Kilonzo Na Shopping ya Auntie Jemimah (Full movie) ni compilation ya All episodes za Vituko za Kilonzo baada ya kupoteza shopping ya Auntie Jemimah ft Ngotho and Wa Nancy #auntiejemimah #Africanmothers #MCPiento
@@PIENTOMC shukran, kesho mtanipata kwa mlango na kikapu ya sadaka , I have to be serious with my ministry, mtu akiingia kwanza anatoa sadaka coz kuna watu wanatokanga chach kama hawajatoa sadaka, so to avoid those inconveniences, watoe wakiingia.....