Naweza kushambuliwa kwa maneno na wapenzi watazamaji wake, ila hapa nashauri huu sio uuigizaji wakutusaidia kama Taifa. anapaswa kuvaa uhusika na huku akizingatia jinsi yake. Hapa nikutudharalisha Jinsi ya kiume, kama Baba na Jinsi ya kiume namuomba JOTI ifike mwisho uigizaji huu, Mungu anakuona unavyoendelea kuharibu jamii yetu ya kitanzania,,,unapaswa kuomba rehema na uache sanaa ya hivi joti hata kama watu wanapenda hivyo, mrudie muumba wako achana na hii style ya kuigiza kama mwanamke haifai mbele za Mungu na mbele za wanadamu wenye hofu ya Mungu,,, hakuna mtu mwenye hofu ya Mungu akufurahishwa na uuigizaji wa mwanaume kuwa kama mwanamke.
@@Ufalme1comedy lengo lake ni kufanya watu wacheke , huwezi jua labda kuna Yule akiangalia hii anakuwa Sawa na ndo lengo lake ,wacha makasiriko yako braza