Тёмный

KENYA HAWANA SIASA ZA KANGA NA KOFIA, ZIPO SANA TANZANIA| KURA NI MKATABA KATI YA CHAMA NA WANANCHI 

Подписаться
Просмотров 68 тыс.
% 881

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

11 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 224   
@yonarsalach5842
@yonarsalach5842 18 дней назад
Tuliwaambia wabunge wasiipitishe, tuliwapigia simu, tukawaandikia sms, lakini wapi, hapa Kenya tunajielewa sana
@mysticman86
@mysticman86 19 дней назад
Power is back to the people. For too long that sense has been taken for granted. Tuta vuruga whenever necessary.. 🇰🇪
@martinowino1250
@martinowino1250 13 дней назад
Kaende kasonge🎉
@vitalisomondi1821
@vitalisomondi1821 9 дней назад
Kaende kaende😂 Ama Ruto aanguke nayo😅
@user-uz5db2dq2g
@user-uz5db2dq2g 7 дней назад
Kaende kaende anguka nayo😂😂😂😂
@user-kg8dn6qr8o
@user-kg8dn6qr8o 20 дней назад
Wa Kenya Wanajitambua Sana
@collinsbiwott7470
@collinsbiwott7470 14 дней назад
😢
@priscusemmanuel8403
@priscusemmanuel8403 18 дней назад
And there goes our fellow brothers in Tanzania, very eloquent.
@kentwalibora4994
@kentwalibora4994 20 дней назад
Imagine tulijaribu kuwatumia sms mingi sana kuwabia wasipitishe lakini wakaona sisi hatuna lolote wakapitisha
@victorosong132
@victorosong132 17 дней назад
Walituona mafala
@nisilas7411
@nisilas7411 20 дней назад
Siasa yetu huku Kenya imezaliwa upya ,furaha ilioje ,tulingoja sana siku na karnee ya sasa
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 20 дней назад
dah nyie KONKI kwa kweli. hongereni jirani
@Kakerluder
@Kakerluder 19 дней назад
​@@jedidahbintidaudi8241Trust Me magovnor watakuwa 24 badili ya 47😂😂😂😅
@gulledahmed2954
@gulledahmed2954 19 дней назад
​@@jedidahbintidaudi8241 Asante mrembo
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 18 дней назад
@@Kakerluder ona sasa pesa itakavo jaa kwenye treasury yenu. mtalia madeni yenu and at the sametime Ruto ataweza boresha mambo. Huyu jamaa kaupiga mwingi sio mchezo
@presentertelence1679
@presentertelence1679 20 дней назад
Kenya Tupewe Sifa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 20 дней назад
Hongeleni
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 18 дней назад
Hongereni aisee, tizi uchawa mwingi sana, hawa wenyewe wanajitoa tu hapa lakin kuna machawa wapo wanasikiliza kwa makini wakizidi kuongea ukweli kiundani wataambiwa wachochezi
@Jack-tw3th
@Jack-tw3th 20 дней назад
Youths wengi huwa hawapigi kura kenya,lakini 2027 wazee wote nyumbani
@maureenumuru8005
@maureenumuru8005 19 дней назад
We are Kenyans and Kenya is our business 🇰🇪🇰🇪
@AmisiAtito
@AmisiAtito 20 дней назад
Ulizeni Dudu Baya Sasa za Kenya Bado hamjui
@KinuthiaSimon
@KinuthiaSimon 20 дней назад
Hamuelewi, Kenya ni mpya, huenda Ruto asifike 2027 Kama raisi. Wanasiasa wananyenyekea. Ajab
@alexkibe4179
@alexkibe4179 19 дней назад
Alafu what follows??? He must be president until 2027
@johnmwangi9346
@johnmwangi9346 19 дней назад
He has to be president until 2027 I don't think the country has any other option
@alexkibe4179
@alexkibe4179 19 дней назад
@johnmwangi9346 exactly. We cannot ruin our country in pretence of building
@gulledahmed2954
@gulledahmed2954 19 дней назад
​@alexkibe4179 not written. By April 2025
@RoseObonyo-nn7hb
@RoseObonyo-nn7hb 18 дней назад
Matiangi​@@johnmwangi9346
@bacteria5184
@bacteria5184 20 дней назад
Baba levo kenya uchaguzi ni baada ya miaka 5 sio 4 nadhn umeteleza kdgo.
@mzadomwongozo3671
@mzadomwongozo3671 18 дней назад
Vice versa is true
@patriot_2022
@patriot_2022 16 дней назад
Amedhani sisi ni Marekani?
@Khalidniya380
@Khalidniya380 20 дней назад
Baba levo wakati mwingine ukiongea jua kwanza siasa ya Kenya sio Kama Tanzania mnapelekwa ki mbumbu tu bila mpango
@Alute-son2003
@Alute-son2003 20 дней назад
Tanzania tunahitaji waandishi aina hii,mnaupiga mwingi sana kwa kutoa elimu kwa wananchi maana tumelala sana tunatakiwa kuamka ili kupata maendeleo zaidi👏👏
@nassernasser1457
@nassernasser1457 18 дней назад
Siasa tulivu zinaleta wawekezaji, musitamani democracy tuko nayo Kenya
@patriot_2022
@patriot_2022 16 дней назад
@@nassernasser1457 yetu hukuwa very disruptive. Lakini heri tupiganie haki zetu, badala ya kutulia eti ndio watu wa kutoka nchi zingine wasiende. Wakwende wakitaka kwenda. Muhimu ni vile sisi tunaishi.
@nassernasser1457
@nassernasser1457 16 дней назад
@@patriot_2022 kweli pia ki upande mwengine
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 20 дней назад
Hamna tajriba wala weledi wa haya mazungumzo Love from Kenya 🇰🇪
@tyris54
@tyris54 20 дней назад
Huyu ndugu wa kwanza anaelewa siasa za kenya sana
@chelseaayesa3119
@chelseaayesa3119 20 дней назад
You guys need a kenyan in that studio,
@fabianmallya1446
@fabianmallya1446 19 дней назад
Sawa lkn kuna kitu pia wakenya hawajui kuhhusu wao wenyewe, ni vzr pia kujifunza kusikiliza other people’s view
@joycelinelyimo-fenske8745
@joycelinelyimo-fenske8745 19 дней назад
Kenyan person has nothing to do in that studio. Si mnaona wote wana idea tofauti but they still can laugh at it!!!!@ in different way. That is Tanzania. Upole, ustaarabu na kujua kumsikilza mwingine anasema nini! Watanzania tuitunze hii vizuri sana. Kama yai.
@cristalclear2499
@cristalclear2499 18 дней назад
​@@joycelinelyimo-fenske8745Joyce...... umeongea visuri sana 🇰🇪
@norbertoduor9459
@norbertoduor9459 17 дней назад
@@joycelinelyimo-fenske8745 ulizozitaja ni sifa nzuri za kuiga kwa hao walioko studioni. Swali langu latokana na jinsi ulivyolinganisha wanatanzania na Wakenya, yamaanisha hamna ustaarabu huu kwa Wakenya?
@joycelinelyimo-fenske8745
@joycelinelyimo-fenske8745 17 дней назад
@@fabianmallya1446 exactly
@danielmiano6315
@danielmiano6315 17 дней назад
Siasa zetu sisi wakenya ni ngumu sana mnaumiza vichwa zenu bure na bado hamjaelewa mnahitaji mkenya mmoja kwa hiyo studio 😂😂
@robertmosha6801
@robertmosha6801 8 дней назад
Acha ego shda ni zle zle
@user-uv7op3id3s
@user-uv7op3id3s 20 дней назад
Mnaongelea sana Kenya mbona ya kwetu Tanzania huwa hamna ujasiri wa kuyaongezea acheni unafiki ninyi watangazaji Ongeleeni ya hapa Tz muone kama watu wasiojulikana watawaacha salama Kenya na wakenya wanajitambua
@yusufujemson9020
@yusufujemson9020 20 дней назад
Kenya wametuzidi mbali sana katika kujitambua sisi bado sana
@user-uv7op3id3s
@user-uv7op3id3s 20 дней назад
@@yusufujemson9020 waambieni wachambuzi wetu waendelee kuchambua mpira tu Wasijiengeshe kwa siasa za Kenya Kama wanaweza wazungumzie za hapa kwetu wakione cha moto
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 20 дней назад
Wabongo tuamke tuache unaz wa vyema tushikane tukomboe taifa letu
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 20 дней назад
Hapo ndipo wananishangazaga..wanaume wazima wanakaa kuongelea ya nchi jirani wakati hapo nyumbani kuna uchafu mwingi unaendelea ila wanakaa kimya..wanafiki wakubwa mbwa ninyi..mcheeww😡
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 20 дней назад
Vijana wamesoma badala kutumia akili kulisaidia taifa wana kuwa machawa iliwateuliwe vijana wapuuz sana
@PeacefulSoccerGoal-ki7td
@PeacefulSoccerGoal-ki7td 19 дней назад
We r partyless,tribeless and fear less na wengi walipitisha chini ya maji
@Play_Streams
@Play_Streams 20 дней назад
Ogopa sana hasira ya Wakenya, wameteswa kwa miaka mingi na serikal
@Meaw687
@Meaw687 18 дней назад
Not True Mbona tumekuwa na 4 presidents before na inchi ilikuwa sawa tu. Huyu Ruto nimnafki sana kwanza alikuwa HAGUE international crimes court ICC kwa mauji mengi.. Tena muongo kweli kweli imagine hana dini kafiri must Go. Hatatuka kusambaziwa ukimwi sisi...
@badmanno.1650
@badmanno.1650 20 дней назад
Kenya muhula mmoja ni miaka mitano, na l wish new constitution iweke 4 years
@user-wz8hw2kk8n
@user-wz8hw2kk8n 19 дней назад
Nimewakubali Jirani zetu mungu awape wepesi
@hilarymayende
@hilarymayende 19 дней назад
Baba levo ako right Ruto is controlling the mps anawanunua wapitishe vile yeye anataka
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 20 дней назад
Lazima ruto atatuambia deni ya kenya walikopa ya nini na ilifanya miradi gani kwani hatuioni ndiyo tuwe tunatozwa kodi hadi na mapua. Bila hiyo audit ya deni ya nchi na nani wamekuwa wakiibia wakenya pesa,Ruto lazima ataenda. Mwizi
@user-km9rt5mf6q
@user-km9rt5mf6q 20 дней назад
Na nyinyi watanzania mko down mnaongea mambo kizamani 😂😂😂
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 20 дней назад
hahaa inabidi tuwaite Jirani mtusaidie😅😅
@our10picks18
@our10picks18 19 дней назад
@@jedidahbintidaudi8241Hatuwezi wasaidia wakati Tz mnatuchukia sisi wakenya
@alibinali_
@alibinali_ 20 дней назад
We said Baba Levo 🙌🏽 kwanza saho Ruto anajaribu kujitetea kila kona kwa sababu yuwa jua 2027 ni kumoto
@tonykarim6941
@tonykarim6941 17 дней назад
The people SHALL(Mandatory)
@evonrn2000
@evonrn2000 18 дней назад
Kenyans L❤ve Kenya🇰🇪.... Upuzi hawaupendi.
@edo26ful
@edo26ful 20 дней назад
Baba levo Kenya Rais anakaa madarakani miaka mitano sio minne, Pia hiki kinachotokea Kenya wanasiasa wa hapa TZ wajifunze kitu.
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 15 дней назад
Kweli kabisa. Sema hawajitambui
@BenBennyongesa
@BenBennyongesa 15 дней назад
Tanzania Iko na shida zao lakini wanashinda kujadili za Kenya,,,,maajabu
@murachiakamau9810
@murachiakamau9810 11 дней назад
Ndugu zangu Watanzania mwanipendeza sana kwa Kiswahili chenye ufasaha. Nyinyi ni kielelezo chema kwetu sisi Wakenya. Kiswahili kitukuzwe!
@vdjwabyad7297
@vdjwabyad7297 18 дней назад
Mmeanza kujielewa sasa nanyi waeleweshe wenzenu bro huku kwetu kenya kanaumana polepole tushatimua ministers
@barackmuteti2012
@barackmuteti2012 20 дней назад
Ni uko kwenu Tanzania.. kenya kama mbaya wananchi wanawayoa
@anthonymaina2215
@anthonymaina2215 20 дней назад
Ruto hafikishi 2027! Watch this space…
@urban_shorts6633
@urban_shorts6633 17 дней назад
Proud to be kenyan❤️✌️
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 20 дней назад
Dah sie mbali2 na Kenya..wenzetu hawa mpaka tuje tuwafikie na hali hii huku kwetu, mmmh inaitaji watu kujitoa haswa kumtafuta Mungu Atuambie wapi shimo liko kisha atoe suluhu na ifuatwe..bila hivo..tutawasikia hawa ndugu zetu jirani kwenye mavyombo tuu nchi yao ikileta mapinduzi mmmh
@VincentOndigo-n4f
@VincentOndigo-n4f 20 дней назад
Tuliwapiga wabunge
@jamesodhiambo6401
@jamesodhiambo6401 20 дней назад
uchanganuzi wenyu umekomaa..wengine watamkejeli levo eti hakielewi kizungu ila hoja zake zinamake sense..Mimi kama mkenya nawapongeza kwa kukutanisha fikra na kauli zenu...mwisho ni kufuta uozo kwenye jamii afrika mashariki
@DorcasNerima
@DorcasNerima 20 дней назад
Hapa Kenya kitu tunaogopa ni uji moto na ndoa😂
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 20 дней назад
Kwanini muogope ndoa
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 16 дней назад
​@@Hussein-gx4quMuongo huyo watu wa Nairobi tuu ndio wanaogopa ndoa sio Kenya nzima tunapenda ndoa❤
@LotimanChukata
@LotimanChukata День назад
Sijui kama munajua chenye munazungumza na hata hivo sherea au huru wenu sinui kama munakiijua munaongea vitu amna habari nazo ,hila mtu hapo anakielewa
@mzadomwongozo3671
@mzadomwongozo3671 18 дней назад
I wish media zingekua na ufahamu hata kidogo wakutunlmia tafsida kuelezea na shabihisha yanayotokea kwa jirani VS home
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 15 дней назад
Ukweli hautaki tafsida. Kila kitu hadharani
@njerimunge2108
@njerimunge2108 14 дней назад
It's not the party which have the power, its the constitution. Party manifesto it's for campaigning not ruling. Ruling is constitution based!!!.
@junemuchiri609
@junemuchiri609 18 дней назад
That lady is clueless😂😂
@naibei_Tv
@naibei_Tv 17 дней назад
😅😅😅haradi
@martinke6814
@martinke6814 17 дней назад
Try host dudu mbaya has a good understanding of what kenya is
@omarisiliverio2965
@omarisiliverio2965 13 дней назад
Mambo mnayoyasema hapo ni kwelu ila Kenya tunapiga kura baada ya miaka mitano sio minne.
@Aminaamina-us5yj
@Aminaamina-us5yj 11 дней назад
Lakini raisi wetu wa kenya i mean ruto ako na sura mbaya hadi kushinda roho yake😅😅😂😂
@unchainyourself1729
@unchainyourself1729 16 дней назад
Kenya! Imesonga! Ruto must go!
@aloisokongo
@aloisokongo 16 дней назад
Wakenya wanahitaji kiongozi kama Magufuli!!!
@mulashanibrasio8151
@mulashanibrasio8151 20 дней назад
Not only Ruto even you Baba Levo you must go
@PetronillalhMalobah
@PetronillalhMalobah 7 дней назад
Wabunge wanatishiwa na walio mbele zao hata wengine wananyamazishwa kupitia kuuawa
@judyjaoko3397
@judyjaoko3397 16 дней назад
Siasa za chama zina isha wakati wa kampeni ukisha ingia unatumikia wananchi
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 16 дней назад
Muendelee kula zege na biryani. Kenya is the land of heroes🇰🇪.
@MjMohammed-nt6fq
@MjMohammed-nt6fq 20 дней назад
Hii bana na tanzania tuige tuingie bungeni tule ubwabwa , nivae vazi la spika na mm nione utamu wake ikifika kuharibu mali zao aisee hawatabaki na hata kitu nitaakikisha navunja kila kitu hadi house girl wake maana tuna hasira nao san
@ProdactTV-T9814
@ProdactTV-T9814 20 дней назад
Na mfanye Research ..Analysis zenu ni kutoka kwa Video za social Media. Mnahitaji correspondent kwa ground Wasafi media ni jina kubwa
@HansChuma
@HansChuma 20 дней назад
Huaga mm nachekaga sana😂😂😂😂 vyombo vya habar vyakibongo kuongealea vyakwao wanaogopa😂😂😂😂 fyetu sana tz
@vanemmy6043
@vanemmy6043 20 дней назад
iyo ni kweli ,watanzania wanaburuzwa sana
@salmasaid7058
@salmasaid7058 20 дней назад
Hawawezi samia awakujie
@fredylucas2484
@fredylucas2484 20 дней назад
Sasa kwenye habari za Kimataifa ulitaka waongelee habari za Pluto planet?
@fredylucas2484
@fredylucas2484 20 дней назад
​@@salmasaid7058kwenye habari zipo za nyumbani na kimataifa unless hufuatilii vipindi vyao ama hujui namna habari zinavyokua produced
@alhabshyhautah408
@alhabshyhautah408 14 дней назад
Mwananchi ndio mwenye nchi,Tribeles,party less, leaderless.
@DLMEDIA-e6k
@DLMEDIA-e6k 12 дней назад
Baba levo kenya presidential term ni 5 years sio nne,na Ruto ako mwaka wa pili.
@Mageto...
@Mageto... 17 дней назад
😢Mlilazimisha watu wa soka waongelee siasa? Kenya muhula wa rais ni miaka tano, pia sio wabunge wote huchaguliwa wakiwa na chama wengine ni independent candidate. Nyie baki tu kwa Yanga na simba hii siasa ni ngumu
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 18 дней назад
Vyombo vya habari Tanzania vinaprnda mijadara ya nchi nyingine. Lakini topic za nchi yao za maana wanaufyataaa. 😊
@aberemanwer2939
@aberemanwer2939 20 дней назад
Nyie wanafki, maisha ya kenya na tz sawa au mnalopoka tu.
@Walkmwalkm
@Walkmwalkm 19 дней назад
Kwanzaa kasome huwezi linganisha Tanzania na kenya.wakenya wanajielewa hata katika uchum kwa Sasa Kenya imesonga.katka currency Kenya yaongoza Africa nzima sio east Africa.jitu.lenyewe hujui hata haki yko km mtanzania.hujui hata katiba yako yasemaje.upo tuu.jua haki zako ndio urudi upinge
@robertmosha6801
@robertmosha6801 8 дней назад
​@@Walkmwalkmapart from currency kingne nini..labda njaa
@Walkmwalkm
@Walkmwalkm 8 дней назад
@@robertmosha6801 ....uliwaona kwenu wakija kuomba chakula.biashara nyingi Tanzania ni za wakenya mmeajiriwa na wakenya.hamna lolote zaidi ya kuvaa maderaa mpaka wanaume na kukata mauno.walio erevuka walileta watoto wao Kenya kusoma.wajinga wamebaki barabaran kuomba omba.omba omba wote walioko Kenya watanzani.hamna lolote ujinga mwing ndio mko nao
@HadijaFakhi-ss3bu
@HadijaFakhi-ss3bu 16 дней назад
It's time for Tanzanian and Ugandan to wake up people's power
@SSk5k
@SSk5k 14 дней назад
Point of corrections, Kenyan presidential term is 5 years and you only run for two of them=10 years
@ngurekim6278
@ngurekim6278 17 дней назад
Mimi ni Mkenya. Hebu niwasaidie kuwaelewa wakenya. Mwanzo, Kenya hakuna vyama vyovyote vya kisiasa. Yaliyoko ni magenge ya kikabila, kila moja likiwa na kigogo mwenye kulimiliki. Hao wamiliki wa magenge ya kikabila ndio wanaopangana wenyewe namna ya kupatana au kutengana. Mtu akitaka kuwa mbunge, seneta au diwani lazima kwanza alipe kiingilio cha millioni kadhaa kwa huyo mumiliki mkuu (party leader) Wa chama au genge. Hivyo sasa naye mbunge, atadai malipo ya kupitisha kila mswaada kwenye mbunge au seneti. Wambunge wa Kenya ndio walio na marupurupu na mishahara mikubwa sana kuliko nchi nyingi duniani. Kwa mambo ya maandamano, kuna wahusika wengi wa kulipwa na wachache wa ukweli. Kunavyo vikundi vingi vya wanaharakati vinavyo fadhiliwa na wazungu. Wakati mwingine hizi vikundi huwa na ushirika na magenge ya kisiasa. Tatizo kubwa sana Kenya ni kwamba hatukupata ideology ya kitaifa. Wazungu walipoenda, tulibaki kuwa cocktail of different tribes sharing national facilities. Nī kama sokoni. Unipishe, nikupishe - unayo ya kwako, na mimi ya kwangu. Shida ingine ni kwamba, kama ilivyo kote Africa, uchumi wa Kenya unawavutia sana wazungu wenye ukora wa kupora rasilimali. Sekta za fedha na uwekezaji wa hisa inawavutia foreign speculators. Tena, kunayo shida ya IMF na Benki ya Dunia. Hao nao na magenge ya ukadarasi wa mikopo wako. Kuwaelewa hao inabidi uione video ya Al Jazeera iliyo na kichwa cha "What is an Economic Hitman?" Hata katika hayo yote, Kenya ni nchi iliyo na mazuri mengi. Kunaweza kuwa moto wa maandamano leo halafu kesho shughuli zinaendelea kama hakukuwa na shida. Hata kunaweza kuwa na maandamano upande mmoja wa mji hali maisha ya kawaida inaendelea upande mwengine.
@YyuuUugfg
@YyuuUugfg 10 дней назад
Hawa gen z wengi walikuwa wajafikisha umri wa kupiga kura
@bama9271
@bama9271 20 дней назад
Tanzania siasa hakuna tanzania ubabaishaji ni mwingi sana. Na ndio maana wananchi wa tanzania huwa wanadanganywa kwa mambo madogo madogo tu alafu wanakaa wanasifia makubwa ambayo hawana maana watanzania wangekuwa na moyo kama wa wakenya nafikiri mpaka sasa hivi nchi yao ingekuwa ishafika hatua fulani maana mambo mengi sana yanapatikana tanzania ambayo ni machafu sana na ni rais magufuli alijitahidi kuyasafisha kwa hatua kubwa sana na akafanikiwa na nafikiri labda angemaliza miaka yake mikumi angefanya mambo mengi sana tanzania. Lakini huyu mama waliyenaye kwa sasa hivi katika maraisi wa bovu afrika huyu mama ni wa kwanza maana hamna chochote kile anachokifanya zaidi ya kuzidi kuwaangamiza wananchi na kwa vile ashaona katika nchi yake gaidi hamna wanakubali tu ya aina fulani hivyo alafu maisha yanaenda hivyo. Angalia kama kazi anayoifanya makonda makonda ya kazi anayoyafanya kwa sasa hivi ni kuwapumbaza watanzania tu maana hakuna hata cha ajabu sana anachokifanya kwa watanzania zaidi ya kuwapumbaza na kuzidi kuonyesha sifa za mama ambazo hazina hata msingi wowote kwa wananchi sasa kweli hapo kuna namna ya kujilinganisha na kenya jibu ni hapana ndio maana siasa ya kenya na ya tanzania ni mambo mawili tofauti na kule kenya ndio chama kina nguvu lakini wananchi ndio wamekuwa waamuzi ila tanzania chama ndio kinaamua kila kitu kitakachofanyika katika nchi kitu ambacho muda mwingine ki madaraka sio sahihi. Kwa hiyo mnapokuwa mnajadili mambo ya ya kenya kwa sasa hivi angalieni nchi yenu kwanza jinsi gani ilivyo alafu msi linganishe siasa ya kenya ni ya tanzania nchi yenu inaishi tu kwa maneno lakini ukiangalia kiundani hamna lolote linaloendelea ndio maana magufuli alivyoingia alisema wazi kwamba serikalini hamna pesa anatakiwa kukusanya pesa na kweli alifanikiwa kuzikusanya na ndio kinachoendelea mpaka sasa hivi tena tanzania ingekuwa ni wakenya ule mkataba wa bandari wasingewakubali lakini watanzania walikubali na mambo ya kaenda sasa hivi wazungu wanaenjoy wanakuja kuchota wanaondoka
@shimronnetia
@shimronnetia 19 дней назад
Wasafi Media, mnafanya kazi nzuri kuangazia mjadala wa kisiasa wa Kenya, jinsi ulivyobadilika kwasababu ya ushirika za chama na ukabila.
@norbertoduor9459
@norbertoduor9459 17 дней назад
wanafanya kazi nzuri. Nimeona kuna watu kadha wa kadha wamegusia wazo la kukaribisha Mkenya angalau aliyeneutral aweze akaongezea mtazamo mwingine. Huenda jambo hilo likafanya mantiki ya mjadala kuwa yenye kufaa zaidi.
@user-pq8uq9sl5f
@user-pq8uq9sl5f 17 дней назад
We mafi nini ....si wakenya hatutambui shiett
@abdallahyunus7538
@abdallahyunus7538 17 дней назад
Kwanzia lini baba levo akachambua siasa
@omarchaijefwa729
@omarchaijefwa729 17 дней назад
Baba levo hajui hata term Moja ya uongozi kenya ni miaka mingapi ni mitano basi sio minne
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 15 дней назад
Halafu ahadi za maji,sukari na barabara ni upumbavu. Tunahitaji misingi sahii. Hatutaki kujazwa kwenye daladala kama kondoo. Tanzania yenyewe kitanuka tu. Ngoja hao ma gen z wajifunze kwa jirani
@OgollaJr
@OgollaJr 17 дней назад
According to statistics Tz wanavuta Bangi kushinda kenya 😅
@user-ql6hg7fy9p
@user-ql6hg7fy9p 20 дней назад
Tatizo la Afrika ni viongozi alisema CHINUA ACHEBE, Afrika itakombolewa na viongozi vijana kama Ibrahim Traore wa Burkina Faso hawa Marais wazee hawana maono tena zaidi ya unafiki na ufisadi kujipendekeza kwa wazungu kuogopa kuuliwa.
@j...876
@j...876 12 дней назад
Ina depends na nchi, kama DRC ni serekali numba one Bahada ya Election
@paulombay6884
@paulombay6884 20 дней назад
Baba levo chama kuwa juu ya serikali ni kuwa na matabaka nchini ndo mana CCM wanawabagua wengine
@Khalidniya380
@Khalidniya380 20 дней назад
Chama kuwa juu ya Serikali hapo ni Tanzania siasa ya Kenya ni Tafauti na Tanzania
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 15 дней назад
Ccm hawajuwi walikotoka hawajuwi wanakokwenda hamuna dr.silaa lisu kabwe mabadiliko ya taletwa na machinga tu uchawa utaisha
@emmanuelmungono1108
@emmanuelmungono1108 20 дней назад
Kenya ni miaka mitano si minne
@user-kr9kf8jr3q
@user-kr9kf8jr3q 18 дней назад
Siaza za kenya wachana nayo shugulika ya kwenu
@douglasmomanyi3045
@douglasmomanyi3045 13 дней назад
Mambo ya Kenya hamyaelewi.mdomo tu
@KibzBeccer
@KibzBeccer 17 дней назад
Ebu niiteni niwaelezee what is going on exactly
@allytv1714
@allytv1714 20 дней назад
Tatizo lilianza zama sana waandishi wasema kweli walikuwa zamani sana wakauliwa waliobaki wengine at awajasomea uandishi kama baba levo wanapewa ajira yy watu wamejazana kindugu kwanzia serikalini akuna kitu kichwani empty head wasomi wanateseka kitaa watu hadi wanazeeka wanakufa kwenye kazi wasomi hawana ajira wanateseka kitaa hilo amlioni kulijadili
@MartinezzJT
@MartinezzJT 20 дней назад
Tumengojea Ruto sana 2027 😅😅😅😅
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 18 дней назад
Walihongwa wale wapuzi tu kila mmoja millioni mbili
@victorjames3730
@victorjames3730 18 дней назад
Hiki chombo Cha habari kinajadiri mambo ya siasa ya Kenya namna wananchi wanavyoiwajibisha serikali lkn hiki chombo hakifanyi hivo hapa Tanzania
@egosangjeff202
@egosangjeff202 12 дней назад
Our brother country
@mohamedali7544
@mohamedali7544 19 дней назад
Power are from the people not politicians. Wabongo amkeni wacheni mafuta mafuta
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 20 дней назад
Hiki ni kizazi kipya ukabila umewekwa kando
@user-te9nf8zg9o
@user-te9nf8zg9o 13 дней назад
Mimi ni mkenya nasema shida ni rais dio tunataka tukoa jua ananunua wambunge dio wapitishi pesa sake
@machakayohana9200
@machakayohana9200 20 дней назад
Muswaada mpaka unaenda bungeni waziri wa fedha na balaza la mawazi pamoja na raisi nachama tawala wanajua kinachopelekwa na wana baraka zote kwahiyo rais kulivunja balaza la mawaziri ni sahihi kwa hali ilipofikia Kenya
@friarmbongemelodies5662
@friarmbongemelodies5662 17 дней назад
Jadilini CCM lenu
@michaeljuma007
@michaeljuma007 19 дней назад
Somo la sheria Kenya kinaanza kuzungumziwa kuanzia masomo ya msingi ilihali pale Tz, somo hilo linapatikana chuo kikuu pekee, na ni kwa wale ambao waliochagua somo hilo
@cristalclear2499
@cristalclear2499 18 дней назад
Sisi wakenya tunapenda Hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa kupunguza ukabila Tanzania. Sasa mutindo ni huo huo hata kwetu Kenya. Ukabila chafu sana.
@davidpallangyo114
@davidpallangyo114 17 дней назад
Kenya ni miaka mitano ,5,pia. Jamani,Waandishi wa Habari wa Tz.mnapo chambuwa mada jitayarisheni vya kutosha kuwa" well informed ".
@brianondusye806
@brianondusye806 17 дней назад
Mfanye research kwanza kabla ya kujadili mambo . I can see alot of misinformation, cluelessness and ignorance. Otherwise good discussion though you need facts.
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 15 дней назад
Hata kwetu ukale uishe
@jameskimani1169
@jameskimani1169 18 дней назад
Niwakosoe kidogo, term limit ya raisi nchini Kenya hi Mia Kitano sio minne?
@bettyliznyawira
@bettyliznyawira 17 дней назад
watanzania kazi yenu ni akina diamond harmoze alikiba huku wakikula pesa yenu
@allykwaya
@allykwaya 20 дней назад
Oscar nimekuelewa na upo sahihi. RAIS kutoka madarakani ni jambo lisilowekana, kitakachowasaidia wekenye ni Raisi kutengeneza mifumo sahihi na ndio mahitaji ya wakenya. Viongozi wengi wanatakiwa kupata funzo kupitia hili.
@deniseliuter3002
@deniseliuter3002 20 дней назад
Unaongea kwa kurefer nchi yetu ya tz ambayo kila kijana anajiunga CCM kujipendekeza ili apewe keki ya nchi
@ClementJacob-sd8lf
@ClementJacob-sd8lf 20 дней назад
Na vitu vichuke bei siyo kukopa kwa I.M.F na kufata sheria pia mabosi wengi hawafati Sheria
@simongshayo4678
@simongshayo4678 17 дней назад
Je kununua pikipiki ni ilani ya chama tawala?