Тёмный
No video :(

Khutba Ustadh Muhammad Al Beidh, Mawlid Faqihil Muqaddam Kibokoni 2012 

Ustadh Muhammad Bin Shariff Said AlBeidh
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@samiraswaleh4796
@samiraswaleh4796 2 года назад
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
@mohamedjembe295
@mohamedjembe295 8 лет назад
Mnae mpinga sheikh mohammad albeidh mkula khasara kubwa.
@hajijumaa362
@hajijumaa362 7 лет назад
jamani sharifu hastahiki kuzungumziwa kwa ubaya wala upungufu wa elimu na mtu yeyo aliyoko katika huu ulimwengu katika zama zetu hizi kwasababu hana mtu wa kumlinganisha na kitabia kielimu kitawaadhuu kiufahamu ndo usiseme maan inafika wakati mpaka anawaona mashekh walomtangulia katika vitabu walivovitunga si kuwakosoa bali ni kuona wanaupungufu katika fataawa na siira zao ju ya mtume s.a.w ukimuona mtu anampi ga sharifu wewe usitie ulimi kwasababu unaweza kukosa barka zake
@swalhaabeid1627
@swalhaabeid1627 4 года назад
Mashallah
@Mohamed-vv8fc
@Mohamed-vv8fc 3 года назад
Kalima kutoka kwa Alhabib Ustadh Muhamad Al Beidh رحمه الله NA Dua kutoka kwa Al Allama Sheikh Bahasan حفظه الله ورعاه
@NurdinKishik
@NurdinKishik 5 лет назад
yaallaah
@muhidinali8180
@muhidinali8180 3 года назад
من حدث عني بحديث يرى أنه كذب فهو أحد الكذابين ومن كذب علي متعمدا فليتبؤ مقعده من النار رآه مسلم
@salimahmedabeid6835
@salimahmedabeid6835 9 лет назад
Wewe mtoa comment hujui unachosema wala kilichosemwa ndo maana hukuelwa kitu
@amanikhoja8305
@amanikhoja8305 9 лет назад
makonyeza nenda shule kasome usitusumbue na elimu yako ndogo
@fuadimbarak5766
@fuadimbarak5766 5 лет назад
Vita vyatabuk zilipo maliza mahabasha walisherehekea ndani ya miskiti wala sio kupiga twari.walisherehekea kwa mikuki.JAMINI wacheni kuwa chezea umati MUHAMMAD kuna mambo mungu ya kufanwa ambayo yenye manufaa.katika tarikhi hakuna siku MTUME alikaa na mwasahaba kupiga twari.mpaka MAIMAMU wote wa inne hakuna siku IMAMUM SHAFII AMA HAMBAL waliweka SHEREHE za kupiga twari.
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 9 лет назад
ameongea maneno mengi sana ni ya kweli.ila kuna kitu kimoja bado hajakielewa kua waliokua wakimsifu mtume kwa mashairi tu waliacha hiyo kazi baada ya mtume kuondoka ila wakabaki wenye kumtakia rehema na amani kwan ndo ilikua na mafunzo sahihi.na wala hakukua na mikesha ya usiku kucha kwa kupiga dufu.kwani ktk suratul maaaidah ilkua katika mwaka wa 10 hijjatul wadaa ikisema LEO HII NIMEKUKAMILISHIENI DINI YENU NA NIMERIDHIA UISLAM NDIO DINI YENU.
@ibrahimumwanga2013
@ibrahimumwanga2013 5 лет назад
Ww faisal mavi yko
@auntykhaemba1198
@auntykhaemba1198 7 лет назад
Ryan
@user-yv4ve6ee8c
@user-yv4ve6ee8c 4 года назад
اللهم اغفرله ولكنه كذب وفجر وألقم الحجر
@makonyezamokonyeza5985
@makonyezamokonyeza5985 10 лет назад
matatizo hayo,sheikh mkubwa allah amrehemu, lakini analolisema halijui.
@mohamedumri9611
@mohamedumri9611 7 лет назад
Makonyeza Mokonyeza Usione kila unaemuona ni size yako.
@kimzarkah1065
@kimzarkah1065 6 лет назад
Subhana llah
@omarameirsalum8879
@omarameirsalum8879 6 лет назад
Ramadhani Alli huna ufahamu.Kwani kilichofanywa wakati wa Mtumi ndio hakifai kufanywa baada ya kufa kwake?
@muhidinisaidslsalim7464
@muhidinisaidslsalim7464 8 лет назад
a a kijana mwezangu huyo niwalimu wakutegemewa duniyani wacha ujuhaaa kasome
@nurudinisalmu4912
@nurudinisalmu4912 6 лет назад
tena akasome sana huna uwezo wa kumkosoa shekh mkubwa kama huyu
@mhrmahir3756
@mhrmahir3756 4 года назад
kz yake sufi huyu kusema uongo ana baraka zip hyu sufi tu
Далее
Samai Coast kenya part 1
21:25
Просмотров 55 тыс.
BAADA MJADALA WA MAULID ELDORET3/3
35:52
Просмотров 79 тыс.
Swahili Qaswida - Full album Zamzama
36:56
Просмотров 773
Vifo vya albino
5:05
Просмотров 2,6 млн
(Bid'a) Ustadh Muhammad al-beidh مفهوم البدعة
1:02:50
Samai Coast kenya part 2
20:39
Просмотров 40 тыс.
Ustadh Muhammad....Twariqa .....Feb 2012
42:37
Просмотров 18 тыс.