Тёмный
No video :(

KILLY NA CHEED KURUDI KWA ALIKIBA, KINGS MUSIC, ABDUKIBA AWEKA WAZI 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@luluwabinthamed2860
@luluwabinthamed2860 Год назад
Abdul kiba mashaalah mmelelewa ki Islamic hawatoi ya family nyinyi watagazaji Hampshire kitu kwa family's ya king kiba hongera kwa mamana baba Allah awake pepo
@aisharamadan3620
@aisharamadan3620 Год назад
Nimependa kuongea kwako vizuri sana kulinda siri za familia safi sana
@muhibusaid3427
@muhibusaid3427 Год назад
Sawa sawa inakubalika kwa wasanii abdu funguka tukusikie 👍👍
@wardadodo3848
@wardadodo3848 Год назад
Nakupenda bule umejibu vizuli san
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Год назад
Abdul kiba kama TU pacha wake Ally kiba✌️✌️🤞
@fatumakadanje6403
@fatumakadanje6403 Год назад
Hatutack warud ss mashabik
@eppiemodest
@eppiemodest Год назад
Mtangazaji si kazi yako kufosi maisha ya watu. Umekuwa Mwijaku namba 2.
@loganpoul
@loganpoul Год назад
Kumamake hatuwataki kabisa tena hao watoto,washatuonesha na tamaa zao
@mdqweqwe251
@mdqweqwe251 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@kimoppakimoppa5835
@kimoppakimoppa5835 Год назад
Hiy ni lebo kubwa xio banda na kuku wataput pa kutokea
@bigirimanadaudi9797
@bigirimanadaudi9797 Год назад
Jama anaongea vizuri mtarabu sana
@pallangyojames6870
@pallangyojames6870 Год назад
Wandishi wa habari wa kibongo sidhan kama wanasomea kweli hizi habari maranyingi wanapenda kudadisi umbea sana,cz zipo tarifa nyingi za kutafuta ila umbea umewazidi sana dah
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 Год назад
Tatizo la Kings music ni kupromote wasanii duuh Wana kazi
@mdqweqwe251
@mdqweqwe251 Год назад
Chukua wewe
@angelamshama1288
@angelamshama1288 Год назад
Funs wa king music hatutaki watu wanafki na ndo maana ally alisema wasirudi Tena kings, Yan hapo wanataman waitwe kings wapumbavu wakubwa
@kanjiboe_tz
@kanjiboe_tz Год назад
Mmmmmmh
@nasranasranasriyahay9119
@nasranasranasriyahay9119 Год назад
Mbona akuna saut
@rajabngozi8679
@rajabngozi8679 Год назад
Huyu muandishi apelekwe chuo kusoma maana haeleweki
@eppiemodest
@eppiemodest Год назад
Mwandishi huyu wa kike mbona hatumwelewi. Mrudisheni chuo cha uandishi wa habari arudie kusoma tena.
Далее
Девочки, у вас тоже так? 💅🏻✨
00:17
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
20 BEST AGT 2024 Auditions! 😱 So FAR❗️
1:49:33
Просмотров 10 млн
Девочки, у вас тоже так? 💅🏻✨
00:17