Darsa hiki ni ya kila wiki juma nne, na yanafudisha Akida ya uislamu, ni kitabu nzuri ambaye hueleza kwa kila vile muislamu anafaa ashikamane na Akida yake kutoka kwa Qurani nasunnah.
Na pia ukitaka kitabu kwa njia ya PDF basi wasiliana nasi kwa arqamonlinetv@gmail.com
SKIZA UFGAIDIKE #akida
👆Ref: HADITHI
Ameipokea Imaam Al bukhaary hadiyth ya Anas ibn Malik Allaah Radhiallahu-anhu. (Kitaab al iymaan wan-nudhur (83) kitaab tafsir (65).
30 июн 2024