Тёмный
No video :(

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA 2023 ALIDHISHWA NA JENGO LA MIONZI, MISUNGWI-MWANZA 

Yuboxtv
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 275
50% 1

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA 2023 ALIDHISHWA NA MRADI WA ZAHANATI MISUNGWI
"Mhe. Mkuu wa Wilaya endelea kusimamia miradi yetu ili ikamilike kwenye ubora hususani kwenye upande wa manunuzi ya vifaa hakikisha bei zinazingatia nyaraka za vifaa vya ujenzi (BOQ) ili fedha zitumike vizuri," Amesema Ndugu Kaim, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023.
Mwenge wa Uhuru umeweka Jiwe la Msingi kwenye Jengo la Mionzi kwenye Kituo cha Afya Misasi na kuagiza usimamizi mzuri ili hatimaye iweze kukamilika kwa wakati lakini kwa ubora madhubuti.
#mwanza #raissamia #trending

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Moto Trial vs Moto acrobática 🏁
00:29
Просмотров 2,4 млн
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 489 тыс.