Kwani rasaree ndio Nini,? Hata rosecoco , yenye Ali rap ,kama sio Kenya hangejuwa inamaanisha nini ,hiyo ni nick name ya kuma ya mwanamke,😂😂😂 nyinyi watanzania hamjui chochote,Kenya itawafunza Mambo Mingi na lugha tofauti😂
Haimaanishi ukiitwa ndio utuzidi Sisi wakati nyimbo zetu toka zamani Tunauza Zaidi kwenu kenya nazina pendwa kuliko zenu Wenyewe. Sisi Baba zenu kwa muziki
Kenyan artists are NEVER KNOWN IN TZ.. na ndio maana hawapati shows Bongo.. Just ignore them waendelee kuchemsha mawe yao wakati wa new variant ya covid inayotangazwa hivi sasa! hawa wanatafuta KIKI .. wanataka kuwatumia wabongo ili kuinfiltrate Tz market na sio kwa sababu wana madini..! LMAO..! Kuingia Tz market wajifunze kiswahili sawasawa kwanza.. ! Fakes!