Тёмный

KIJIJI CHETU - EPISODE NO. 01 | AFRICAN SERIES 

CHUMVINYINGI GANG
Подписаться 112 тыс.
Просмотров 110 тыс.
50% 1

#chumvinyingi #kijijichetu #series

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 399   
@chumvinyingigang
@chumvinyingigang Год назад
Kwa ushauri na Maoni binafsi karibu kwenye group letu la whatsapp link 👇 chat.whatsapp.com/Gvtua2V6l5D8Z9tIQrSqtG
@barikinehemiah170
@barikinehemiah170 Год назад
Saw
@ivanny780
@ivanny780 Год назад
Sawa sawa bro vizur Kwa mabilesho, na kutupa nafasi kama hii mashabiki wenu tuweze japo kua na maoni ambayo yatawafikia moja Kwa moja🙏👊👊
@assanenchute
@assanenchute Год назад
Safi sana
@muyangetv
@muyangetv Год назад
Chumvinyingi apaa
@JamilaAbdallah-i4v
@JamilaAbdallah-i4v Год назад
Sijapenda kunicheleweshea notification kiasi hiki Mimi ndo inaingia na watu wameshajaa humu Muda chumvi unanikosea 😭😭
@jasminimsuya8976
@jasminimsuya8976 Год назад
Waooo chumvinyingi gang iko vzur hongeren sanaa
@Tausihashim-r2h
@Tausihashim-r2h Год назад
Aya sasa twende kazi nakijiji chetu nipeni ata like 5tu wadau
@FarhatMohd-dr9lu
@FarhatMohd-dr9lu Год назад
Love you so much watu wangu wa kazi mungu awabariki
@SaidAbdallah-n3v
@SaidAbdallah-n3v Год назад
Habari zenu kwanza muko p Hy naona chumvi nyingi unataka tusilale Yani muko vizur pole kwa mkeo ❤❤❤
@EliaMongo-vx1km
@EliaMongo-vx1km Год назад
Daaaah hiii imeniriza funzo kubwa sana 2021 nirifiwa namkewang akiwa namimba 😭😭😭😭😭😭nimejikuta naria pekeangu uck daaaaah r.i.p mkewangu Sarah 😭😭😭
@emmyWilliam-xk4cq
@emmyWilliam-xk4cq 10 месяцев назад
Pole sana kazi ya Mungu haina makosa
@SabrinaWema
@SabrinaWema Год назад
Woyoooo chumvi nyingi mungu akuepushe na hassad unajua unajua na tena ❤❤❤❤🎉
@mabulatv3792
@mabulatv3792 Год назад
Hongera sana chumvi nyingi unatufurahisha sana
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol Год назад
Hila chendu ww noma san pamoja na mzee mstii kwei kijiji kwetu
@KifosaKifosa
@KifosaKifosa Год назад
👏👏👏👏👏kaz nzuriii sanaaa chumviii Gang🙌Nyau kisofa Mc please tunaitaji kuwaona sehem ya pil🙏
@SamweliEmmanueli-yk8ji
@SamweliEmmanueli-yk8ji Год назад
Nakubali sana chumvinyimgi lezigoo-----------
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc Год назад
Story imeanza vizur hongera kwa chumvi nyingi jaman
@nellywambui2677
@nellywambui2677 Год назад
Waaah hadi nikaogopa ..hii iimeweeza aki..from kenya big love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@josephchandi6192
@josephchandi6192 Год назад
Tunakuelewa sana mzee Macha ila ombi langu boss Jaribu kupunguza watu wasio na uhitaji humo tuko pamoja kutoka Maputo Msumbiji
@josephchandi6192
@josephchandi6192 Год назад
Kitu kizuri hutokana na umahili wa watu sio wingi wa watu Si unakumbuka uliko ukawa ukifanyia kazi kwa Mkojani watu wachache mlikuwa na vitu mlitoa vya maana na vimeenda shule
@nassorovuwai1499
@nassorovuwai1499 Год назад
Tujuwane tuliokuwa kwenye Siri ya kifo, Kayabananga na hii Kijiji chetu ,CHUMVI NYINGI GANG BAK TO BAK like tujuwane❤❤❤🎉🎉
@mariamanwar6993
@mariamanwar6993 Год назад
Tokea fundi umeme
@AishaJuma-vz8ve
@AishaJuma-vz8ve Год назад
☝️
@HazardBoy-vc1tt
@HazardBoy-vc1tt Год назад
Uyu ap
@Sur-v9s
@Sur-v9s 11 месяцев назад
👆
@royaladvancedproduction
@royaladvancedproduction Год назад
from Nairobi Kenya , Kusema kweli mna kupata tuzo ya mwaka...i salute you chumvi nyingi gang
@NatureMw155
@NatureMw155 Год назад
Iwish ishould see mambwende on next episode.much love from MaLawi timakukonda
@mwashashamohamed6467
@mwashashamohamed6467 Год назад
Yaani back to back chumvi gang ❤❤❤ chumvi nyingi umeweza sana team chumvi team hamam let's gather here
@MaryanDavid-jo2fs
@MaryanDavid-jo2fs Год назад
We are here team hamam
@ishamtam3
@ishamtam3 Год назад
Hii unaitwa weka tuweke bandua bandia nazote Kali kak unajua hasa kutufuraish tena mashabiki zako jap naombi Kama hutoja napenda kuugiz sanaa naomba sapot yako yaan kua chunvinying geng
@boscoselele1221
@boscoselele1221 Год назад
Daah haya ni maisha ya kiafrika kabisa chumvi nyingi kazi nzuri sana mungu akubaliki
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 Год назад
Asante chumvi kama chumvi mwingine photocopy tu❤much love kaka
@HusnaMasenga
@HusnaMasenga Год назад
Hii kitu 🔥🔥🔥 wapendwa nimeipokea kutoka 🇴🇲 nawapenda sana ♥️ mungu abaliki kazi yenu
@abdillah_Viera96
@abdillah_Viera96 Год назад
Hongeren!.. Sana Kaz!. Nzurii 🎉🎉 vijana
@aishaqassim1777
@aishaqassim1777 Год назад
Pole sana chumvi kwakupfiwa na mkeo😢😢😢😢
@youngtraveller4417
@youngtraveller4417 Год назад
🔥🔥🔥 wakwanza.. nimewai nipeni like zangu
@JosephLadislaus-l3n
@JosephLadislaus-l3n Год назад
Good starting mwambaaa chumvi nyingi lezgoooo
@fatmamdihiri4164
@fatmamdihiri4164 Год назад
Chumvi km chumvi bandika bandua nikiwa oman na kufatilia sanaaa ❤️
@Fatuma-u4l
@Fatuma-u4l Год назад
Chumvi wewe ni genius tena hakikisha wanakujadili tena kwa kubishana na wakianza kukuelewa wachanganye tena 😅 ulipo hawafiki na wakifika hawakukuti we ni 🔥🔥 chukua mauwa yako🎉🎉🎉🎉❤
@shahrayn93
@shahrayn93 Год назад
Keerrrooo😂😂😂game juu ya game,,twendeni nalo wanangu wa faida...zimiminike like apa❤🎉
@MWALIMMBIMBI-sn8gg
@MWALIMMBIMBI-sn8gg Год назад
Chumvi nyingi Gang for life nawakubali sana more ♥️♥️Teacher Boy from Kenya 🇰🇪
@karembo7082
@karembo7082 Год назад
Chumvi mimba ziko tofauti 😅😅😅upo chumvinyigi gang 😊
@faustapeter
@faustapeter Год назад
Inaonyesha mzee msati nimkali Sana duh ananitisha Sana uyo mzee Ila mungu awajalie japokua nimeazaa nakuliaa😢
@HazardBoy-vc1tt
@HazardBoy-vc1tt Год назад
Chumvinyingi gang mm siwapingi kak let's go hiii kubwa kuliko
@زهرةكيني-ث3ل
@زهرةكيني-ث3ل Год назад
Nimeipenda iyo ya Kijiji chetu❤❤
@husnabilali3099
@husnabilali3099 Год назад
Kaz nzuri chumvi gang nawapenda San angekuwa ngaliba angemzarisha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 chumvi jamn ngariba ameanza lin kuzalisha 😅😅
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 Год назад
Chumvi nyingi gang asanteni kwa epsode 😂😂. From mozambique 🇲🇿🇲🇿
@Joyce-qf5px
@Joyce-qf5px Год назад
Chumvi nyingi hapa umeniwezea napenda za hiviii❤❤❤❤❤
@mr.sozigwa8899
@mr.sozigwa8899 Год назад
Aaaah we nkolongwa weeeh
@allymbwana1264
@allymbwana1264 Год назад
Chumvi umeanza vizuri sana story kali ubunifu mkubwa piga kazi
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- Год назад
Kazi nzuri sana chumvi nyingi gang kazi mpya kabisa Inshaallah tutaanza nayo na tutamaliza nayo Inshaallah
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 Год назад
Kazi iyendelea chumvi kazi mzr sana ❤❤❤❤🎉
@shahrayn93
@shahrayn93 Год назад
Waaah maiti katekenyeka😂😂ichi kweli kijiji chetu...mauzauza tele😮cjui km ntakieza😅
@mbarakmkanyi2224
@mbarakmkanyi2224 12 дней назад
Dunia niya ngurue huiwezi
@mariamuKilongola-ch6io
@mariamuKilongola-ch6io Год назад
Saluti kaka kiukweli unawezaa ongerasana chumvi kwakipajii chukuwa mauwa yakoo🎉🎉🎉
@MaryamMoosa-g5s
@MaryamMoosa-g5s Год назад
Kazi nzuri chumvi nyinqi
@georgeaugustini01
@georgeaugustini01 Год назад
Wakwanza jamani kijiji chetu naombeni like zangu😅😅😅😅😅
@KirivoloKakule-hu7ge
@KirivoloKakule-hu7ge Год назад
Chunvi nyingi hii Kali sana umetisha baba😂😂😂tunaisubili ep2
@IbrahimAbdoul-fl6cw
@IbrahimAbdoul-fl6cw Год назад
Namikubali san
@mkumbajr1583
@mkumbajr1583 Год назад
Eee bhana eeh,ilianza kama utani utani ,kumbe ni bonge la dude ,appreciate🎉
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh Год назад
Waah kijiji chetue mambo ni moto😁
@hassanhamis6770
@hassanhamis6770 Год назад
Nimeanza safari mpya na bwana chendu. Maana mimi kwenye group lenu unampenda sana chendu
@Nechakhantv
@Nechakhantv Год назад
Umetisha sehemu ya kwanza let's go prt two❤❤
@amosidaniel1830
@amosidaniel1830 Год назад
Tulisubili kwa ham san kazi zuri san brother chumvi nyingi
@kassimmohammed2555
@kassimmohammed2555 Год назад
Kazi nzuri sana hongereni
@allymapera5421
@allymapera5421 Год назад
Aaaaah chumvi utatuumiza maana sio kwa Moto huu hata like moja jamani
@juniormfikilwa
@juniormfikilwa Год назад
Weka tu weka mnatisha sanaa 😂😂😂❤
@MariamAhmadaMwikalo
@MariamAhmadaMwikalo Год назад
Chagama umejitafuta umejipata🎉🎉
@frankKyombo-cy4ug
@frankKyombo-cy4ug Год назад
brother chumvi nyingi naomba unipesapoti kwako
@EstherNdanu-w7n
@EstherNdanu-w7n Год назад
Chumvi nyingi big up pamoja na gag yako ❤❤❤❤ na waminia from Kenya
@Zeldaommy
@Zeldaommy Год назад
Nawapenda wanachumvi nyingi ganga❤❤❤
@JacksonHagai
@JacksonHagai Год назад
Brother chumvi unajua kuigia huku Zambia respect unajua kutunzaaa brother
@mganitv222
@mganitv222 Год назад
Uko Z Sehemu Gani
@JacksonHagai
@JacksonHagai Год назад
Kucha mbavalii
@MohammadPama-fm9ig
@MohammadPama-fm9ig Год назад
Iko sawa❤❤❤❤ na piya mutuet kwakati sawa
@GraceMtana
@GraceMtana Год назад
Nawakubali Sana chumvi gang🇰🇪🇰🇪
@myriam5411
@myriam5411 Год назад
Courage Chumvi nyingi 💪💪💪❤❤🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Officialmaneno
@Officialmaneno Год назад
Back to back
@Elasmo_mwinami
@Elasmo_mwinami Год назад
Mwisho wa kazi ndio MWANZO WA kazi nyingine ❤❤❤❤
@AbdukarimSalumu
@AbdukarimSalumu Год назад
Chumvinyingi maashallah bro congratulations 👏keep it up you will win Inshaallah biidhinillah may Allah bless you 🙏Inshaallah biidhinillah
@HafsaWamiki
@HafsaWamiki Год назад
Oyooo chumvi nyingi kwamara nyingine tena❤❤
@KyarassVagheni
@KyarassVagheni Год назад
Tuko pamoja mupaka mwisho mungu awa jaliye ❤❤❤❤❤dr Congo 🇨🇩
@ElishaNtibhampema
@ElishaNtibhampema Год назад
nakubari sna kazi zenu
@SilasNtela-ub6uu
@SilasNtela-ub6uu Год назад
Nipo kwa kwanza mapema ndio the best tuko on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@EliasErnesttz
@EliasErnesttz Год назад
Chumvinyingi apaaaaaa!!!!!
@XauLikamba-dw1kf
@XauLikamba-dw1kf Год назад
M chumvi uyo dada uliecheza nae kama mkeo kwenye mov ya kayabananga ebu mtie ndimu agwaduke kapooza Xana lingine tunamtaka masalia na mainabwana ila shulei umu kagwaduka hogereni mungu awape nguvu
@NyileYusufu-un6ru
@NyileYusufu-un6ru Год назад
Mtupunguzie mapigo mnatupiga sana lakin kama huchaji huwez ona mlichotudanganya kwenye kayabananga tulegezeen lakin
@najmaabduli9593
@najmaabduli9593 Год назад
Tuliokuwa wote kwenye kayabananga na sasa tupo wote kwenye kijiji chetu tujuwane kwa like hapa
@mkacibeiib7278
@mkacibeiib7278 Год назад
kazi nzr bro chumvi nying ❤
@simonphanuel1205
@simonphanuel1205 Год назад
Aminia chumvi jiwe juu ya jiwe wengine wanazingua tu uhakika upo chumvi gang ila tume miss collaboration yako na mambwende
@abdulazizitwalib5859
@abdulazizitwalib5859 Год назад
Bismillah wahman rahim tuanze epsd mpya 👊
@christopherngunwa9522
@christopherngunwa9522 Год назад
nawakubali sanaaaaaaa
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Год назад
❤❤❤mashallah sema msimalize mapema bhn. Kama mmeyabananga imeishia 25 tu
@theetrendingsisters2546
@theetrendingsisters2546 Год назад
Yaani zaidi ya hatari nakubali
@HamedAlrawahi-j9r
@HamedAlrawahi-j9r Год назад
Yaan ninomaaaa ❤️👌pambeee hatari 💯💯
@chaniboy8209
@chaniboy8209 Год назад
Kiukweli ni mwanzo mzuri imetulia Sana tu
@JemmyEmmanuel
@JemmyEmmanuel Год назад
Kazi nzur
@DaudomataAmade
@DaudomataAmade Год назад
Mimi niko mozambique lakini nazi fuatilia kazi zako kazi mzuri.
@bossumrahthedon250
@bossumrahthedon250 Год назад
Ngoma buck to buck, chumvi gang to the world 🌎 mob love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@FatumaHamisi-sr6yj
@FatumaHamisi-sr6yj Год назад
Nimeipenda hiyo 😂❤😊
@YUSUFUKAMBWILI-jp8hl
@YUSUFUKAMBWILI-jp8hl Год назад
Mzigo tume upokea kazi mzuli brother
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 Год назад
Mie ndo nafika katika kijiji chenu 😅😅
@musoma805
@musoma805 Год назад
Jamani uchezo umekalia utakua poa sn❤❤❤
@oreeehaule9913
@oreeehaule9913 Год назад
Mm shabikiyako sana haswa pale unapovitaja vijiji vyetu
@RapharMkombe
@RapharMkombe Год назад
Wana mko juu...alafu hao mabinti duh❤
@ashajoseph9045
@ashajoseph9045 Год назад
Wakwanza jamani like 20 zanitoshaaaa❤❤❤❤❤
@naylahkhamis1545
@naylahkhamis1545 Год назад
Wangap tunaisabia dakika chumvi nyingi atupe utam
@RajabuBakari-jg3ft
@RajabuBakari-jg3ft Год назад
Waoooooh safi sana ila leo nimepoa sana sijamuona nyau mwenzenu
@mmbaya4004
@mmbaya4004 Год назад
Jmni kwani mambwende wap yupo!? Tuli enjoy sn kwenye mshambwanda uku kwetu congo 🇨🇩,
@PhilbetSeleman
@PhilbetSeleman Год назад
❤❤❤❤ good job ni kwer bhan kipaji hakirogeki
@maleshmspecial
@maleshmspecial Год назад
❤❤shabiki sugu wa nyau hayayi ❤❤kazi safi chumvi nyingi gang🎉🎉🎉🎉
@catherineruguru8213
@catherineruguru8213 Год назад
Chumvi gang good job
@PatrickMazigo
@PatrickMazigo Год назад
Patrick mazigo kweli juu yachuma😂❤
@maryamissa5070
@maryamissa5070 Год назад
Nawapend san tuko pamoj san❤❤❤❤
Далее
KIJIJI CHETU - EPISODE NO. 02 | AFRICAN SERIES
20:07
Просмотров 84 тыс.
KIJANA MUUZA MAJI | EPISODE 15 | 💞 Love Story
20:02
Просмотров 479 тыс.
ITZY "GOLD" M/V
03:20
Просмотров 3,4 млн
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 1,4 млн
BEST FRIEND | Full Movie |
1:25:54
Просмотров 2,6 млн
2024's Most LIFE-CHANGING Swahili Movies Revealed!
1:35:53
MGENI WA AJABU
37:55
Просмотров 59 тыс.
MELISA EPISODE 1
27:49
Просмотров 192 тыс.