Тёмный

KAULI TATA YA MWISHO ALIYOSEMA MSAIDIZI WA MWAMPOSA KABLA YA KIFO | WANATUMIA NGUVU ZA GIZA SANA 

MADORA TV
Подписаться 92 тыс.
Просмотров 44 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 97   
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 День назад
Waandishi fuateni maadili yenu ya kazi msipende uchonganishi na uzushi ,uchochezi mungu hapendi kszi yako inakosa baraka angalien millad ayo anaheshimika
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 День назад
Kweli umesema vyema
@BeatriceSoka-c7c
@BeatriceSoka-c7c 10 часов назад
Hawa wanataka kuuza habar unafkir ashukuriwe Mungu anachfundisha marehemu pst Jonathan ni kizur
@johnmwakasungula9747
@johnmwakasungula9747 8 часов назад
Wajingq hawa
@hamisipower310
@hamisipower310 3 часа назад
Well said
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Час назад
​@@BeatriceSoka-c7cPastor Jonathan ndiye huyu anayefundisha hapa?? Je alishakufa??
@GodlistenTsere
@GodlistenTsere День назад
Usiamini madhabahu bali amini neno la mungu katika kweli yote
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION День назад
Muamini mungu katka nature
@bozeydayana4920
@bozeydayana4920 День назад
ukweli usio pingika.
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 День назад
Madhabahu pia ni mhimu sana kwa sababu kila neno linaloweza kumbadilisha mtu kuwa mzuri au mbaya linategemea nguvu ya madhabahu.
@godlinegabriel2299
@godlinegabriel2299 День назад
Hakuna Mungu pasipo madhabahu
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 День назад
Rafiki madhabahu ndio Imani Hakuna mtu aliyeinuka bila madhabahu au ujamuelewa kuna madhabahu ya Giza na ya Mungu
@benotayari5970
@benotayari5970 День назад
Kila nafsi inaonja mauti akuna kafala wala nini Mungu alimleta dunia kwa kusudi lake na leo cku yake imefika ametangulia mbele za haki na pia hata mimi na wwe tunaokoment leo hii ipo cku na sisi tutakufa sasa sijui wazazi wetu au wake zetu watakuwa wametutoa kafara? Mungu atusaidie sana
@sabinanyondo5691
@sabinanyondo5691 День назад
Mwandishi unaandika kitu hakipo uwe na haiba ya Sanaa husika acha taarifa chonganishi
@yohana_antony
@yohana_antony День назад
Da uyu baba mchungaji nilishaenda kuimba kanisani kwake segerea mwazo Wa huduma yangu alikuwa vizuri sana
@jeremiadaniel523
@jeremiadaniel523 День назад
mdogo wetu leo umetuvamia kwenye comment😂😂😂😂
@MiliamJonh
@MiliamJonh День назад
Umwamini MUNGU peke yake Sio madhabahu.. Utajuaje kama hiyo madhabahu inatokana na Mungu aliye juu mpka uiamini...
@MalaikaHome-b6r
@MalaikaHome-b6r День назад
A man of god
@AncillaHulilo
@AncillaHulilo День назад
Wapenfwa kila mtu ataondoka. Kila mtu atajibu mbele ya Mungu. Mungu ndie Hakimu wetu . Kwa nini tunajichosha? Kikubwa tumwabudu Mungu katika Roho na kweli . Pumzika salama Baba Jonathan
@FaridaShangala
@FaridaShangala День назад
Pumzika mtumishi kila nafsi itaonja mauti, muandishi wa habari kwenu hamfiwi mkifiwa nikafara mungu wa mwamposa akusamehe.
@ElizaMwandu
@ElizaMwandu 12 часов назад
Nimeumia sana kwa kweli Mtumishi huyu alikuwa ni mtu mwenye tabasamu sana.R.I.P Mtumishi wa Mungu Jonathan 🙏
@obbynomwa7143
@obbynomwa7143 День назад
Mwamini Yesu , usikae mbali na Yesu wala neno la lake, hivi ndivyo ninavyofahamu, hiyo ndiyo iwe madhabahu yako, hizi zingine za watu fulani ziogope sana.
@bozeydayana4920
@bozeydayana4920 День назад
Umesema ukweli.
@GodlistenTsere
@GodlistenTsere День назад
@obbynomwa7143 yes that's good real
@dorahmoses
@dorahmoses День назад
@@obbynomwa7143 hatamm nimeelewa hivyo
@issahkibona5886
@issahkibona5886 День назад
Madhabahu imetumika sahihi kabisa
@RehemaJustine-co2kp
@RehemaJustine-co2kp День назад
Ninachoona hata yeye kamaanisha hivyo! Kaa karibu na Yesu kwani yeyye ndiye madhabahu! 🙏
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by День назад
R I P mtumishi wa mungu
@EsterVuriva-bl6mb
@EsterVuriva-bl6mb 10 часов назад
Dah unzips kwaamani baba Ney umemuacha Ney mwanao kipenz first born wako... 😢😢 tutakukumbuka sauna mtumishi
@rachelcharles9219
@rachelcharles9219 День назад
Hatukatai kafara zipo lakini na kifo Cha kawaida ya kibinadamu pia kipo Tena Sana tu hata uwe nani cku ipo nayo inakuja kwa kac kikubwa tumche Mungu tu.
@rachelcharles9219
@rachelcharles9219 День назад
Jamani kwani wanaotakiwa kufa ni akina nani etii maana Kila mtu mnasema kafara duh!
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 День назад
Kwan huyu amekufa?
@AnnaBehile
@AnnaBehile День назад
Waandishi ni wachonganishi sana mbna vifo vipo kwangu nasemaj sio kila kitu fremason
@GodlistenTsere
@GodlistenTsere День назад
Kapatikana kweli
@godfreyhiza1075
@godfreyhiza1075 День назад
Yohana 3:36 Yeyote anayemwamini BWANA YESU ana uzima wa milele....tunatakiwa tumwamini MUNGU katika YESU KRISTO!!
@bozeydayana4920
@bozeydayana4920 День назад
Amen 🙏.
@EverineCuthbert
@EverineCuthbert День назад
Very very true.
@AbigaeliTesha
@AbigaeliTesha День назад
😮tunatakiwa kumuamin Yesu Kristo Mungu mkuu na Nuru halisi
@mariammohammed9229
@mariammohammed9229 День назад
Pumzika kwa Amani Mtumish wa Mungu
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 День назад
Paster Jonathan😢😢
@felixlupenza8623
@felixlupenza8623 День назад
R.I.P PASTOR!
@Annie-j8k
@Annie-j8k День назад
Paster 😭😭😭😭
@veronicachavala9231
@veronicachavala9231 День назад
Kila madhabahu nyuma yake kuna Mungu na huwezi kujua ni Mungu yupi anaabudiwa humo. Jambo la muhimu ni kumwamini Mungu aliye hai kupitia Jina la Yesu.
@ConfusedChicken-ze9fz
@ConfusedChicken-ze9fz День назад
I trust Mwamposa & ❤ him too no matter how much you will scandalise him and his ministry
@CadiaOnesmo
@CadiaOnesmo День назад
Pole baada ya kumwamini Yesu unamwamini mwamposa je mwamposa anayo njia ya uzima?
@obbynomwa7143
@obbynomwa7143 День назад
Endelea wala usiache ni uchaguzi wako, jambo moja tu ujue Mungu haziakiwi apandacho mtu ndicho atakachovuna. Mimi nimeamua kumpenda sana Yesu na kumwani Yesu sio mwanadamu, wanadamu nawapenda sawasawa na agizo la Mungu. Kumbukumbu la Torati 30:19 Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako; I call heaven and earth to record this day against you, that I have set before you life and death, blessing and cursing: therefore choose life, that both thou and thy seed may live: Ufunuo wa Yohana 2:14 Lakini ninayo maneno machache juu yako, kwa kuwa unao huko watu washikao mafundisho ya Balaamu, yeye aliyemfundisha Balaki atie ukwazo mbele ya Waisraeli, kwamba wavile vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na kuzini. But I have a few things against thee, because thou hast there them that hold the doctrine of Balaam, who taught Balac to cast a stumblingblock before the children of Israel, to eat things sacrificed unto idols, and to commit fornication. Ufunuo wa Yohana 2:15 Vivyo hivyo wewe nawe unao watu wayashikao mafundisho ya Wanikolai vile vile. So hast thou also them that hold the doctrine of the Nicolaitans, which thing I hate. Ufunuo wa Yohana 2:16 Basi tubu; na usipotubu, naja kwako upesi, nami nitafanya vita juu yao kwa huo upanga wa kinywa changu. Repent; or else I will come unto thee quickly, and will fight against them with the sword of my mouth. Ufunuo wa Yohana 2:17 Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa baadhi ya ile mana iliyofichwa, nami nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina jipya asilolijua mtu ila yeye anayelipokea. He that hath an ear, let him hear what the Spirit saith unto the churches; To him that overcometh will I give to eat of the hidden manna, and will give him a white stone, and in the stone a new name written, which no man knoweth saving he that receiveth it.
@dorahmoses
@dorahmoses День назад
Jamani hatuwezikupinganana kusudila mungu
@theyoungestog
@theyoungestog День назад
Bado kuna watu hawaelewi
@ConfusedChicken-ze9fz
@ConfusedChicken-ze9fz День назад
Kuhusu nini?
@damareshilary5002
@damareshilary5002 День назад
Pastor 😢😢😢😢
@johansenerasto5890
@johansenerasto5890 День назад
Du ni hatari kumbe mnaaamini madhabahu na sio Yesu,ndo maana kwa mwamposa napakimbia km kituo Cha polisi nahs Kuna ushetan mkubwa
@bozeydayana4920
@bozeydayana4920 День назад
math 9:13.LAKINI NENDENI MKAJIFUNZE MAANA YA MANENO HAYA,NATAKA REHEMA ,WALA SI SADAKA;KWA MAANA SIKUJA KUWAITA WENYE HAKI,BALI WENYE DHAMBI.🙏 ✝️
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn День назад
Rip mtumishi wa mungu kila nafsi itaonja mauti
@silassaitoti7689
@silassaitoti7689 День назад
Nguvu za giza maana yake ni nini?
@babuafya3446
@babuafya3446 13 часов назад
Ukiwa hujaielewa dunia utateseka sana
@VictorKahangwa
@VictorKahangwa День назад
Madora TV kama wale wengine tu ,kichwa cha habari kuwachanganya na kuwavutia Wasomaji.......
@Fredymwambamapigo
@Fredymwambamapigo День назад
Shida moja wengi wamekuwa wakianzisha huduma wakiwa very nice kabisa lakin huduma inapokuwa nakuongezeka wanatoka rohoni nakuigeuza huduma kuwa biashara.
@antonykashube2065
@antonykashube2065 День назад
Ndugu zangu, hatuko duniani kuishi milele. Ukishamaliza kazi iliyokuleta, basi bila kujali umri wako au cheo chako n.k utaondoka duniani. Inapofikia kuondoka duniani haijalishi ni ugonjwa, ajali, mshtuko, kupigwa, kulala n.k utaondoka tu. Cha kujiuliza tu ni je unapoondoka humu duniani na kuuacha huu mwili uliokuwa vazi lako hapa duniani, UNAENDA WAPI!!???
@nafutarymajogoro30
@nafutarymajogoro30 День назад
We mwenyew ni miongoni mwao ila unajipamba Kwa mavazi ya kondoo miongoni
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e День назад
Shida SISI tulio wengi tunapenda miujiza kuliko kuskiza NENO LA MUNGU , SASA JE TUTAPAJE KUPONA TUSIPO JALI UWOKOVU MKUU? NAMNA HII?
@naomimwahosi8177
@naomimwahosi8177 День назад
Na wengi wanakwepa GHARAMA YA KUOMBA 😢WANANASWA PABAYA.
@AllexMajura
@AllexMajura День назад
Nimefatilia comment zenu wote but sjaelewa chochote kiukweli maana naona wote kila mtu anatetea upande wake,sjaona watumishi wa Mungu aliye hai ila wote ni watu mwamposa tu
@EverineCuthbert
@EverineCuthbert День назад
Agizo la Yesu Kristo alipokuwa duniani ni kumwamini yeye na Maneno yake.
@EverineCuthbert
@EverineCuthbert День назад
Agizo la Yesu Kristo alipokuwa duniani ni kumwamini yeye na Maneno yake.
@ConfusedChicken-ze9fz
@ConfusedChicken-ze9fz День назад
Hata Mwamposa hafundishi watu wamwamini yeye bali Yesu na Hata mtu akija kushuhuudia pale madhabahuni kwamba alikuwa mgojwa sasa amepona Mwamposa as a semi mimi ndio niliokutendea ball Yesu sasa acheni hizo chuki zenuhazitowasaidia kitu
@dorahmoses
@dorahmoses День назад
Napia anasisitiza kuanaimani
@CadiaOnesmo
@CadiaOnesmo День назад
Sasa mbona huyu anatwambia tuamini mazabahu si amefundishwa na mwamposa wewe unataka kutwambia unamjuwa mwamposa kuliko huyu
@ConfusedChicken-ze9fz
@ConfusedChicken-ze9fz День назад
@@CadiaOnesmo Nadhani hujaelewa kwasababu hakuna madhabahu isiyokuwa na Mungu au mungu ilo aidha iwe ya nuru au ya giza ilo lazima ulielewe sasa msiwaze waze ujiga tu kwani kufa msaidizi wa Mwamposa ni jambo la ajabu? familia ngapi zinafiwa hapa duniani? mbona amshangai? ebu muwe makini na izo kauli zenu husijemkaukumiwa
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION День назад
Hujaxoea baridi mmezoea dar joto kali
@Tutindaga
@Tutindaga 23 часа назад
channel kama hizi ni rahisi sana kuziblock nenda kwenye vidot vitatu katika hii video waliyopost then chagua report then tik misinformation youtube wataiblock ,ni ujinga sana wanachokifanya
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 День назад
Madhabahu au Mungu mkuu wa mbinguni ndiyo ngao . Kwani madhabahu bila Mungu kuwapo kwa hiyo madhabahu ina nini? Ni andiko gani limesema madhabahu ndio ngao? Tena hizi madhabahu za watu wa mjini wengi wajanja weweeee 😂!
@HIDACHAPILE
@HIDACHAPILE День назад
A cha kutukana wameumbwa naunaemwamini soli yakiatu siosawa
@herijaphet
@herijaphet День назад
Sasa hapo utata upo wapi. Uliyeandika ni kichefuchefu. Halafu nyie mnapewa kichwa kuitwa WAANDISHI. Wewe ni mroookaji mtandaoni. Kifo kipo tu mn mtu akifa mnatafuta justification ya kifo. Yani ni kama mnaukumu. Akili mgando
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 День назад
HUYU ANAMAANISHA NINI HAPA KWAMBA HATA MUNGU AKIKUSAIDIA USISAHAU MADHABAHU? MADHABAHU NININI NA MUNGU NI NINI?😂😂😂😂
@GervasLyimo-f7p
@GervasLyimo-f7p День назад
Sijui leo nimeingiaje MADORA. Channel za uhakika ni kama MILLARD AYO. Sasa hawa akina Madora waganga njaa, bure kabisa!
@JjophreyUtenga-o7j
@JjophreyUtenga-o7j День назад
Mwandishi wewe huji tambui ludi nyuma shetani wewe
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c День назад
Acheni uchonganishi
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u День назад
acha uchonganishi
@NyagoIncmedia
@NyagoIncmedia День назад
Sasa Mbona ulichkandika na alichosema ni tofauti au hii ni moja ya zile channel za ku unsubscribe tu
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle День назад
Amekutoa kafara ndugu yako
@daudimlamka1239
@daudimlamka1239 День назад
mawazo Yako ni ya kufakufa tu, you think so negative,
@jasiriasili3694
@jasiriasili3694 День назад
Watu wkae na neno sio madha bau
Далее
Jua Kali Leo Ijumaai Usiku 25-10-2024
20:12
Просмотров 7 тыс.
Китайка и Пчелке Холодно😂😆
00:21