESU
Bwana YESU na akuzidishie kuishi, amin, unanibariki Sana na umetumiwa na Mungu kunibadirisha sana yaani ubada zenu zinanigusa sana, nami huku huwa nafanya kama niko hapo nikiamini kiroho tupo pamoja, amuna KUBWA kwa utukufu wa MUNGU
Nakushukuru Mungu Kwa ajili ya mtumishi wako apostle dionis mtalemwa unayemtumia Kwa viwango vya juu sana kutufundisha siri za ufalme wako ,mbariki ,mtunze endelea kumpa mafunuo Kwa ajili yetu watoto wako amen
Barikiwa sana Apostle , Mafunzo yako yanajenga ,yana bariki na kubadilisha maisha yangu.I was going into Depression ,mwili ikaisha but kwa sasa imeisha,na naona mwili wangu unarudi tangu nianze kufuata mafunzo yako ,Na nina imani mungu anenda kutenda Mengi juu ya maisha yangu.Amen 🙏
Ubarikiwe Sana mtumishi, Somo ni zuri Sana, tumesoma Sana maandiko lakini hatujayafanyia kazi, tunayaacha badala ya kukiri na kuamini maandiko. Barikiwa
Asante sana mutumishi, leo umenifundisha kitu kikubwa sana katika kusoma neno la Mungu. Ubarikiwe Bwana YESU akuzidishie ufahamu zaidi. I am Desire from Germany 🇩🇪🇩🇪 🇩🇪 🇩🇪.
Asante Sana apostle, umenigusa katika sehemu Fulani, I declare I'm a more than a conquerer, every plans of the wicked against my life ,will not stand neither will it come to pass according to Isaiah 7:7. No weapon fashioned against my marriage , ministry, calling, business, career, marriage, family will Prosper according to Isaiah 54:17 in Jesus mighty name. I PREVAIL in Jesus mighty name amen
Asante kwa neno zuri mtumishi wa MUNGU. Mungu amesema nami na kunifundisha Nlikua kwenye maombi wiki mbil zilizo pita na nkapata msukumo wa kufanya hivi ulivyo fundisha nkawa nkisoma neno na usiku wa sasita naipokea sikj na kuisemea kulingana na neno la Mungu lilivyo andikwa na nalifanya kua langu na ninatembea nayo kwa siku hiyo nzima nikaona baraka kwenye kazi yangu ya udereva tax (uber&bolt) Lakini sasa siku ya ijumaa ya tareh 18 Feb nkafanya kosa nkasoma neno nkaomba lkn nilipo ingia kazini nkakaa na madeleva wenzangu nkanena tofauti kwamba siku sio nzur abilia hamna na kilicho nikuta nlimaliza siku hiyo kwa hasala paka mtaji wa mafuta ukakatika, lakin leo tareh19 Feb nimeona ujumbe huu nimeona nlipokosea jana. Asante kwa neno zuri sito rudia kosa. Ubarikiwe.
Mungu akubali sana kwaneno hili mimi nilikuwa nasoma2 nikimaliza kusoma bibilia hiyo itoka nashukulu sana kumbe ukisoma 2 hapohapo unatakiwa kunena ulicho kisoma Mungu akupe maisha malefu ili tujifunze kwako Ameni 🙏