the only problem with Pluto's videos is that uwa mnafinyilia boychild always ata mpate dem akona mistake uwa mnaona tu makosa ya chali. why can't you talk with both of them like adults ndo wote wajue wakona makosa wanafaa kurekebisha.
Alkini ebu kujeni hapa tusemezane,si wote wako na makosa akh😂😂😂😂,they are just the.same, anyway acha nijifanye tu sijasikiia,endelea hivo tu Pluto do usafishe sokoo❤❤