Тёмный

KINANA NA SIRI NZITO CCM| PINDA NA WASIRA WATAJWA| KASI IMEMZIDI GWIJI LA CHAMA, ANYOOSHA MIKONO JUU 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 29 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Месяц назад
Hivi kweli Mzee wetu mpinda na wasila Bado mutaka kazi mungu anawaona mumefanya kazi nzuli munataka kuishiya pabaya acha vijana wafanye kazi
@MagomaPato
@MagomaPato Месяц назад
CCM imejaa uchawi...Mzee Popo Harmonize😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@johnkmjema9727
@johnkmjema9727 Месяц назад
Shibe mbaya sana
@user-uv8ne8hk8y
@user-uv8ne8hk8y Месяц назад
Kirefu cha ccm .C. Chukua. C. Chako. M mapema
@godwinabuto4695
@godwinabuto4695 Месяц назад
Habari ni nzuri sasa mapepe yakuitangaza sasa hadi inakua nimipasho punguzeni sasa
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Месяц назад
Kinana yupo sawa si bora utoke kulikoyakukute ya kukukuta kisa hata ningekua mimi ningetoka
@HemedyLukindo-y9h
@HemedyLukindo-y9h Месяц назад
Apewe mzee wetu Wasira amekidhi vigezo vyote .
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 Месяц назад
Kama ni suala la umri huoni umri umekwenda sana? Mbona wako vijana? Makonda anaweza sana!
@nyembobea7285
@nyembobea7285 Месяц назад
Makonda ndo anafaa kuwa makamu mwenyekiti bara
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi Месяц назад
Kinana yupo sw amechoka zuluma ya ccm
@ObediKinkusha-gq8fw
@ObediKinkusha-gq8fw Месяц назад
Hakuna mtu clear ndani ya CCM
@MS.independent8934
@MS.independent8934 Месяц назад
😂😂😂😂nyieee nyieeee❤❤❤🎉🎉
@SaluMaige-sc8bm
@SaluMaige-sc8bm Месяц назад
Ccm wahuni wote. anakula huyu anatoka anakuja mwingine anakula anatoka hivyo hivyo wanabadilishana
@jacobmathew475
@jacobmathew475 Месяц назад
Jinsi mnavyosoma magazeti mnakuwa kama mipasho nawaomba mjirekebishe lasivyo kunawatu mtawakosa...ni ushauri tu✋
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Месяц назад
Mnanifurahisha sana😅😅
@ashirafumohamadalibarughah301
@ashirafumohamadalibarughah301 Месяц назад
Wasira Jamani,mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni mpeni Mzee wasira Jamani hata akidumu 1/4 muhula mpeni wasira awe makamu inatosha.
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 Месяц назад
NDUGUZAGU ZAGU WASAFI HASWA KITENGE POLE POLE MDOGOWAGU KITEGE USIGILIE SANA SIYASA ITAKUHARIBIA MUSTAKABAWAKO ISIJE IKAWA YA WATU WANAOTAFUTWA HAWAONEKANI UKAWA MOJAWAPO IYO KURUKA NAKUFURAHI KUSOMA MAGAZETI ITAKUPOZA KUNA WATUKWEYE CHAMA CCM HAWANA FURAHA NA KINANA WEWE UNAFURAHI
@user-nr2ud1dm3y
@user-nr2ud1dm3y Месяц назад
Mrithi ni Wasira au Shigela
@user-vn7ew6di3t
@user-vn7ew6di3t Месяц назад
Dr Bashiru anastahili kuwa makam
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh Месяц назад
Chuya na pumba maji mafuta ya taa hayakai pamoja ubepari na ujamaaa
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Месяц назад
Akuna kasi yeyote ,watu wanajuwa mw kiti anakibomoa chama Cha ccm kidogo kidogo watu mashuhuli kwenye chama na wanapenda na wananchi anawatoa anaweka
@user-fq3bf4cd1s
@user-fq3bf4cd1s Месяц назад
Mbona mnatangaza kishari shari kifujo hebu tangazeni kistaarabu.l
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 Месяц назад
kama kajiudhuru mwenyewe bila kuwa na mpasuko asingefanya muda ambao wanaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. kuna jambo hko
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Месяц назад
Mpeni mzee Wassira ni mzoefu na mkongwe kazini
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q Месяц назад
Kwani siasa ya ujamaa na kujitegeme na wote ni. Ndugu zangu na tuache kuitana majina ya kuzauliana jina mheshimiwa. Tuliliacha tukaitana ndugu asanteee sasa tupo wapiiiii ujamaa na kujitegemea utaifishaji mali za umaa na viwanda vya uma usafiri wa. Uma uda 😢😮 mabasi ya ralwe ; mbasi ya kamata
@godwinabuto4695
@godwinabuto4695 Месяц назад
Martini shegela imefika muda wa huyu mzee kushika chama
@bundalaizina652
@bundalaizina652 Месяц назад
Watangazi si wema kabisa
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 Месяц назад
Hando umeanza uongo
@alexbitakwate
@alexbitakwate Месяц назад
Ngoja yaumane,ili waelewane!
@RamaMdoe
@RamaMdoe Месяц назад
Mzalendo namba moja niwanajeshe
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m Месяц назад
Wasira hafai kabisa😂na mizengwe pinda ndio kabisa hafai mavi ya jibwa😂hilo jina lake pekeyake latosha
@jumamtiliga4484
@jumamtiliga4484 Месяц назад
mnavyooo ongea ivyo mnazani sisi ni viziwi
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Месяц назад
Kamtoa makonda chama kilikuwa na mvuto kila anapokwwnda kama Rais wanachama wanaongezeka kamtoa kwenye nafasi kampa makala
@user-ht8bd7wq4u
@user-ht8bd7wq4u Месяц назад
Hahaha, injury
@alexbitakwate
@alexbitakwate Месяц назад
Hamna lolote,ccm hawana jipya Majungu tu , unafiki tu!
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 Месяц назад
Wanaoweza kuivusha ccm na kuiongezea radha CCM hasswa kwa kipindi hiki cha chaguzi... >> Kwanza asiwe na upande wala makundi wa ngome furani >>Pili awe na mvuto na anaeweza kueleweka na vijana na watu wa umri wa kati... >>Awe na uzoefu au uwezo wa kuweza kusimama na kukivusha chama kwenye nyakati zinazo hitaji maamuzi magumu hasa dhidi ya wanaccm wa ngaz za juu... Hawa wanaelekea kuwa na hizo sifa... 1.WASIRA 2.PINDA 3.BASHIRU 4.MTAKA 5.KANAL RUBINGA
@kungugeni
@kungugeni Месяц назад
Mama mrudishe makonda kwenye uwenezi atakusaidia na pia atsafisha chama
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 Месяц назад
Ujinga ujinga tu!
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Месяц назад
Hahahhahahaa hiyo ndo ccm
@jestonmwaisaka
@jestonmwaisaka Месяц назад
Wasira shujaa anastahili umakamu mzalendo nambali Moja mwenye asili ya utaifa wa mwl JKN,na JPM Kiboko Yao!!!!!!!!!!!
@godwinabuto4695
@godwinabuto4695 Месяц назад
Habari ni nzuri sasa mapepe yakuitangaza sasa hadi inakua nimipasho punguzeni sasa
@godwinabuto4695
@godwinabuto4695 Месяц назад
Habari ni nzuri sasa mapepe yakuitangaza sasa hadi inakua nimipasho punguzeni sasa
Далее
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
IT'S MY LIFE + WATER  #drumcover
00:14
Просмотров 18 млн
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48