Ni mama aliyenifanya nipende Radio ya "SAUTI YA KENYA" hiyo miaka ya sabuhini(1970s).Mungu aendelee kumlinda huyu mama wetu. Nampenda sana miziki ya taarabu enzi hizo❤❤.
Yaani hadi Raha pongezi Shangazi Khadijah Ali na mzidi kutuletea wengine km Leonard Mambo mbotele in full na Mr.Wa Music Time The blackest man in the Africa Frrrrrreeeeeed Ombbbbach Machokaaaaa.
Nimemutambua Khadija Ali kupitia Sauti ya Ujerimani. Kutokana na jinsi alivyo nivutia kiutangazaji, Hata nimempa msichana wangu jina la Khadija Ali natumai atakuja kuwa shujaa pia.