Тёмный
No video :(

KIDUNDA:- UBONDIA SIO USHIRIKINA, DULLA MBABE KAZINGUA, MWAKINYO YUPO SAHIHI SANA. 

Mzuri tv online
Подписаться 31 тыс.
Просмотров 90 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Год назад
Kidunda ni boxer mstaarabu. Mungu akuzidishie imani na ufahamu.
@kelvinremigius7516
@kelvinremigius7516 Год назад
Umenikumbusha mbali sana Sele Kidunda, uyo Sudi Kenge alikuwa mwalimu wangu enzi izo 2000-2003 urafiki pale uwanja wa basketball like kwa watoto wa manzese BACK TOWN.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 2 года назад
Kidunda salute kwako mwanamichezo yeyote nidhamu na heshima kwa wenzako. Uko vizuri mjeda wangu.
@yuvenaliramadhani6993
@yuvenaliramadhani6993 2 года назад
Jamaa atafika mbali ana busara sio mhuni 👏👏
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 года назад
Uko vizuri Kidunda "MWAKINYO YUPO SAHIHI"
@alizahoro7828
@alizahoro7828 2 года назад
Kidunda unaweza kk unaongea point huna majigambo big up
@sumadashsumadash7342
@sumadashsumadash7342 2 года назад
Brother wetu ww cc tunakukubali sana na NIDHAMU unayo sio mhuni kisa Umaarufu
@thomasluhanga6439
@thomasluhanga6439 Год назад
Twaa kiduku sio Bondi Wala dula mbabe, nawai fananisha na wafanya biashara waangaikaji. Mokinyo, kidunda, watafika mbali, kidunda asijishirikishe na wahuni ndani ya ngumi, kama anataka kufika mbali.
@AlnordGozonga-gw2sb
@AlnordGozonga-gw2sb Год назад
Bg up sana
@AlnordGozonga-gw2sb
@AlnordGozonga-gw2sb Год назад
Kaka uko sawa
@fredprosper4883
@fredprosper4883 Год назад
Very discipline sio kama dullah mbabe
@jomwenomkal
@jomwenomkal 2 года назад
Good kabsa mwamba
@davidmwamanda6473
@davidmwamanda6473 2 года назад
Hongera Kaka. Una hekima, busara na unajielewa. Changamoto ya ya hawa wageni wanaotembea ulingoni halafu wa nachukua ushindi mlifanyie kazi na makocha wenu
@masulei579
@masulei579 2 года назад
Umewaona awa wanaopewa ushindi na refa
@anethjoseph1163
@anethjoseph1163 2 года назад
Naitwa d max njojo naishi tmk tandika nakukubali sana seleman kidunda
@selemankahabiemmanuel8807
@selemankahabiemmanuel8807 2 года назад
Naakukubl San xodier wang💪💪
@erickelia9826
@erickelia9826 2 года назад
Nakubar sana kak unaweza
@nizzogallaxy8086
@nizzogallaxy8086 2 года назад
Nakukubali sana kaka
@user-vs5et2lf3s
@user-vs5et2lf3s Год назад
😊
@ahmedabdi9697
@ahmedabdi9697 2 года назад
Itapendeza iyo kiduku vs kidunda
@run-with-mike
@run-with-mike 3 года назад
big up sana #MzuriTVOnline
@jafarihozza9437
@jafarihozza9437 2 года назад
Uko sahihi sana kidunda
@hassankiffu2706
@hassankiffu2706 2 года назад
well said
@ayoubomary9336
@ayoubomary9336 2 года назад
Rais wa mburahati moja kidu mwamba
@mwananganzi
@mwananganzi Год назад
Pigana na twaha
@adilhabib8988
@adilhabib8988 2 года назад
Wanajeshi wananudham sana zaid ya sana maana angekua ni mtu kapuku hapo angali mtaja yule alo na chuki nae pia wanajeshi sio watu wamajisif
@kidunapoletano3118
@kidunapoletano3118 2 года назад
mtu mbaya kidunda. jamaa namkubali xana
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 года назад
Mwanajeshi ni mwanajeshi anahekima na adabu za kutosha
@ahmadkasika7114
@ahmadkasika7114 2 года назад
UTII ,NIDHAMU, UKAKAMAVU
@aliymwazoa3051
@aliymwazoa3051 3 года назад
Seleman kidunda bondia mkali alietimia Kila idara
@hashimumwinyimvua4278
@hashimumwinyimvua4278 2 года назад
Amin afande msingi kukaza
@christophermunuo3554
@christophermunuo3554 2 года назад
Nskikubari kaka
@kulwarajab5645
@kulwarajab5645 Год назад
Ee we ndonakukubari huna mbamba jembe
@rajabukirero2900
@rajabukirero2900 2 года назад
Ivi mbona twaha kiduku aombi pambano na kidunda
@alampadykader4627
@alampadykader4627 2 года назад
Mumble mboni hujasema kidunda amuombe dulla
@alampadykader4627
@alampadykader4627 2 года назад
Muombee wewe mbona hujasema kidunda amuombe twaha
@nassorhamad5225
@nassorhamad5225 2 года назад
Haswaaaa
@stevenkimaro65
@stevenkimaro65 2 года назад
Selemani kidunda MTU mbaya
@athumanimanzabay1894
@athumanimanzabay1894 Год назад
Mtu mbadi hebu nigongee yule kiduku najua utampiga kama malimba
@lewismpangala927
@lewismpangala927 2 года назад
Kidunda mwangalie bernad Hopkins mmefanana hadi upiganaji
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 года назад
NAMTAKA KIDUNDA NIMCHAKAZE
@masulei579
@masulei579 2 года назад
Umevuta bangi😳
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 года назад
@@masulei579 Hahahaaa,hata sigara ya kawaida sivuti
@masulei579
@masulei579 2 года назад
Kweri ndugu tutakukupa Bondia kaka ila sio kidunda
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 года назад
@@masulei579 pa1
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 2 года назад
Unataka upigwe mbaka unyee
@rajabuhondo4973
@rajabuhondo4973 2 года назад
Duwa kk
@lusajomwaipopo-le3nk
@lusajomwaipopo-le3nk Год назад
Naona umekumbuka urafiki picha yako ninayo dogo
@issamashurinyo9609
@issamashurinyo9609 2 года назад
Kwani mabubu mbona sis kii
@josephmgimba4050
@josephmgimba4050 2 года назад
Nakukubali sana kaka Ila naitaji ski moja upambane na twaa kiduku
@daudinyello4033
@daudinyello4033 2 года назад
UNAANGALIA KWENYE SMART KITOCHI NINI?
Далее
НЕ ИГРАЙ В ЭТУ ИГРУ! 😂 #Shorts
00:28
Просмотров 190 тыс.
Bishop Jacob Wamwea guborwo mbeca ciake ciothe ni mikora
1:08:46
CHIEF GODLOVE . .
3:38
Просмотров 4,1 тыс.