Amen,naomba kibali chako Yesu badilisha historia ya maisha yangu Yesu,niondolee.aibu za ulimwengu na laana nitakapo kanyaga nikubalike niongoze,nitawale niwe nyota kwetu,niwe msaada na baraka kwa wengine,achilia ukombozi kwetu,achilia neema kwetu tukujue ww Bwana Yesu hakuna chochote kitakacho nitenfa nawe Yesu mokozi wangu,niondoe katika kifungo cha utumwa achilia baraka zako,roho wako wa bwana aingie ndani yangu Ame 🙏🙏
Amen and Amen glory to be God, ehee Mungu wangu naomba kibali chako Yesu kitwue juu yangu mm n familia yangu n historia yetu ichange tungae kaa jua baba yangu tusiwe w kusaidiwa tue w kusaidia baba yangu najua wewe n Adonai utatufanya kua watu katika maixha yetu,,,,,,baba angu nahamini hakuna kitu kitanitenga n Yesu wangu kama n magojwa nimekataa kabisaa yashidwe katika jina l Yesu christo
wow!! the worshipping song is powerful. I speak favour in my life today. Have stagnated in the same life point. Lord open my doors and I speak destiny connectors. Thanks 🙏 you Lord for my health. I have strength to serve you my Lord. Thanks Pastor Gillack for this message.
Katakana nyimbo Kigali naomba mungu anifuliwe kazi kwa familiar yangu .magonjwa,mapito,masengenjo.ndugu wanna check laminitis mungu itabaki kuwa mungu amen
Its too much for me,feel like giving up but again idont want to. Through this worship nakutamani bwana yesu unitawale,take control over my life,niondolee hii aibu inaniandama,magonjwa umasikini,mungu achilia nyota yangu.when you get to see this comment plz pray for me and my family.amen and amen
You are a blessing to our country Kenya may God continue to use you in higher level 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭 thank you for doing what he called you to do ooh lord protect him from every evils ..you are soo faithful
This songs comes in my rescue whenever I feel am low,,,I don't have friends,,,my dad is battling from diabetes. No one is even wishing to give me money on credit,,,to take him to church for healing but I know through this songs God is doing his work,,😭😭🙏
Naomba uponyaji kupitia nyimbo hizi ndoto mbaya wachawi nawalaanii in Jesus name amen mungu niangalie nipe kubali yehova Linda wanangu bila WW hatuwezi sisi n Bure mungu tuzingire na damu yko
Amen pastor ni kitu gani kitazuia Kibali changu cha uimbaji wa nyimbo za injili Aaaaah Hapana nimekataa kabisa nakutamani bwana yesu unitawaleeee hallelujah nani kama ww baba am feeling ur presence of my lord usiniache hooooh😪
Pst Gillack mungu akubari xana uzidi kumtumikia siku bada ya nyingine mtuombee SS ambayo tuko gulf Kwa utafutaji kila Mahali tukiingia kibali cha mungu kitangulie mbele yetu kama Easter alivyo kubalika Kwa mtumishi modekai ju kibali cha mungu kulikuwa juu yake amen barikiwa xana pastor Gillack
Kwa hakika mungu ni mwema kila wakati....tunaish kwa neema ya mungu...yeye ni mwaminifu sana...nasema ni asante juu amenipigania katika maisha yngu ❤❤❤
Amen Amen amen hallelujah asante mtumishi wa mungu ooooh mungu akutie nguvu nyimbo pokea nyimbo mpya saidi kutufariji nabarikiwa nikiwa Saudia hallelujah...ooooh my heart feel cring....ooooh tukumbuke mungu wetu...