Mimi simba but I'm sorry to recognize this, Yanga iko bora sana sio tu dhidi ya vilabu ya Tanzania hata vilabu vya Africa Yanga ni Bora.Hakuna clab bora kwenye peach kwa sasa Africa ukiwatoa Alhal cairo hao labda ndio wanaweza kuwasumbua kidogo Yanga huu ni ukweli bayana kwa consistancy record ambayo Yanga wamekuwa wakionyesha uwanjani.
MR EDO BURGET DOESNOT JUSTFY SHOW ON THE PITCH AND PICKING A PROPER FORMATION OR PATTERN OF PLAY,WE NEED WATU WANAJUA SOKA LA KISASA MAMBO YA FITNA,DO OR DIE,BRIBING REFEREES NDIYO MAANA NO IMPROVEMENT(CONSISTENCY) KIUCHEZAJI KWA BAADHI YA TIMU ZETU WANAVUNJA TEAM KILA MWAKA WAKIDANGANYA ,KITAKACHO FUATA NI KUWAPA MAREFA PRESSURE KULAZIMISHA MATOKEO-UTASIKIA ILE YA KIBU ILIKUWA PENAT............TUBADILIKE PLEASE.
Edo unachanganya mada Kaizwr ktk bara la africa kwa utajiri ni wa pili, kwenye pitch Yanga wako juu sana kwa sasa timu nyingi zimekula tano tano ikiwemo Simba hii ni ujumbe kuwa Yanga iko juu sana levels zao na barcelona real madrid bayern munich nk tusiiangalie Yanga kwa mazoea. Mfano utaona ngao ya Jamii
Hapo ndo wananichekesha! Utasikia Makolo eti KC Kala 4,mbovu! Makolo Kala 5 ila hawasemi wao wabovu! Yanga makes teams look AVERAGE coz Yanga are better n getting better!
WAMBIENI WATU WENU HAO TFF YENYE MFUMO WA KISIMBA BUT ALSO NA THE SO CALLED MEDIA WE NEED KU TRANSFORM MPIRA WETU KUIGA YANGA WANAVYO TRAIN NA KUTENGENEZA VIWANGO NA MFUMO WA KISASA WA KIUCHEZAJI,WATU WAPO TFF WANJIFANYA WANAJUA MPIRA KUMBE WAPO ENZI ZA SUNDAY KAYUNI WE NEED MODERN FOOTBALL PLEASE.