Тёмный

KONGAMANO LA TEBETH JIMBO KUU KAHAMA 2024 MWITIKIO MKUBWA USIPIME(3) 

ufunuo tv
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 183
50% 1

Kanisa linapatikana kimara bonyokwa ndani ya Jiji la Dar es salaam, kwa wale wanaotokea njia ya mjini kwa kutumia njia ya morogoro road ukifika kimara mwisho upande unaoshukia wa kushoto utaona stendi ya bajaji na magari yanayokuja bonyokwa,kwa wale wano tokea njia ya mbezi mwisho ukishuka kimara unavuka upande wa pili wa barabara ukipanda hayo magari au bajaji utashuka kituo kwa Bendera kanisani utakua umefika, Kwa wale wanaotokea stendi ya segerea panda Bajaji au magari yanayokuja bonyokwa mwisho ukifika hapo ulizia kwa Bendera utaelekezwa

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@ManaseKimesa
@ManaseKimesa 4 часа назад
Najiugamanisha na tebethi nisibaki kama nilivyo nibadilishwe na ww mungu ❤
@PendoJoseph-i9k
@PendoJoseph-i9k 5 часов назад
AMEEEE❤
@PendoJoseph-i9k
@PendoJoseph-i9k 4 часа назад
Amina saana nabarikiwa saana naomba nifunguliwe
@PendoJoseph-i9k
@PendoJoseph-i9k 4 часа назад
Naam najiungamanisha nakongamano kwassa nipo uganda Naam naomba kuinuliwa mwaka huu naam nisibaki nilivyo
@PendoJoseph-i9k
@PendoJoseph-i9k 5 часов назад
Naam najiungamanisha nakongamano kwassa nipo uganda Naam naomba kuinuliwa mwaka huu naam nisibaki nilivyo
Далее
Peace Festival Day 3
3:01:49
Просмотров 561