Тёмный

KIMEITIKA KENYA, RUTO ATANGAZA MAAMUZI MAGUMU/KUHUSU KUJIUZULU 

Подписаться
Просмотров 68 тыс.
% 352

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter TimesFMTZ and on instagram timesfmtz#

Развлечения

Опубликовано:

 

5 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 73   
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 дня назад
dahh mambo ni hot Kenya..mabadiliko kwenye nchi yao yanasomeka vizuri kwa sasa...Mungu ibariki nchi ya Jirani../Tukumbuke nasi Mungu wetu Bariki Samia
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 3 дня назад
Hilo la kuondoa malipo ya wenza wa Viongozi Wakuu (mke/mme wa Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu), malipo hayo yako pia Tanzania. Hivyo, Viongozi wa Tz bila shaka wajiandaye.
@ClementJacob-sd8lf
@ClementJacob-sd8lf День назад
very wise people in Kenya
@ClementJacob-sd8lf
@ClementJacob-sd8lf День назад
very wise people in Kenya
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 3 дня назад
Alilazimisha kushinda uchaguzi kimagumashi, cha moto amekiona. Majogoo wa Kenya maua yenu jamani💪💪💪💪💪
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 дня назад
Wewe ni mjinga kiongozi ambaye hakuwa rais anawezaje kulazimisha ushindi? Haya yanayoendelea ke
@geoffreyembasa8483
@geoffreyembasa8483 2 дня назад
​@@George-jz3jgWhen the U.S is fully behind u to use u as a puppet,,hata kupindua serikali is not an issue
@laburmoses6797
@laburmoses6797 3 дня назад
Thank his Excellency for admitting for Kenyan cry especially gen Z. This time round you become sober. I appreciate you Ruto. First time the president has been very far from kenyan. I'm appealing to you sir lopetun/lopeitwaan. Turkana people from Turkana west has been cut short from 5000/_2000.where is the problem sir. Thank you. Turkana west sub county.
@geoffreyembasa8483
@geoffreyembasa8483 2 дня назад
Talk about the oil money that's being drilled
@mbegembege
@mbegembege 3 дня назад
Good choice
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 День назад
Jambo zitooo ila uamuzi ni wako,kuachia ngazi,au kupambania kiti chako huku amani ikiwa hakuna nchini kwako,kipi bora kwa upande wako? Mungu awacmamie ktk yote 🙏🙏🙏🙏
@TonyTony-tg1nz
@TonyTony-tg1nz День назад
Kaza kijana wangu by Warumi
@TeamKRX
@TeamKRX 2 дня назад
Wanasema hawataki posho waongo wezi wakumbwa mauwaji jamani poleni eee 😬😬😬😬daah police hata huruma hawana wamenda achia risasi za moto aaah mungu atawauwa na nyie
@MareMa-kb3iy
@MareMa-kb3iy День назад
Ruto must goooo
@KADALAtv255
@KADALAtv255 2 дня назад
Katika Ugtuzi anaozungumzia hapo akitaja Kaunt kwa Tanzania ni region/ Mikoa lakini wao Kaunt hizo hizo ni majimbo kwa hiyo magavana ambayo huku kwetu ni majimbo so magovana kwao huwakilisha kaunti kama jimbo
@NaomiAwuorOnyango-jr5vf
@NaomiAwuorOnyango-jr5vf 2 дня назад
Never lose Hope Jesus is available every moment of day to give us guidance and direction through prayer Amen!
@piusmwinzi178
@piusmwinzi178 3 дня назад
Ruto must go ruto must go ruto must go
@user-sz4nj5tr3r
@user-sz4nj5tr3r 2 дня назад
Uiii tret la misyer vann nation nwa pour lajean avek Obama
@user-hm9ve4ug3n
@user-hm9ve4ug3n 2 дня назад
Oii hiyo Ngoma hapo background ni gani
@NdakiDoyi
@NdakiDoyi 2 дня назад
pole sana rais ruto
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 3 дня назад
MNAKUMBUKA ALIILANI URUSI (PUTIN) HUYU RUTO' HAKUMALIZA ATA MWEZI TAYARI LAANA IMEMRUDI
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 День назад
Ndio ni mnafiki anangata na kupuliza hapo ndo nilimshangaa san ruto
@tobiusjtz7607
@tobiusjtz7607 3 дня назад
#RUTO must goooo
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 2 дня назад
Tatizo waandamanaji hawana shida na haya anayorekebisha Ruto waandamanaji wanataka aachie ngazi of which wanaye president wao wanayemtaka na wameshamwandaa!
@user-yj7vu1oe7j
@user-yj7vu1oe7j 3 дня назад
Roto mast go
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 дня назад
Ile Katiba Mpya vipi?
@user-xr4cd3ki4i
@user-xr4cd3ki4i 3 дня назад
Laana tupu
@josephwabita8662
@josephwabita8662 День назад
Kaka please be corrected because wamuratha has boy child mission for a very long time
@INNOCENTMOKUA
@INNOCENTMOKUA 3 дня назад
😂😂😂😂😂😂😂
@ruginavenance3042
@ruginavenance3042 2 дня назад
Bado kwetu sisi watanzania kupinga Kodi ya jengo ya Tanesco
@levissamweli9005
@levissamweli9005 3 дня назад
Waliokufa wanashughulikiwaje?
@gisthevictorperiod.9763
@gisthevictorperiod.9763 3 дня назад
Yaani serikali itawalipa family za walotoweka Dunia fidia au malipo ya damu.wengine majeruhi pia watalipwa fidia.. Amani itawale Kenya amani itawale Africa and the whole 🌎 world 🌎
@user-sz4nj5tr3r
@user-sz4nj5tr3r 2 дня назад
Misyer mechan
@samnice5ify
@samnice5ify 2 дня назад
Acha udaku baba.
@user-sz4nj5tr3r
@user-sz4nj5tr3r 2 дня назад
Se ale liye
@RitaLoice
@RitaLoice 3 дня назад
Ruto ni mwongo sana hatwezi amini mambo yake
@hassanirambona7520
@hassanirambona7520 3 дня назад
RUTO must goo
@augustinekaio411
@augustinekaio411 3 дня назад
😂😂😂
@ShomarRajabu
@ShomarRajabu 2 дня назад
Atoke2
@nassirmasoud2545
@nassirmasoud2545 3 дня назад
Haki itendeke sio serikali itawaangalia
@user-sz4nj5tr3r
@user-sz4nj5tr3r 2 дня назад
Wiii Ansyen dirijean sayo toujour nan koken Avek American se Ale viv pep kenya 🇰🇪
@AlimasiMalembe
@AlimasiMalembe 2 дня назад
NA WALIOKUFA WATARUDISWA AMA AJE???
@JesicahMoraa
@JesicahMoraa 3 дня назад
Ruto must go home tumechoka na yenye
@user-tf7hz6mw1o
@user-tf7hz6mw1o 3 дня назад
Kitakuramba ruto enda ukapumzike
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 3 дня назад
hio laana hata bongo ipo viongozi na wake zao wanalekebishiana shelia ili wapige mihela mungu ikumbuke nasi tz. hayo matumizi yabanwe
@user-sz4nj5tr3r
@user-sz4nj5tr3r 2 дня назад
Ayiti gen plis tret wi
@margymuasa977
@margymuasa977 3 дня назад
Ruto must go. Can' t be trusted. Too much cheating.
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 3 дня назад
Ruto LBQT na NATO wako wapi una support....Putin atakuondoa hao vijana sio Gez
@user-zc6gb5fk3q
@user-zc6gb5fk3q 3 дня назад
Hii kitu itupiliwe mbali nchini Kenya.
@ubahamisi431
@ubahamisi431 3 дня назад
Aamue yuendelee na maisha kama wakati wa kibaki au ajiuzulu
@user-sz4nj5tr3r
@user-sz4nj5tr3r 2 дня назад
Aleeee
@TeamKRX
@TeamKRX 2 дня назад
Huyu ruto ana akili lakini damu si resign
@MartiniEnock-e2e
@MartiniEnock-e2e 2 дня назад
Wakenya mtamkumbuka huyu ruto Mtaniambia Nchi inaenda kwenye mkono wa chuma
@geoffreyembasa8483
@geoffreyembasa8483 2 дня назад
What are u talking about? Who really cares about what happens? Utawala mtu akichukua kwa wizi na uwongo,mungu mwenye ndio huondoa amani na akaweka chuki na dharau katika roho za watu kwa ajili ya huyo kiongozi. Its better we all die kuliko kubebwa ufala na mtu mmoja,kibaka wa wazungu
@dareenpetro338
@dareenpetro338 День назад
kama alisema, kwa nini hamtaki afanye references? Mpeni nafasi afanye utekelezaji. hivi vurugu na kelele, na madai yasiyokuwa na kikomo, wala lengo la reconciliation, na matusi na ku kaza rais sijui nini matusi ya ku attack personality hadi imani ya Rais inachukua suala hili katika sura ya ujinga na vita kwa kanisa. Remain focused on the points, mwache afanye kazi, muendelee kumonitor na kussuport mipango ya mabadiliko. mkikataa reconciliation ninyi mnataka kuuana na kumpa faida shetani. mtaona nimewaonya mara nyingi
@ConsolathaKicheleri
@ConsolathaKicheleri 2 дня назад
MUNGU IBALIKI TANZANIA MUNGU MLINDE RAIS WETU.MUNGU TULINDE WATANZANIA WOTE. MUNGU ILINDE MIPAKA YETU NA WANA JESHI WETU WOTE.
@user-gb9oo7hn2k
@user-gb9oo7hn2k 3 дня назад
This g.ment I say I don't no why why hi miskiniy people why killed Ruto know is dawn !!!
@INNOCENTMOKUA
@INNOCENTMOKUA 3 дня назад
Ruto must go
@user-sz4nj5tr3r
@user-sz4nj5tr3r 2 дня назад
Se voye vacabon saa ale tret
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 3 дня назад
HUYU NI KINARAKA MTIIFU WA MARECANI
@user-sz4nj5tr3r
@user-sz4nj5tr3r 2 дня назад
Ale
@geoffreyembasa8483
@geoffreyembasa8483 2 дня назад
Sasa huo ndio uchungu wetu kabisa. Hiyo finance bill imeandikwa na I.M.F. Vipengele mukichelewa kulipa deni wachukue mashamba. Raisi mwenyewe anakodisha ndege ya 2 million akisafiri kwenda kusamilia wazungu na waarabu wake almost every month. Halafu hati pandisha bei ya bread,diapers and every other basic commodity. This man is a curse to the land
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 День назад
Na wakenya wamejichanganya kuingilia vita yemen
@stephenkalidush5446
@stephenkalidush5446 17 часов назад
katiba yetu hatar sana kwa Rais ambae ni mtawala asiye na uongoz ndan ake
@TeamKRX
@TeamKRX 2 дня назад
Mtanzania niko dar ila niko Kenya ruto must go atupishe uko ata uyu samia aende nae waizi hawa
@user-xn3uu5el7l
@user-xn3uu5el7l 3 дня назад
Ruto is not going anywhere,bado 50tena,we kalenjins ate behind him
@onpurpose292
@onpurpose292 3 дня назад
@user fine if 43 tribes ni wakale. Mtujua hamjui
@dareenpetro338
@dareenpetro338 День назад
mnamwtwisha lawama kwa maisha magumu , rushwa na kukosa ajira ambako kumedumu kenya miaka mingi sana. hamwoni hilo, mnamsakama Ruto aliyeingia madarakani juzi, atekeleze mabadiliko yote na kufanya kenya kuwa paradise kwa miaka miwili. you re very irrational. Mpeni nafasi afanye kazi, muangalie na msim squeeze arekebishe makosa yote aliyoyakuta kwa muda wa miaka 2. yeye si Mungu. Acheni kumtesa huyu baba kwa sababu mnakwenda mbali hata kuattack kanisa na sasa mnakuwa Anti-Christs. Ishieni tu kudai haki na kuhakikisha mabadiliko yanafanyika lakini achni matusi na kuattack kanisa.
@ReginaJoseph-cm3cx
@ReginaJoseph-cm3cx 3 дня назад
Daah, nimesikitishwa na bajeti ya serikali kwa mke wa raisi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 дня назад
Unalijuwa analofanya mke wa Rais?
@MareMa-kb3iy
@MareMa-kb3iy День назад
Ruto must goooo