Munishi kwa ile hekima unayosema uko nayo..lazima ushinde ukijibizana naye.. We got different characters ..hiyo ni yake...Sasa nyinyi wote wawili mwatafuta ubabe wa maneno kila wakati..si kila mtu to mind his own business
Wooiee MUNGU atsaidie tufike Mbinguni tuwschane na watu wakiburi juu hii dinia si yetu kwani hamjaona bishop kiuna Malli amewacha mpaka bibi mrembo of which angeulizwa na MUNGU kama angtakaka kuba ki angesema abaki juu ya bibi lakini muogopeni MUNGU na muwache vituko za hapa za muda lilieni roho zenyu mkifa mtaenda wapi eeeeehhhh okokemi jamaniMUNGU aliwaaumba mumsifu simjishikilie mambo ya Dunia Juu MUNGU hapendezwi na kifo Cha mwenye dhammbi hata wewe mwenye kusambaza hizi meme I hope umeokoka mmmmAmeen