Тёмный
No video :(

KAZI KAZI: JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI ZA MSHUMAA KWA HARAKA NA ZENYE UBORA MKUBWA 

REUBEN NDETTO
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Wajasiriamali Wanaojihusisha Na utengenezaji Wa Batiki Za aina Ya Mshumaa wameelezea hatua tano za kutengeneza batiki kwa haraka na zenye ubora kabisa...... :Karibu utazame
.
.
USIACHE KUTAZAMA VIPINDI VINGINE VINGI VYA KAZI KAZI KWA KUBOFYA HII LINK HAPA CHINI YA PLAYLIST YA KIPINIDI CHA KAZI KAZI
• KAZI KAZI
.
.
#batikizamshumaa #kazikazi #buboranktv

Опубликовано:

 

19 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@AnnelinaZablon
@AnnelinaZablon 3 месяца назад
Vzr
@footballinfluence8476
@footballinfluence8476 2 года назад
Hope Tyga Anajua Sana Hongereni BUBOrankTV Kwa Vipindi Bora Kabisa
@buboranktv2112
@buboranktv2112 2 года назад
Asante Sana
@tatually
@tatually 9 месяцев назад
Safi
@hyasinthakamugisha6338
@hyasinthakamugisha6338 2 года назад
Hongera mama
@GraceMasesa-py3tm
@GraceMasesa-py3tm 4 месяца назад
Jinsi ya kuwafikia
@SesiliaTheonezius
@SesiliaTheonezius 4 месяца назад
Au Mimi sijasikiliza vizuri kwa ninavyojua batiki ya mshumaa ukishaichanganya madawa kwa maji ya moto utasubir yapoe ili mshumaa usije kuyeyuka ukapoteza maua au mwonekano wa batiki yako
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 5 месяцев назад
Ana kichwa chepesi kama mimi siku moja tu nilijuwa na nilikuwa natengeneza nauzw
@janethkimuli7700
@janethkimuli7700 Год назад
Mpo wp
@juxious4992
@juxious4992 2 года назад
🔥🔥
@buboranktv2112
@buboranktv2112 2 года назад
Asante Sana
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 5 месяцев назад
Namba zao mimi mwenyewe nilikuwa natengenezaga
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 5 месяцев назад
Kwel anaongea vizur
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 5 месяцев назад
Mjomba wangu ni mtaalamu wa batiki aina zote na kuprint tishet
@shillavaa765
@shillavaa765 11 месяцев назад
Where isher shop located?
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 2 года назад
Kazi nzuri lakini mbona hamtaki vipimo vya madawa na rangi
@nigananurunjema
@nigananurunjema 11 месяцев назад
Hao ni waswahili hawawezi kukuelekeza Kila kitu Kama unataka kujifunza zaidi ingia kwenye channel za waghana na wanaigeria
@busnaoman9981
@busnaoman9981 Месяц назад
Mie nahitaji batiki za biashar napataje
@fabianmihale3715
@fabianmihale3715 Год назад
He hapo sijaona ukitumia kemikali ya costik na sodium inamaana havihusiki?
@dkmshuza9391
@dkmshuza9391 2 года назад
Kindi makin sana hongera kwa bubo rank tv
@buboranktv2112
@buboranktv2112 2 года назад
Asante Sana Mshuza
@musasaid4413
@musasaid4413 2 года назад
Habari upo wapi
@mwantumumagawa8894
@mwantumumagawa8894 Год назад
Naomba kujua mnapatikana wap?
@buboranktv2112
@buboranktv2112 Год назад
0627438737
@dosteakigula3077
@dosteakigula3077 Год назад
Mko wapi?
@buboranktv2112
@buboranktv2112 Год назад
Dar Es Salaam Karume
@AnnelinaZablon
@AnnelinaZablon 3 месяца назад
Naomba namba simu nahiji kujifunza kuchanya langi za secondary
@barakapalla8799
@barakapalla8799 2 года назад
Naomba namba ya huyo jamaa
@buboranktv2112
@buboranktv2112 2 года назад
Amezitaja Hapo Mwishoni Kiongozi Msikilize vizuri
@janethkimuli7700
@janethkimuli7700 Год назад
Mnapatikana wp
Далее
Shibori - Itajime
13:39
Просмотров 545 тыс.
JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI ZA BLICHI
8:09
Просмотров 17 тыс.
Mwanamke wa Leo   Utengenezaji wa Mshumaa
34:13
Просмотров 19 тыс.
utengenezaji wa mafuta ya mgando
22:19
Просмотров 6 тыс.
How to produce Toilet Cleaner at home
11:40
Просмотров 10 тыс.