Asante sheikhe wng mana umesema ukweli wanawake tutumiye akili tukifika kwenye swala la mali jasho jasho lako wewe jo umechoka eti mtoto wa mama mkwe kwenye hati una muweka yeye sio kweli tukifika hapo ata ni samehe kwa kweli kuna mda wa hisiya namda wa ku tumiya akili zaidi