Jamani msiolewe watto wadogo wakajiendeleze kusoma. Waume wa zanzubari hawajui mapenzi rangi gani nyekundu au nyeupe. Utaweka ndani kupika. Hsyo sio maisha. Maisha wote wawili wafanye kazi sio kumtegemea mume ndio ndows hazikai unguja.
Anhaa sawa kwahyo wewe unayajua maisha kuliko mungu na mtume???Allah alowabebesha wanaume jukum la utafutaji kisha akambebesha mwanamke jukum la ulezi hajui wewe ndo unajua?haya wote tokeni acheni watoto wenu majumbani wakichinjwa na kulawitiwa na wafanyakazi
Wallahi nyimbo nzuri Sana...ila naomba niwaambie mnaoponda na kusema Inna lillahi mnakaje Sasa zipigwe nyimbo za kina diamond au nyimbo gani maana dada zetu wanajitahid kuimba nyimbo za kuburudisha mmekazana Inna lillahi...wekeni hizi comments pia zikitoka nyimbo za wasanii wa bongo fleva maana waislam wanaoimba bongo fleva pia wengi...tumewachoka kiukweli mmezidi mnakatisha watu tamaa
Wanaoimba bongo fleva inna lillah na hawa pia inna lillah wala hatukatishi tamaa ila kidini hili nikosa hatuna budi kusema inna lillah wainna ilaihi raajiun
Mimi mwenyewe najiuliza sana kwan siku hzi nasra ameenda wapi maana tangia ameolewa Arafa nasra aonekani kwenye kaswida zaidi y ile aliyoma subra baada ya hpo ayupo tena