Habari yako dada Dorathy siku nyingi sana nimepitwa kweli basi Nigependa tuwe Na group lakulipiia tuwe tuna uliza maswali sijuwi unasema ajee? Na Shukran kwa somo zuri Sana
ahsante sana madam Dorothy, nimejifunza mengi na ninatamani unifunze zaidi....endeleeza pale ulipo ishia na itapendeza ukitoa na somo LA tense tafadhali tufunze hilo somo LA tense/nyakati....Tafurahi siku nikiliona unalifundisha.
Habari zenu wanafunzi wangu wazuri. Tafadhali msiache namba zenu hapa kwenye comments tena. Kuna matapeli wengi wanajifanya kuwa mimi ili wawadanganye. Ukihitaji kuwasiliana na mimi tafadhali nitumie ujumbe Facebook, Instagram, au kwenye email address yangu (barua pepe): jifunzekiingerezanadorothy@gmail.com Karibuni wote na samahani kwa usumbufu. Tuko pamoja
Jifunze Kiingereza na Dorothy naelewa lakini sina Facebook pia instagram Niko na whatsapp sasa wewe haufanyishi number ya whatsapp labuda nikupee yangu ya whatsapp 0795226094 hii yangu utanisaidia ukitaka nashukulu
Dada yangu kazi mzuri naelewa sasa kidogo kidogo na shukuru mwenye zimungu sana hamijaria kuku funguwa kichuá chako nikizuri nakuómba uzid kutinfusha kwa sana??
Madam Dorothy asante kwa masomo mazur, lakin kidogo hapa sjakuelewa, hii sentence ya "I want water", je nikisema I want some water au some tea ntakua nimekosea?.