Тёмный
No video :(

KITOWEO 

Joti TV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 368 тыс.
50% 1

Jamani hii kukamata riziki kuna wakati tuangalie vya kukamata..
Kuna wakati Mungu hutoa majibu hapo hapo ili tumjue yeye nani!

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 521   
@katore1982
@katore1982 7 месяцев назад
Assalamualaikum warahmtullah wabaraqthu nimejifunza Kwa hii clip kwamba ,anaekudhulumu haki yako basi mshtakie Kwa Mungu!
@salimakida95
@salimakida95 7 месяцев назад
Joti tuko pamoja na wewe,mungu akupe umri mrefu
@indiemakershub
@indiemakershub 7 месяцев назад
Hola vipi majamaas, live from Uganda 🇺🇬 hapa. Wapi likes za Uganda 🇺🇬
@officialkamdudu
@officialkamdudu 7 месяцев назад
likes unazipeleka wapi kenge wewe ? peleka ushamba huko 😏 content aweke Joti like upewe wewe kama sio ushamba ni nini ?
@indiemakershub
@indiemakershub 7 месяцев назад
@@officialkamdudu we kenge niniii. Tombwa msenge 😂😂😁
@MsensiCharlesi
@MsensiCharlesi Месяц назад
Noma sna
@user-xt4yc9zc4l
@user-xt4yc9zc4l 7 месяцев назад
Kwamara ya kwanza kumuona huyu askari aliigiza vinzuri sana👏👏👏👏👏
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 7 дней назад
KWELI ANAWEZA SANA
@peniel0762
@peniel0762 7 месяцев назад
Woooow!!!! Hii ni mzuri sana ! Haina haja kuumiza mtu bure
@erickmidomsodock8716
@erickmidomsodock8716 7 месяцев назад
From Japan Kuma Moto I love you YANGA bingwa😊
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 7 месяцев назад
Kuma moto😢
@Trillionairekid89
@Trillionairekid89 7 месяцев назад
Leo mimi wa kwanza nipeni hata likes 20. U😢😢.
@mohamedkisenga6654
@mohamedkisenga6654 7 месяцев назад
Kwan hizo like za nn ww
@Trillionairekid89
@Trillionairekid89 7 месяцев назад
Si nimewahi mimi au.😅😅.
@hmedoggftherljih199
@hmedoggftherljih199 7 месяцев назад
za nn?
@tshisekedizachee5255
@tshisekedizachee5255 7 месяцев назад
Kwa Mungu wa mwisho😢
@EllyEllyCantiego-ew5np
@EllyEllyCantiego-ew5np 7 месяцев назад
Hua mnazi fanyia nn jaman tuambizane
@OurCryptoWorldwide5
@OurCryptoWorldwide5 7 месяцев назад
Nimefurahi kumuona Nanga kwenye hii timu aise. Big up Joti, weka like za kutosha hapa kama unamkubali Nanga
@johnsura79
@johnsura79 7 месяцев назад
nachokubali Joti tv hua wanaachia mapema kazi zao💥
@MartooNdale5480
@MartooNdale5480 7 месяцев назад
Serikali haina dini😂 Joti na team yko nyinyi mko juu Atari. From 🇰🇪❤❤
@abdillahmohd3748
@abdillahmohd3748 7 месяцев назад
Ina maana wapemba wanaamin kwenye Allah ❤
@user-sw1ko6dj9u
@user-sw1ko6dj9u 7 месяцев назад
Mtoto wa mama kizimkazi NISHAIIIIII😂😂😂😂
@eddieblaq5650
@eddieblaq5650 7 месяцев назад
dah leo had nanga 😂😂😂 kweli hubagui blessed sana
@CertifiedStoic
@CertifiedStoic 7 месяцев назад
Dah Nanga mmoja ni sawa na wachekeshaji wanne kwenye hii team😂😂😂
@faidhacute
@faidhacute 7 месяцев назад
😂😂😂😂
@carlosleonard6050
@carlosleonard6050 7 месяцев назад
Nanga noma
@OurCryptoWorldwide5
@OurCryptoWorldwide5 7 месяцев назад
Nanga kama Nanga safi sana nimefurahi kumuona huku
@charlesmillinga992
@charlesmillinga992 7 месяцев назад
Joti shikamoo kakangu. Hawajambo wajomba zangu na sehemeji, wasalimie sana. Uwe na siku njema best comedian ever. Mdogo wako Kimara born 1934 hadi leo mimi bado kijana.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 7 месяцев назад
🤣🤣 Salamu zimefika
@kugotwa004
@kugotwa004 7 месяцев назад
Afande nanga apo umeupiga hata boda wamwmbia nenda hulipi😂😂😂😂
@zephaniamwangu9857
@zephaniamwangu9857 7 месяцев назад
Daaah Nanga hujawahi kufeli dadeki😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@subu04
@subu04 7 месяцев назад
Love from Dodoma, wa Dodoma tujuane hapa
@mengifrank8070
@mengifrank8070 7 месяцев назад
Dodoma tupooo
@tunurobert2619
@tunurobert2619 7 месяцев назад
Tupo
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 7 месяцев назад
Tupo dam dar rod nzuguni
@mengifrank8070
@mengifrank8070 7 месяцев назад
Kikuyu st .john
@edwinmmary8459
@edwinmmary8459 7 месяцев назад
Mipango kwa wajanja
@nickvon7640
@nickvon7640 7 месяцев назад
This actually based on a true story 😅
@diskjockey4410
@diskjockey4410 7 месяцев назад
Daaah kumbe kumbukumbu iko kwa wengi big up broski😅✊
@victorvictor3064
@victorvictor3064 7 месяцев назад
Ilitokea kwa afande kitambi hapa Kimara
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 7 месяцев назад
​@@victorvictor3064bd yupo au
@makondegalema1550
@makondegalema1550 7 месяцев назад
Duh sikuwahi kuisikia ilikuwaje?
@jumahamis227
@jumahamis227 7 месяцев назад
Mi mwenyewe niliwahi sikia hii kutoka kimara au sio 😅.
@hamzayusuph6052
@hamzayusuph6052 7 месяцев назад
Ubunifu mzuri huyu jamaa polisi aendelee
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 7 месяцев назад
Kweli anaweza Sana mm namuona mara ya pili sasa
@wilsonsilva3718
@wilsonsilva3718 7 месяцев назад
Nishai wewe ni diamond platnumz mwengine,Sasa muko wa Wili uku Tanzânia
@user-bx4hr7gi9s
@user-bx4hr7gi9s 7 месяцев назад
The best part is that my two favourite youtubers are working together. Good job Joti and Nanga❤
@emmanueljohn7952
@emmanueljohn7952 7 месяцев назад
Hapo joti umepiga penyew kumleta nanga kwenye crew yko 😂nangaaaaa afande kuchi...mulaaaa
@hassansammy1076
@hassansammy1076 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂 Nakubali joti never disamppoint 🔥 🔥 🔥 🔥
@JosephEmmanuel-eb7gj
@JosephEmmanuel-eb7gj 7 месяцев назад
Big up joti huyo jamaa afande namkubali san
@faidhacute
@faidhacute 7 месяцев назад
Ww,gari kitoweo wote ndani
@aliahmedsalim673
@aliahmedsalim673 7 месяцев назад
KAMA VILE WASEMAVO KUWA SERIKALI HAINA DINI VILEVILE HAINA HAKI🤝🏽
@BMboss108
@BMboss108 7 месяцев назад
Kweli ..mwenye haki ni mwenye pesa..hao afande wafanana na waKenya 😂😂😂
@barakamwango
@barakamwango 4 месяца назад
Katika video zote hii ulifanya sawa zaid Mashallah Allahamdhulillah rabil_alamin Kilaktu tumshtakie Allah Kareem yeye ndo malik_lmulku hakeem_lhakimeen ❤❤❤❤Mashallah
@bantuboy-ne3mj
@bantuboy-ne3mj 7 месяцев назад
Kumbee leo ijumaa ...😂😂..like zanguu
@aminaomary5567
@aminaomary5567 7 месяцев назад
Joti wala sina mbavu kwa kucheka,eti dereva,kitoweo wote polisi 😂😂😂❤❤👍🙏👍👍jot polisi huyu aendelee kwa kweli.
@user-hx9ev6rk7o
@user-hx9ev6rk7o 7 месяцев назад
Duuuh Kaka umetisha Sana Ndamba's oooyeeeeee
@user-dh1nl1ft2k
@user-dh1nl1ft2k 29 дней назад
joti kabula unja zeaka naoba ni fanye na wewe video momja nakupenda bure from Saudia Arabia🥰🥰❤️❤️😁🙏pin🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@patrickmwanyumba1239weitww
@patrickmwanyumba1239weitww 7 месяцев назад
Thanks.Hata Huku Kenya Askari njaa tupu.
@emmanuelalphonce243
@emmanuelalphonce243 7 месяцев назад
Joti unajua sana.. hii kweli ni ya mwaka mpya 2024
@beniardajuna2580
@beniardajuna2580 7 месяцев назад
Kumbeeeeeee hawa maafande ndo sawa yaoi ntawakomeshaaaaaaa joti na team yako mmeuaa
@dr.mgungo1429
@dr.mgungo1429 7 месяцев назад
Sema huyu jamaa askari ni pro actor😹😹😹😹
@fatmaally7252
@fatmaally7252 7 месяцев назад
Yaaasni ni balaaa la moto
@mustafamusty
@mustafamusty 7 месяцев назад
HahahahahahahahahHH daaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we joti basi daaaaaaa we noma kaka
@user-zr8be7ep4g
@user-zr8be7ep4g 7 месяцев назад
Huyu nanga usimuache😂😂😂
@erickkagisa833
@erickkagisa833 7 месяцев назад
Aisee joti amemuona Nanga.... Bonge la kipaji
@bonfilskashaba7381
@bonfilskashaba7381 7 месяцев назад
Kitoweo joti toa pesa kkkk😮😮😅😅😅
@briantafari9224
@briantafari9224 7 месяцев назад
😂😂kaaali hii😂😂 uje Kenya tufanyie Dua hizi nugu huku...🎉
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 7 месяцев назад
Hahhhh dahhhh Nanga ad nmemsahau na Hilo gwanda asee jamaa anajuaa😂
@agnesbasistian9248
@agnesbasistian9248 7 месяцев назад
Joti leo umekuwa mpole balaa sijakuzoea hivyo eti❤
@o.ballek.e4265
@o.ballek.e4265 7 месяцев назад
Joti hababaishi anachekesha tu😂❤
@bashiruahmadi
@bashiruahmadi 7 месяцев назад
nimecheka kwa sauti eti rizki inavozidi kuoza na ww unaoza😄😄
@FranceThomas-ug2ed
@FranceThomas-ug2ed 7 месяцев назад
Mimi ndio kwaza nitulie ila joti ajawai nipa ❤ yani kanitupa tuu
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 7 месяцев назад
Hii stori ni kweelii jaamaani😢 ilimuondoa afande mmoja Dodoma😢
@mariambintsaid3814
@mariambintsaid3814 6 месяцев назад
He...akafa au ikaweje
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 7 месяцев назад
Hammy j 😂😂😂😂❤ enewei nishai mtomba ngwile kitwango mikazo miguno 😂😂😂
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 7 месяцев назад
Safi Sana Mr Nanga
@ProsperAmad
@ProsperAmad 7 месяцев назад
Kazi nzuli sana 🎉🎉
@ARNOLDKASOMA
@ARNOLDKASOMA 7 месяцев назад
Nanga Fireee ❤❤❤❤
@lianastephano3221
@lianastephano3221 7 месяцев назад
So emotional 😢
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 7 месяцев назад
Mlewa 🔥🔥🔥🔥
@user-ty2kc5jy7s
@user-ty2kc5jy7s 5 месяцев назад
Hivi huko ufukweni Kuna mauchafu hivyo hakuna vipande vya chupa wanatembea peku😢
@richieildephonce5771
@richieildephonce5771 7 месяцев назад
Aiseh umetisha sana
@Messi234
@Messi234 7 месяцев назад
𝐌𝐫 Nanga 👏
@fuminozanzibar.6402
@fuminozanzibar.6402 7 месяцев назад
Zito unajua kabisa kipemba mm mpemba hivi umeishi Zanzibar mbona lafudh n yenyewe
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 7 месяцев назад
Kapatia Kipemba hasa
@malilacollins11
@malilacollins11 7 месяцев назад
Jot 😂😂😂😂😂😂nanga umemuacha wap
@salimaziz9858
@salimaziz9858 7 месяцев назад
Hii ni stor ya kweli kabisaaa
@user-mh5ld4fp6y
@user-mh5ld4fp6y 7 месяцев назад
Kweli???
@salimaziz9858
@salimaziz9858 7 месяцев назад
@@user-mh5ld4fp6y ndio
@frankbujiku9496
@frankbujiku9496 7 месяцев назад
Jamani ndoa mavi ya mbwa hayanuki mpaka uyasogelee😂😂😂😂
@IslemSalum
@IslemSalum 7 месяцев назад
ila joti wapemba unatuonea sanaa 😅😅😅😅
@BikomboAbdala
@BikomboAbdala 7 месяцев назад
😂😂😂
@JohnLampard-vg4zm
@JohnLampard-vg4zm 7 месяцев назад
😅😅
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@ilmifarah3159
@ilmifarah3159 7 месяцев назад
Hapo kwa serikali haina dini 😁😁😁😁😅😅😅 #254
@luciamsani
@luciamsani 7 месяцев назад
Aaaah broo umetisha big up👏👏👏
@chrismuganwa8634
@chrismuganwa8634 7 месяцев назад
Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@malilacollins11
@malilacollins11 7 месяцев назад
Nanga anajua😂😂😂
@stevekasawala2315
@stevekasawala2315 7 месяцев назад
Ohoo nanga ameingilia hii shughuli kazi ipo😀
@sultannassor3691
@sultannassor3691 7 месяцев назад
huhhuhuhuhuh apo AAh SaLaaaLaaaaa mbavu sina
@safaritvhome5374
@safaritvhome5374 7 месяцев назад
Nanga kama Nanga😂😂😂,Afande Nanga
@faidhacute
@faidhacute 7 месяцев назад
Nakukubali sana nanga ❤❤ 😂😂
@mrjeyjamal6288
@mrjeyjamal6288 7 месяцев назад
Nanga yuko vizuri san
@fahadahmed3851
@fahadahmed3851 7 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣 hii kali akaoze nao
@user-ov7ge3ci6f
@user-ov7ge3ci6f 7 месяцев назад
Joti jotii yn nmfulai kumuona nangaaa
@YunusiAthuman-ep5mc
@YunusiAthuman-ep5mc 7 месяцев назад
Hapo joti umetisha sichoki kuingalia
@devothamwamwezi2036
@devothamwamwezi2036 7 месяцев назад
Leo me wa elfu 47 nipeni like na comment za kutosha😅😂😅😂😅😂😅
@razakilipwelele5518
@razakilipwelele5518 7 месяцев назад
Dereva Kitoweo Wote Central 😂😂😂
@chescomopao9164
@chescomopao9164 7 месяцев назад
Gnitaumiza mtu 😂😂
@user-nh5fj8mj4o
@user-nh5fj8mj4o 7 месяцев назад
MMMMMH JAMAN ATA KAM
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Месяц назад
Hi ndo honga sasa uone chambermaid kuni cheza na mpemba au binaadamu yoyote ak8sema tu namshitakia mungu ugopa kwa sababu haki yake mbapenda honga kama mimi ningwakata midomo yeni
@sagevali
@sagevali 7 месяцев назад
Nimechk😂 sana huk mwishon 😂😂😂😂
@user-mo7iq2fd8g
@user-mo7iq2fd8g 7 месяцев назад
hii team inatupa the best ever comedy...asa Nanga mwanzo ukujua kua una familia... nilijikuta huruma tu inanijia baada ya kuskia kua Nanga ataoza kama samaki..ckujua kua ni act tu😂😂😂
@judithharisson4063
@judithharisson4063 7 месяцев назад
😂😂😂Wapemba❤❤
@harrymakongwa1147
@harrymakongwa1147 7 месяцев назад
Hii kuna ilimtokea askari kilichotokea ni balaa ,hatuna nae tena 😅😅😅safi sana
@mariambintsaid3814
@mariambintsaid3814 6 месяцев назад
Nisimulie pliz
@StanMrema
@StanMrema Месяц назад
Awashwa huyu 😂😂😂
@milimaproductions1565
@milimaproductions1565 7 месяцев назад
Serekali aina dini😂
@harrymakongwa1147
@harrymakongwa1147 7 месяцев назад
Jidanganye litakalo kukuta hata serikali haitajua 😅😅
@allahisone6386
@allahisone6386 7 месяцев назад
​@harrymakongwa1147 😅😅
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp 4 месяца назад
😂😂😂😂😂 nmejifunza kitu
@AmCool_
@AmCool_ 7 месяцев назад
Nanga yupo Joti TV saivi, safi sana Joti, noma sana yaan 😂😂
@2116-n
@2116-n 7 месяцев назад
NIMEFURAHI SANA KUMUONA MWAMBA WANGU NANGA
@RafiJuma-k7k
@RafiJuma-k7k 13 дней назад
Afande salama alekum😅
@mirajidrissa9139
@mirajidrissa9139 6 месяцев назад
Mtumeeeee😂😂😂😂
@Jaydannychawaboy1.
@Jaydannychawaboy1. 7 месяцев назад
Daah afande nae ana maswali ya hovyo hovyo kweli😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢
@bosskid_yoo
@bosskid_yoo 7 месяцев назад
Kankanar kararaaaa
@khadijajuma4999
@khadijajuma4999 18 дней назад
,😂na uyo nae na asalala yke nacheka mie
@IsmailMjesh
@IsmailMjesh 17 дней назад
Alitakiwa aseme vipi........😅
@tumaintarra9960
@tumaintarra9960 7 месяцев назад
Kudos
@sylviajeruto1352
@sylviajeruto1352 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂 majabu
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh 7 месяцев назад
Team joto hongereni ila afisaa nanga pole yko maana dua ishasomwa na tushakuachia mungu thezea dua wee🙄😂😂🤣🤣🤣
@shabanimtunu887
@shabanimtunu887 7 месяцев назад
Selekali aina dini asalala mtumeeee
@glorymanga3650
@glorymanga3650 7 месяцев назад
😀😀😀😀😀DUARAA
@alfredjackson2720
@alfredjackson2720 7 месяцев назад
Mwarusa TAVETA Kenya watching
@erickmidomsodock8716
@erickmidomsodock8716 7 месяцев назад
Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 🤣🤣😊
@user-mo7iq2fd8g
@user-mo7iq2fd8g 7 месяцев назад
ila #Nanga asa anajua bhana
Далее
KACHUKUA NYWELE
11:55
Просмотров 251 тыс.
MCHAWI NDUGU
11:24
Просмотров 326 тыс.
when you have plan B 😂
00:11
Просмотров 7 млн
NDARO NA STEVE MWEUSI WAROHO UTACHEKA720P HD
13:28
Просмотров 1,1 тыс.
DEREVA MKONGWE NA TAHMEED POLO G1
1:49
Просмотров 10 тыс.
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
Просмотров 469 тыс.
LUGALO
9:57
Просмотров 561 тыс.
Sirro Amdaka Polisi Feki Uwanja wa Fisi  Dar
2:52
Просмотров 775 тыс.
DAZuu, Masantula, Pili, na Zunde. Full movie
55:48
Просмотров 38 тыс.
KADANGANYA
10:21
Просмотров 263 тыс.
MAMA MDOGO
10:58
Просмотров 289 тыс.
KAFIA KWA MUUZA SUPU
8:35
Просмотров 401 тыс.
when you have plan B 😂
00:11
Просмотров 7 млн