Pengen kusoma kwen English ndomaan matapeliwa na boy zenu Bado sana oky tz awajuw English lla ndo watu wapo makin sana wakeny Bado sana kwanza apo na eshima nipo na swala apo English yenu ndo hinasababishi kuwa na maceboy wengi na mauwaji nyinyi kwa nyinyi acheni ujinga wa English ndo utatuzi wa maisha ya mtu unaweza ww ukasema English na Bado uyo aneye sema kiswahil yupo juu kukuzidi ww ivyo tambuwen kutanguliya siy kufika ukiambiwa nyuma geuka kwanza nakuwa wa mwisho nazan wakenya mnapenda sana vita Kila seemu mnapenda kusema au kuingiliya mataifa ya watu taifa lenu linawashinda japo mpo na English ajabu sana love you 😘❤️❤️💯🙌🎈 tz
@@aishamohamedi362we cheza chini taratibu tafadhali... .... Ndugu zako wanauwawa huku South Africa Kila siku tunawachangishia miili yao irudishwe nyumbani..... Hawana issue isipokuwa kubishia na kuruku kuta za watu ili wavunje manyumba ya watu nakuwaibia..... Kumbaff
I'm from Uganda but honestly speaking Tanzanian women are so beautiful and they can never be compared to Kenyan women.... i really think of dating a Tanzanian woman
hata sijafikisha dakika moja I'm already laughing; ati TZ wametushinda maendeleo- that is the funniest thing I've heard in the last ten minutes but tell yourselves whatever you need to tell yourselves
But Kenyans u also learn how to pronounce words like they say zirious means serious, univazite meaning university and three they say ziree pronounce well then accuse tz
Na anakalia nini? Matako hayamlishi, sauti yake poa n 6:32 dio inamuinua. Heshimu maumbile ya mwenyezi Mungu.tako halipeleki mwanamke yeyote ule mbinguni. Zuchu yuko sawa
Team strong ivon achana na hao mbuzi hivi wataezana na kenya kweliii hawa wote mngenipa mm wenyew sura zao ziko na miundo ya six pic fala nyie achaneni na kenyaaaaa ilove my country kenyaaaaa
Really Tanzanians, you think you’re better than Kenyans? But why are people fighting we are east African countries. Why do you have to make it personal? I’m a Kenyan , and I love Tanzanian music. I love Zanzibar. Why do Tanzanian women, feel they are better than Kenyan women? We should be happy with what God gave us. Human beings should learn to be kind.
Where is this hate coming from between 🇰🇪 na 🇹🇿 Karne hii ya sasa Kwa TikTok na pia RU-vid tume ruhusu chuki itutawale badili ya upendo katiyetu. Mimi nikenya nanipenda inchi zetu mbili sis ni madungu na dada kati yetu
Mm hawa watu wa Kenya na Tanzania wananichekeshaga Sana ,kuonyesha wote hawana kitu wategemeana Kwa kila kitu ,mbn si Tanzania na Uganda ama Kenya na Uganda,ni wao tu kila wakati,semeni ukweli
Acheni upuuzi mlianza kututusi tunawajibu mnalaumu kumbuka wakenya amuwezi linga nisha na tz tuko juu kwa kila kitu bakini na ubinafsi wenu ndio maana amtoboi ajili ya loho mbaya
I rly love Kenyans the are beautiful and I think they are funny sanaa and beautiful smile kuna bro wangu kaoa mkenya jaman she smiles all the tym and she looks very pretty while doing it banaaaaa
Hahaha na wote ambao huwa wanachongoana ni watu wa chini wote ,huwezi ona wadoz watu wapi pesa wakichongoana ,ni hao watu wadogo wadogo wenye hawajui maana ya pesa ,kila inchi inategemea ingine wacheni ushamba nyinyi wote
Kati ya vitu visivyoweza kukaa pamoja vikachangana kikamilifu ni Mafuta na Maji. Hii ni picha halisi ya kwa nini Urusi na Marekani ni nchi hazitakuja ziitane kuwa ni ndugu. Kenya imejengwa katika misingi ya Ubepari hali Tanzania imejengwa katika misingi ya Ujamaa. Kwa mabepari mali ndiyo kila kitu lakini kwa wajamaa utu ndiyo kula kitu. Sasa tuone, kipi bora kati ya mali na utu?
Let us agree to disagree interms of poverty(slums),tribalism,hate and etc...neighbor next time if your not smart enough the genocides is like a time bomb ticking...tik tok tik tok booooom🔥🔥🔥 Wenyewe hampendani mtatupenda sisi jirani...kuweni serious...start addressing which matters to your nation...like tribalism,hatred and etc among you kenyans...nyie ni ndugu ,wamoja kila mtu ana haki na hiyo Nchi siyo ya mkikuyu,mluo,mkisii wala mkaleng...mnatupa pressure mkianza riots...huyo aliongelea matako achaneni nae hata mende anayo...🙌