Тёмный

Katambi amuagiza mkandarasi anayejenga uwanja wa mpira wa Kwaraa kumaliza kwa wakati 

Mwananchi Digital
Подписаться 983 тыс.
Просмотров 577
50% 1

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amemuagiza mkandarasi anayejenga uwanja wa mpira wa Kwaraa kumaliza kwa wakati ili kutumika katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru.
Mhe. Katambi ametoa maelekezo hayo Agosti 11,2023 wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya uwanja huo kuelekea kilele cha mbio hizo za zitakazohitimishwa Oktoba 14, 2023.
Aidha, amesema kuwa ujenzi wa uwanja huo ni mpango wa Serikali katika kuwasongezea karibu viwanja vya michezo wananchi wa Mkoa wa Manyara lakini pia utakautumika kwenye kilele hicho.

Опубликовано:

 

12 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
20 Legendary Goals By Diego Maradona
5:42
Просмотров 37 млн
Curve Goals That SHOCKED The World
5:35
Просмотров 42 млн
MTANDAO   AICT SUMBAWANGA CHOIR
9:32
Просмотров 12 тыс.