Sababu za msingi zipo hiyo ni elmu haswa kwetu Wana ume tujue ni jinsi gani. Mama zetu wake zetu dada zetu wanavyo teseka broo elmu hiyo Tena ili takiwa waendele mpaka MWISHO tuone mtoto kafaje damu zimetoka vip maana. Kungwi kaja msafi Hana damu hapo walikosea kidogo ukitaka kujua angalia MWISHO kilicho tokea dada anataka ushaur kwa mwalim hizi movie Zina fundisha uhalisia wa maisha yetu ya vijijini na tamaduni zetu broo
Bigwa uyooo ❤❤❤❤ nakukubali aiseee but usikae kama kicheche Mr jus alittle advice from kenya am also a content creator but kicheche alisaidiwa saana naa #clam @#@clam but sai anaringa ana akajitoa wee chapa tuu kaI naa clam utafika mbali bro
kiukwel story nikali ila edditter kazizingua paref , mf jamaa alivyo kuja kutoa taarifa za kutaka kuoa yule somo alifurah wakwanza kwenye master short alaf overy tite short anaonekana akiskiliza