Тёмный

Kauli ya RC Chalamila baada ya kufika Kariakoo, awapiga biti watakaowafanyia vurugu waliofungua 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wafanyabishara waliofungua maduka yao leo Jumatatu Juni 24, 2024, licha ya kuwepo kwa mgomo wa baadhi ya wafanyabishara, atalinda biashara zao na hawatafanyiwa vurugu.
RC Chalamila amesema atakayejaribu kuwafanyia vurugu wafanyabiashara waliofunga maduka yao, atashughulika naye.
“Nataka niwathibitishie yule atakayemletea mkwara aliyekubali kufungua, naapa mbele ya Mwenyezi Mungu, hapo ndipo nitakapoonyesha ‘show’ nzima. Kwa sababu mtu anakubali kufungua na wewe unamchimba mkwara, mimi ntakuchimba mkwara na hautainuka tena,” amesema.
Aidha, Chalamila amesema kero zilizopelekwa na wafanyabishara hao serikalini zinaendelea kushughulikiwa.
Wafanyabiashara hao wamegoma, baada ya Jumamosi Juni 22, 2024 kusambaa vipeperushi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa mgomo huo utakaoanza leo.
Wafanyabiashara hao wamefunga maduka kwa madai ya kuchoshwa na vitendo wanavyofanyiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Karikaoo, Martin Mbwana akizungumza na Mwananchi Juni 22, 2024 alikiri kuona vipeperushi hivyo, akieleza hiyo ni hasira za kuchoshwa na wanayofanyiwa na TRA.

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 217   
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 3 месяца назад
We.hujui.chochote.unasafili.bure.unalala.bure.unakula.bure.hata.akili.yako.ni.bure.hujui.maisha.ya.maskini
@awadhally1052
@awadhally1052 3 месяца назад
Kwel kabisa huyu hamna kitu
@jamesnyamila2165
@jamesnyamila2165 3 месяца назад
Hii Nchi ni kutishiana tu, hii hali sijui itaisha lini
@levidavid1156
@levidavid1156 3 месяца назад
kiongozi mjinga sanaa huyu
@barakarobert1029
@barakarobert1029 3 месяца назад
Ana leta siasa wakati leo cku ya pili wakaz wa dar hatuna maji
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 3 месяца назад
Asante hii hakuna maji,mgomo kariakoo, ubabe wao tu police,wao,
@awadhally1052
@awadhally1052 3 месяца назад
Kwel kabisaa
@DorisJames-i3k
@DorisJames-i3k 3 месяца назад
Sio tunatafutiwa suluhu ila tunatishwa daaaaah hii nchi mwenye cheo ndo mwenye maamuz na mwenye kaul 😭
@emmanuelndahan9815
@emmanuelndahan9815 3 месяца назад
Kakwambia waendelee kufunga walipekeka yaashugulikiwa
@luciasteven3314
@luciasteven3314 3 месяца назад
Sina duka ila roho imeniuma...sina hata mwana sheria mimi acha tu ninyamaze 😢TANZANIA NCHI YANGU Nakupenda kwa moyo wote
@kembotechnologies6737
@kembotechnologies6737 3 месяца назад
Badala ya kusikiliza shida nn unatoa mikwala mingi
@awadhally1052
@awadhally1052 3 месяца назад
Chiz huyu
@JustineKimwaga
@JustineKimwaga 3 месяца назад
Hatutaki kupelekwa pelekwa yaan tutaendelea kufunga, but tunaishi kwa kutegemeana , tuumie wote tu maana mmezid yaan sisi ndo tu mewaajir afu mnatugeuzia kibao kutuajr😂😂😂 Sina hera na nikipindi cha msim wa shule, ila kutokana na utitir wa Kodi Bora mgomo
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 3 месяца назад
Kama unauwezo waondoe.hao barabarni
@NepporSabith
@NepporSabith 3 месяца назад
Mbona vitisho 😂😂😂😂😂Raisi kasema haya haya
@PeterCharles-zu5cb
@PeterCharles-zu5cb 3 месяца назад
Ndiyo mkome kabisa mmeipenda wenywe na bado mtanyooshw 2 ccm mbele kwa mbele.
@IssacNtacho
@IssacNtacho 3 месяца назад
Huyu mkuu wa mkoa akiri hana kabisa
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 3 месяца назад
Huna akili wewe
@MsAggie5
@MsAggie5 3 месяца назад
Azitoe wapi hizo akili yeye vitisho tu!
@muhasatv9245
@muhasatv9245 3 месяца назад
Nakupa wiki nakutimua kazi
@nestorelisha5842
@nestorelisha5842 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 месяца назад
We ndo unajua bisha na faida na hasara
@albertshao4834
@albertshao4834 3 месяца назад
Ewa
@saidramadhan71
@saidramadhan71 3 месяца назад
Ongea vizuri na watu
@DeoKanje
@DeoKanje 3 месяца назад
Wafanya biashara wanatishwa sana
@MeshackMayenga
@MeshackMayenga 3 месяца назад
Juzi tu nilienda kununua nguo naomba list naambiwa mtandao unasumbua, sehemu nyingine napewa list kwa kubembeleza serkali tengenezeni kanuni na sheriakali kwa hawa wafanyabiashara wa kariakoo.
@andekisyenasibu312
@andekisyenasibu312 3 месяца назад
None sanse
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 3 месяца назад
HAPO NDIO WANAPOPATIA FAIDA KUBWA SANAA NA SERIKAL INAWACHUKUA POA LKN WANATAKA KUWAPANDA KICHWA, HUU UWAMUZI NI MZURI SANAAA, WAFUNGE HATA MWEZI AU MWAKA, HAKUNA KUWABABAIKIA
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 3 месяца назад
Nipo nipo tuuu kwenye hii nchi yangu naipenda sana nchi yng
@jumannesaid8434
@jumannesaid8434 3 месяца назад
Wakuu wa nchi za kiafrika,"punguzeni madhara ya uadui kwa wateule wenu unaowapa majukumu yakuksaidieni majukumu ya nchi na wananchi...pindi wanapowakosoeni kwenye mapungufu yenu kama Binadamu hujakamilika So kubali kukosolewa na hilo ndiyo lengo lakuwa na wasaidizi," na cyo kumfanya yule anaekusifia muda wote ndiye mwenye nidhamu ya utendaji hilo cyo lengo ulilomteulia....hatima yake madhara ndiyo kama haya!!! Huna wakushauriana nae ukapata mbadala dhidi ya kile ulichonacho wew...kila mtu wako anakuangalia wew vpi akusifie...
@MeshackErnest-qt6xi
@MeshackErnest-qt6xi 3 месяца назад
Hiii ndo Tanzanian ya Leo
@JacksonElias-g8o
@JacksonElias-g8o 3 месяца назад
Dawa ni kulipa Kodi
@danielndusilo4723
@danielndusilo4723 3 месяца назад
Hiyo ndiyo tanzania mwizi kamkamata mwizi
@francismomo7067
@francismomo7067 3 месяца назад
Uoga n shida sana
@MudyBlackson
@MudyBlackson 3 месяца назад
Askari wake
@NAFTALIMUNDANGA
@NAFTALIMUNDANGA 3 месяца назад
Yaan mdulumu watu alafu watu wakae tu na kukubali. Sio sawa kabisa. TRA ni kundi la madhulumati linalolindwa
@Peterchipemba
@Peterchipemba 3 месяца назад
Watanzania tukajifunze kenya kuwa na misimamo wamezidi kunyanyasa wafanyabiashara
@davidkehogo3230
@davidkehogo3230 3 месяца назад
Paul Makonda tu aongoze mikoa miwili Arusha na Dar
@enockgogy5458
@enockgogy5458 3 месяца назад
Arafu watanzania ivi naswara ramafta kpanda juu paka leo nikuhu ile vita tliodanganyiwa au ndio mamikataba mabovu yasiyo namachazo yakmpa mtu mmoja alete mafta kwanchi zima..watanzania tnapigika sana kwamabepali yanchi nayaona ila hayana ata hofu yamungu ila wakae wakijua akna mwanzo ukakosa mwisho ipo siku yenu ccm itavika mwisho
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 3 месяца назад
🔥🔥🔥
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 3 месяца назад
Hosp hakuna kodi
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 3 месяца назад
Mmh sasa mfanonbajaji Kodi ilikuwa laki lakini eti saivi Kodi ni zaidi ya laki Sasa hiyo ya nini
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 3 месяца назад
Mshiziii huyo anaropoka yu
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 3 месяца назад
Tumbo lile😢
@supercomputerstz1503
@supercomputerstz1503 3 месяца назад
Mkoa wa mkoa ,alisema ameacha ubabe 😂,mbona kama amepanic ,hizi situations ndio kipimo Cha uongozi thabit ,He must come up with concrete solutions na sio kusema ukakae dukani uone kama mtu anakwepa Kodi 😮
@joycerichard9274
@joycerichard9274 3 месяца назад
Hiyo sio kauli ya kiongozi
@francismomo7067
@francismomo7067 3 месяца назад
Hii ndo Tanzania....ivi kweli Bado hatujaichoka tyuu?
@yusufujemson9020
@yusufujemson9020 3 месяца назад
Wananchi wamelogwa
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 3 месяца назад
Kkoo ndio zao awatoi risti kabisa ,ukidai risti wanakwambia akuna network
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 3 месяца назад
Unajua kwa nn hawatoi risiti
@raphaelmvukiye1938
@raphaelmvukiye1938 3 месяца назад
Unaongea upuuzi kwa wananchi. Mkuu wa mkoa wewe unawadharau wananchi ili iweje
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 3 месяца назад
Mmmmmmmmh!
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 3 месяца назад
Serkali kila cku kariakoo mbona serkali ilishindwa,maduka y TRC,ikiwa n wakweli jamani ubabe,Tozo,, juuu haishuk
@joelvenasi6248
@joelvenasi6248 3 месяца назад
naona unaropoka2 umekula maharage yawapi
@joelvenasi6248
@joelvenasi6248 3 месяца назад
haufai kuwa mkuu wa mkoa hata kidogo unaropoka 2
@DanielMgeni-x1z
@DanielMgeni-x1z 3 месяца назад
Nchi hi tunahitaji tujitambue Tunahitaji kujitambuhu mifumo wakutawaliwa unatumiza sana
@nestorelisha5842
@nestorelisha5842 3 месяца назад
Hii ndiy dasilamu baba, tumia busara.
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile 3 месяца назад
Wewe acha mbwembwe za ajabu
@CharlesMwakaligita
@CharlesMwakaligita 3 месяца назад
Wasikilize tatua, hicho cheo ni Leo kesho utakuwa wapi. Acha kujisahau na kuwa Miungu watu. Hakuna kufungua!!!
@hhurbert
@hhurbert 3 месяца назад
Muheshimiwa anawatishia watu badala ya kusolve shida nn . Dah
@esitiniambonise837
@esitiniambonise837 3 месяца назад
Kukiwa na vuluvulu basi mtatufanya tusafili tuje ili liwalo na liwe kama kenya
@ndakichuwa7618
@ndakichuwa7618 3 месяца назад
We mzee badala ya kutafuta suluhu kwa haraka,nawe unaleta mikwara kama wao wafanyabiashara
@DianaLyimo-be7yp
@DianaLyimo-be7yp 3 месяца назад
Uwezo wako kama mkuu wa mkoa umeishia hapo mbona makonda anatatua matatizo papohapo
@LameckZakaria-qg9vv
@LameckZakaria-qg9vv 3 месяца назад
Tunamuomba makonda aje tu wengine hatuwaelewi
@LIVINOJOHN
@LIVINOJOHN 3 месяца назад
Huyu mbona siku zake zinahesabika¡ alijifanya mjanja siku ile MH RAIS akipokea mirahaba BINT KIZIMKAZI kama kawaida yake aka tupate jewellery gizani Albert akanga'mua akajitetea lkn kwa hili HAPONI😢
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 3 месяца назад
Huyu hafaikuwakiongozi
@josephatSwai
@josephatSwai 3 месяца назад
Ww huna biashara chalamila ww huna kula na kulala tuu
@hawaally2308
@hawaally2308 3 месяца назад
Kwa nini anatisha watu badala ya kuwasikiliza waTZ wenzake.
@JosephJon-wk6il
@JosephJon-wk6il 3 месяца назад
acahakupotosha Kodi zimezidi hatakasulu tutagoma tra wamezidi ukilitimba
@saidally5763
@saidally5763 3 месяца назад
Acha kutisha watu wewe kingozi siku zote unatakiwa uwenabusara wewe hufai kua kiongozi
@Oboss_billharvester
@Oboss_billharvester 3 месяца назад
Wewe ni kibaka kama vibaka wengine ishaurini serikali ipunguze kodi ukifanya ivo hadharani ndo ntaamini kua wewe sio kilema wa akili.
@AbuuJumanne-yr1wh
@AbuuJumanne-yr1wh 3 месяца назад
Ana bwabwanya tu ujinga
@badribilali4146
@badribilali4146 3 месяца назад
Uyo sio kiongozi nimjinga analahisisha yeye anapokea mshaala mungu mkubwa ipo sk
@mohammedjuma6736
@mohammedjuma6736 3 месяца назад
Unaweza kuona mkuu anasema kibabe kama kutishia lakini ukipima aliyo yasema Yana ukweli, kwanini Ushawishi kufunga maduka mgomo kwa sababu ya mambo ambayo Serikali na wafanya biashara wanaweza kukaa pamoja wakayatatua, kwani mpk ugome kutoa huduma kwa wananchi ili uishinikize Serikali ikupunguzie die kodi, inamaana wameshinsmdwa kukaa kumaliza changamoto zao na Serikali,
@nasriprogrammingsite7026
@nasriprogrammingsite7026 3 месяца назад
Hutaamka tena 😂
@salminwamu2297
@salminwamu2297 3 месяца назад
😂
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 3 месяца назад
Kwenda wewe
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 3 месяца назад
Mmmh mh. Hapo kupiga watu biti umekosea
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 3 месяца назад
Watanzania Waoga sana yaani wanamuacha mjinga anawapiga biti alafu watu wanasifia ujinga. Mungu wetu wape ujasiri watanzania
@mwalimjuma7374
@mwalimjuma7374 3 месяца назад
Acheni kasumba wabongo mkuu wa mkoa kaelezea kwa ufasaha kabisa
@suleim505
@suleim505 3 месяца назад
Acha chuki za kijinga, kawaeleza kitu muhimu wafanyabiashara, kipi umeona cha kijinga
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 3 месяца назад
Hata mama Samia ndio walewale
@rosebeatus2834
@rosebeatus2834 3 месяца назад
Wako bungeni kuyajenga na wakuu wew mhaho wa Nini????
@vom84
@vom84 3 месяца назад
Kaongea mambo yasiyofaa
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 3 месяца назад
Tuige mfano wa Wakenya, Tuache kuwaogopa hawa mungu watu na vitisho vyao Tujali maslahi yetu na sisi
@IssacNtacho
@IssacNtacho 3 месяца назад
Masikin ya Mungu ,,viongoz wetu ,akiri ndo hzo kabisa?
@JacksoniMbilinyi-ic6hj
@JacksoniMbilinyi-ic6hj 3 месяца назад
Anasemaje huyo mbona simwelewi
@Gamba177
@Gamba177 3 месяца назад
Anafirwa huyu
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 3 месяца назад
Wewe unamjua Mungu ww
@valentinemutasingwa1932
@valentinemutasingwa1932 3 месяца назад
😁😁😁😁😁😁 nimeshiba makande Mimi sina hera ila nawaunga mkono wafanya BIASHARA
@IssacNtacho
@IssacNtacho 3 месяца назад
We mkuu wa mkoa we ni mwaadam ustoe kauli Kama wewe ndo final
@FortunataNguma
@FortunataNguma 3 месяца назад
Wakenya wanaweza watanzania sio rahisi
@leocadianjau7410
@leocadianjau7410 3 месяца назад
Wafanya biashara msisikilize hizi porijo mpaka hoja zenu ziwrkwe mezani msimkubali huyu...ni kana chawa wengine ninyi wafanya biashara ndo mnaojua shida ya kufanya biashara Achaneni na vitisho visivyo na tija
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 3 месяца назад
Hii ni mara ya pili ni vizuri utatue matatzo ya wafanyabiashara achen siasa na kutisha
@MajaliwaSilvester-uv9pz
@MajaliwaSilvester-uv9pz 3 месяца назад
Itikad yake sijaielewa wafanya biashara tunaumia Kodi zimekua kede yan nyingi so mgomo wa wote kutafuta haki pia anauhakika wamaisha hajui wafanya biashara unavyovuruga
@ndakichuwa7618
@ndakichuwa7618 3 месяца назад
Anzisha hiyo vita, mzee ujue migomo siyo dalili nzuri ktk taifa usitishie watu
@isackjoseph1388
@isackjoseph1388 3 месяца назад
Tanzania mwakani vita ya uchaguzi naiona kubwa Sana Kwa mara ya kwanza vita vitatokea Kwa Hali hii😢😢
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 3 месяца назад
kiongozi mjinga sana . anasifu kutokuwezekana kwa uwazi kwenye biashara afrika. duuh afrika kinyaa sana
@russia1253
@russia1253 3 месяца назад
Ndio unasikia anajiita msomi ana degree 😢😢 degree ya mavi au?. sikiriza hoja sio mida yakutisha mbona mnaangalia sana upende wenu sio wa wana nchi 😢😢
@surebeting2673
@surebeting2673 3 месяца назад
Hichi chama Cha ccm kimetuzoea vibaya sasa
@yusufujemson9020
@yusufujemson9020 3 месяца назад
Hii nchi ngumu sana
@egfridmkoba4767
@egfridmkoba4767 3 месяца назад
Serikali iangalie upya kiasi na utitiri wa kodi. Fedha inayopotea ni nyingi sana. Kwa mfano, kuegesha gari ni 300 kwa saa na risiti inatolewa, soda sh. 700 risiti haitolewi, ni soda ngapi zanywewa kwa siku nchi nzima?Kodi ikiwa rafiki tutakusanya nyingi sana. Pia ibuni mfumo wa mwananchi kutoa taarifa pale anaponyimwa risiti ili huyo asiyetoa ndio akabiliwe. Lakini kodi zipunguzwe kwanza ziweze kulipika.
@rashidiabdalahmkwanga7409
@rashidiabdalahmkwanga7409 3 месяца назад
Safii sana nimekuelewa ndugu
@birianination7097
@birianination7097 3 месяца назад
Kwa hiyo kila muuza soda atoe risiti mpaka wale wa barabarani na maduka yote. Kama ndio hivyo basi migomo mingi itaendelea maana ukweli wengi hapa ni hawa taki kutoa risiti
@josephlugome5845
@josephlugome5845 3 месяца назад
Hakuna mwenye nguvu zaid ya Mungu
@emlongetcha88
@emlongetcha88 3 месяца назад
KAKA, KAULI ZAKO HAZINA MASHIKO... WEWE SIO MUNGU NA HALI NI MBAYA. Kweli watu huwa wanabadilika sana. NIAJABU
@abdallahathuman9493
@abdallahathuman9493 3 месяца назад
Chalamila bola ungesikiliza wana mchi usiwamin hao tra
@mkanjimamkanjimamkanjima2043
@mkanjimamkanjimamkanjima2043 3 месяца назад
Huyu mkuu wa mkowa ni mpombavu kweli yani changa moto za kutendaji kama mkuu wa mkowa anashindwa kuzitatuwa na mwisho wa cku analeta ubabe wa kijinga sana
@nestorelisha5842
@nestorelisha5842 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@kisoso890
@kisoso890 3 месяца назад
😂😂😂😂sasa ulinde maduka yakoooo viongozi kichwa maji sana wewe ulishazoea kutukana tukana tu mbwa wee
@esitiniambonise837
@esitiniambonise837 3 месяца назад
Manake kiongozi asipo tumia busala basi ujue wanainch watajiongoza bila kiongozi
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 3 месяца назад
Mheshimiwa mfanyabisha mnawaumiza mbona kipindi cha magu walikuwa hagomii
@josephfrank4446
@josephfrank4446 3 месяца назад
Mbona kama kalewa😅😅😅
@husseinloyy1912
@husseinloyy1912 3 месяца назад
Huyu NI wahovyo sana ajifunze kwa makonda anavyowahangaikia wananchi mpaka unarizika sasa huyu nikuropoka hajui wananchi wake wanashida IPI
@fidel7im
@fidel7im 3 месяца назад
Watu wazima wanaskiliza kama wanafunzi wa shule, TRA inatesa wafanyabiashara , Hawa viongozi wa hivi hawataki Amani. Dawa yao kuonyeshwa nguvu ya wananchi
@esitiniambonise837
@esitiniambonise837 3 месяца назад
Sisi ndo wafanya biashala kama huna biashala hujui Kodi zinazo katwa tulia usiongee
@annamwanyelele9084
@annamwanyelele9084 3 месяца назад
kwani hapo kariakoo hakuna mawe si munge mbonda mawe vichupa sema tz kinyonge sana
@AllyHassan-e2m
@AllyHassan-e2m 3 месяца назад
Watanzania tunqekuwa na akili kama wakenya wallah tunqekuwa mbali sana siku zote oqopa mtu mnyonqe akiqoma kachoka sana huyu mtu
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 3 месяца назад
Wacha kutisha watu huosiuongozi tetea wafanya bi ashara akilihuna
@NAFTALIMUNDANGA
@NAFTALIMUNDANGA 3 месяца назад
Halufu mshahara utapata wapi? Eti unamtisha anaekulisha hahahah....
@nelsonishengoma9548
@nelsonishengoma9548 3 месяца назад
cheo ni dhamana, acha jeuli, jiulize kwann? wanafunga? chanzo ni nn? acha jeuli ww
Далее
С какого года вы со мной?
00:13
Просмотров 199 тыс.
Liban/Israël : le Hezbollah contre-attaque
10:24
Просмотров 283 тыс.