Тёмный

Kibonge Wa Yesu - Waambie (Perfomance Video) 

KIBONGE WA YESU
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 2,4 тыс.
50% 1

Yapo Mambo mengi ambayo Adui mwovu anayafanya ili kutufarakanisha na Mungu wetu lakini Mungu anatambua wenye haki na ndio walio wake hivyo anawapigania na kuwalinda dhidi ya yule Mwovu. Mungu anatupenda na anatubariki kwa kila hatua tunazopiga haijalishi ni wangapi wanasimama kinyume na Ndoto na maono yetu lakini bado tunapiga Hatua.
Kumb 11:24
"Kila mahali mtakapokanyaga kwa nyayo za miguu yenu patakuwa penu; tokea hilo jangwa, na Lebanoni, na tokea mto wa Frati, mpaka bahari ya magharibi, itakuwa ndiyo mipaka yenu."
Audio produced by @ClickMaster
Visual by ​ @ap.creative1
Get it on ALL DIGITAL PLATFORMS
Listen to WAAMBIE by Kibonge Wa Yesu
On Boomplay: www.boomplaymu....
On Audiomack: audiomack.com/....
©2024KiboMelodies. All rights Reserved.
#Kibongewayesu #Waambie #gospelmusic
LYRICS :
Nenda waambie wajue Mungu ananipenda
nenda waambie wajue Mungu ananipenda
verse 1:
Ile mitego tego walonitegea ameitegua
na mipaka yote nilowekewa ameiondoa
wakafanya mpaka matambiko
ili niweze potea
kwa huruma za Mungu bado nipo
yeye amenitetea
wamezuia maji kwa chujio
na yameshindwa yao majaribio
mola ndo mpaji mafanikio yanatoka kwake
akisema ndio
bridge :
Ameniongeza hatua mbele nasogea
siko pale pale nilipokuwa jana
ameniongeza hatua mbele nasogea
siko pale pale nilipokuwa jana
ameniongeza hatua mbele nasogea
siko pale pale nilipokuwa jana
chorus :
Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda
Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda
Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda
Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda
verse 2
Kwa vile ananipenda
kivyovyote nitasema
hakuna atae zuia hata kwa yoyote hila
na ameyaweka mambo sawa
na sasa mimi niko salama
bridge :
Ameniongeza hatua mbele nasogea
siko pale pale nilipokuwa jana
ameniongeza hatua mbele nasogea
siko pale pale nilipokuwa jana
ameniongeza hatua mbele nasogea
siko pale pale nilipokuwa jana
chorus :
Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda
Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda
Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda
Nenda waambie wajue
Mungu ananipenda

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@IsackDevidiMc
@IsackDevidiMc 3 месяца назад
Hongela Hongela Achia Ujumbe ❤
@GodfreyMsangawale
@GodfreyMsangawale 29 дней назад
Au cyo
@FrankChurchboy1
@FrankChurchboy1 3 месяца назад
🔥🔥
@AthumanRamadhan-h5e
@AthumanRamadhan-h5e 3 месяца назад
Kazi nzuri sana tunaisubiri tu full video
@wongiekandi5755
@wongiekandi5755 3 месяца назад
Beautiful piece,,,, forever your fan from Malawi
Далее
Kibonge Wa Yesu _ Namna Gani (Official Music Video)
3:53
Deus Derrick -WRONG NUMBER (Official audio)
3:33
Просмотров 6 тыс.
Waambie Remix (feat. Walter Chilambo)
3:57
Просмотров 7 тыс.