Hivi wadhani kweli waisilamu watajumuika pamoja na mashekh wenye elimu na kupamba sehemu lengo kumtukana na kumkashif na kufanya kufru kweli sidhani mwenye akili timamu aweza fanya hayo lazima tukubali na kuheshimu ikhtilaaf za ulamaa wakati wewe wakataa wengine wanaashikinya wanazuoni zaidi ni wewe kuwach ulio na shaka nala hutopata taabu hio ndio qaida mtume s.a.w ametuachia acha linakutia shaka utaona tukiwacha haya migongano tutakuwa na malengo makubwa ya kufanyia uislimu kuliko kuzozana katika ikhtilafu binafsi naamini haya yana mashiko na wengine washike mashiko yao kama maimamu walopita walivyokua zaidi tubaki katika kalmiatu tawhid tuchunge kuwatia wenzetu katika ukafiri ikawa ni sababu ya wewe kuulizwa yaumal Qiyama au ukawa wewe ndiye utaingia kwa ukafiri bila kujijua kwa naswi ya mtume yeyote atakae mdhani mwenzake ukafiri ikithubitu yule mtu si kafiri basi yeye ndiye atakuwa kafiri maneno ya mtume s.a.w hayo tuchungeni sana ndimi zetu.shukran
Kumbe umesha sema mwenyewe hukusoma hya ssa utajuaje mambo ya walosoma?mbna hamujielewi nyinyi?ni haramu kuhukum jbo la dini km hukusoma dini haiendeshwi kw mawazo ya mtu
Kweli mtihani huu wallah hii pia ni dini??? Inanasibishwa na uislamu msafi kabisa!!!! Yani fikiria tu mtume swalla llahu aleihi wasallam na maswahaba wanafanana na hawa waimbaji kama manaswara kanisani!!!
Usijaribu kumwambia mtu wewe ni kafiri achie mungu ataamua madamu mtu anasali salah tano NA anafunga NA anatoa zakah NA kuhiji NA usithani kwamba rehema ya mungu hapo kwa wale walio tubu wikimrejea
Ila wewe nyewe wanapenda ukienda majumbani mwao kumejaaa qaswida nisawa na wale makafiri wa enzi za mtume wanapiga vita quraan ila ikisomwa wanaisikiliza madirishani ilivyonzuri😂😂😂