Тёмный
No video :(

Kontawa : Dunga Mawe ( official Music Video) 

kontawa
Подписаться 205 тыс.
Просмотров 1,8 млн
50% 1

Based on true story 🙏🏽 Enjoy
#Dungamawe #Kontawa #truestory

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,3 тыс.   
@ghostmorningstar930
@ghostmorningstar930 Год назад
Kama unamtambua NGOMA NAGWA,nigongeeni Likes wana.frm🇰🇪001
@hamzahassan363
@hamzahassan363 Год назад
Sana
@allanmashanda4424
@allanmashanda4424 Год назад
Kafanyaje?
@Burundian_Traveller
@Burundian_Traveller Год назад
Huyooo
@NEG-B
@NEG-B Год назад
Nangwa ameuwa
@1ontrendingmgimba
@1ontrendingmgimba Год назад
❤ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-5i0BV2OkJI8.html
@allymachejo2996
@allymachejo2996 Год назад
Licha ya maguma aliyopitia muhuni wetu Dunga Mawe lakn alikufa kwa kutaka kumsaidia mke wake RESPECT SANA✊
@musamusembi3043
@musamusembi3043 Год назад
Sio kwa wizi banae kutimiza mahitaji funzo hapa ni kuwa tafuta hela kwa njia ya halali kazi za kiume zipo miingi mijengo na kathalika
@mrmea1935
@mrmea1935 Год назад
Kwenye fasihi hii inaitwa kufaulu kwa mwandishi /mtunzi, ujumbe imefika na funzo limetolewa,lkn angeenda kuiba akafanikiwa maana wizi ungeonekana mzuri, lkn kwa sababu yamemkuta mazito hadhira itaelewa kwamba suruhisho la kipesa ni kutafuta kazi ya kufanya,kuomba sio kuombaomba,kukopa na baadae kurudisha.
@sadicksamuel2005
@sadicksamuel2005 Год назад
Alikufa kishujaa 😂😂😂
@erastojackson8427
@erastojackson8427 Год назад
Dg ametisha unyama can ✌️
@nishimwejames83
@nishimwejames83 11 месяцев назад
Alikufa kiume😂😂😂
@J4UPro
@J4UPro Год назад
Wakenya ni watu wazuri sana, yaani wao wanapenda muziki mzuri basi. Big up 🇰🇪
@MudMuho-zo9do
@MudMuho-zo9do Год назад
Nyie simuimbe zenu
@abiasifredrickdima3255
@abiasifredrickdima3255 Год назад
Ulistahiri kuwa msanii Bora chipukizi wewe ni motoooo🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@fredrickmaitha4427
@fredrickmaitha4427 Год назад
Kenyans 🇰🇪 let gather here to show this man love❤❤
@1ontrendingmgimba
@1ontrendingmgimba Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-5i0BV2OkJI8.html
@Bollah4Life_Earth_Adi_Heaven
KONTAWA ❤hii ni zaidi ya filamu
@patrickmaina715
@patrickmaina715 Год назад
huyu ni mnoma bana
@fridachonga
@fridachonga Год назад
We are here
@t9kenya
@t9kenya Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-m9Z4fiDPYFg.html
@jembelakijiji
@jembelakijiji Год назад
Finally baada yakuisubiri kwa mda mrefu dunga mawe ishatoka Kama unamkubali kontawa gonga like tukisonga
@vybzkiller254
@vybzkiller254 Год назад
Nagwa kiboko 💯💯🔥Dunga mawe wapi likes from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 it to the world 🌎
@felixmorara6241
@felixmorara6241 Год назад
I remember my father introduced me to this 'Ndunga mawe' Ngoma Nagwa in this video...he really is the best person for this role played in the video...A very deep song bro I literally shed a tear because I am going through the last stage that led to his death and I pray God bless us all and bless kontawa for the inspiratio...I left this comment so I can read it when I'm old next to my son/daughter
@henryrama6281
@henryrama6281 Год назад
All will be well brother
@njirumutegi
@njirumutegi 11 месяцев назад
You will be victorious sir.
@dickmjuba6075
@dickmjuba6075 Год назад
Ngoma kali mhusika mkuu nagwa og anaweza kabisa kuwa dunga mawe kulingana na uhuni wake tunaisubir❤❤❤❤🎉
@emmanuelnyakoi2391
@emmanuelnyakoi2391 Год назад
Ngoma nagwaaaaa miaka mingi hatujafilimba ulembe💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@thisisnotnome6533
@thisisnotnome6533 Год назад
Kama wewe ni mwanangu wa kuikubali "DUNGA MAWE" basi like message hii 💥
@darlingqueendee3822
@darlingqueendee3822 Год назад
Sad story bt nice song nakukubali kontawa...Kenyans loves Tanzania
@poleclassic
@poleclassic Год назад
Ngoma Nagwa,,,bendera chuma,mlingoti chuma.Namkubali sana Ngoma Nagwa❤
@rashidinakoni
@rashidinakoni Год назад
Nataman kua wa kwanza kuitazama hii ngoma aiseee ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@tracytonny
@tracytonny Год назад
tunahitaji part 2 ya wimbo huu😂😂 isiwe Dungamawe alifariki. anafaa awe na mwisho mzuri
@user-db7kj4qd3k
@user-db7kj4qd3k 3 дня назад
Dunga mawe. Aisee! Kaka kampenda mke wake, RIP Dunga Mawe.
@Chrisviva-ki5pu
@Chrisviva-ki5pu Год назад
huyo ndo Dunga mawe kweli umepatiya sana 💖💖💖
@cleverbenardclevermc-ld6qg
@cleverbenardclevermc-ld6qg Год назад
Naisubili kwa hamu hiyo ngoma #dungawawe baada ya kuona picha ya nagwa ndo nikaja ku comment kwasababu mimi mwenywe nilkua na waza kama yule ahoufe wa ghana amekufa basi mwingine wakuweza kuigiza uhusika wa dunga mawe ni nagwaaaaaa sharout sana mwanangu kontawa napenda sana uhandishi wake
@official_harmsmunga
@official_harmsmunga Год назад
Apart from the vibe, The messages hit the inner part of the ears.... The love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 is big...
@user-do7jd5rn2n
@user-do7jd5rn2n 9 месяцев назад
Xxx
@nehzreal7445
@nehzreal7445 Год назад
Mi nashangaaa na hii kipaji yote kontawa hukuwai tambua unayo tangu utotoni daaa....kweli ya mungu ni wengi outer kisumu 🇰🇪 we love your music
@oledokoratilombashi
@oledokoratilombashi Год назад
Video nimeiangalia Mara 6 bila kuitoa yaani kila ikiisha naweka tena ndo ujueiko powa kweli kama na wewe umeangalia kama mimi gonga like hapo
@nictordefavored3287
@nictordefavored3287 Год назад
Yaani nipo ange kabisa kuiona hii video ya dunga mawe,,,,nyimbo yenyewe ni noma sana ,,on top kontawa👌
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
Dunga mawe ngoma Nagwa nakukubali sana kichaa wangu umefanya kazi nzuri Kontawa pia nakukubali sana mchizi wangu unajua nyimbo zako bora na za kipekee God bless you ❤❤❤u forever
@opooderrick
@opooderrick Год назад
ati Bora ukabwe na donge ila sio dunga mawe listening from 🇰🇪🇰🇪
@cleverbenardclevermc-ld6qg
@cleverbenardclevermc-ld6qg Год назад
Kwangu mimi binafsi hapa bongo msanii wa kwanza ni #KONTAWA na ndo role model wangu utake utakubari na usitake ukakubali tu
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 Год назад
Kontawa nakukubali sana kaka Ni wa peke sana kaka Upo specel like my brow chidi benz
@samsonjuniormayama8847
@samsonjuniormayama8847 Год назад
Umenikimbusha mbali kwa rfk yangu wa krb alieuwawa mabibo kontawa kiume nadondosha chozi kwa hii nyimbo🔥🔥🔥🔥🔥 respect sana 😔
@thisisnotnome6533
@thisisnotnome6533 Год назад
Msanii bora Tanzania 🇹🇿 tunae hapa aitwa KONTAWA! AMETISHA
@EzraTech10
@EzraTech10 Год назад
Gonga like km una mkubali kontawa ❤💥💥
@Jkone891
@Jkone891 Год назад
BIG FAN TOKA KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪... BIG UP NAGWA BIG UP KONTWA ART KUBWAA... MKOJANI GAnG nawatambua sana pia
@allyissa-sp3ql
@allyissa-sp3ql Год назад
Daaaaaah huruma sana dunga mawe ila kuna wakati wanaume tunakufa kuwasave wanawake na watoto Respect ngoma nagwa
@omarimsonde1684
@omarimsonde1684 Год назад
Hiyo ndyo hasili yetu nimesha shudiya kama hao kwenye mtalo kama kumi wengine hakibaa😳😳sikya huko kwetu wapo Dunga mawe maisha harisi ya watoto wa ❤❤❤❤
@rashidinakoni
@rashidinakoni Год назад
Nilikua naisubiri kwa ham sanaaa nimekua wa kwanza leo naombeni likes zenu 🙏
@paulcharles5533
@paulcharles5533 Год назад
Hii story ya mwanangu kabisa, pale Kibaoni Singida. RIP
@mbukeibrahim3604
@mbukeibrahim3604 Год назад
Big up kontawa ya ngoma Dunga mawe good story all.the way to 🇨🇭
@ramadhanhussein6172
@ramadhanhussein6172 Год назад
Umefanya vizuli sana kumuweka huyu mwamba utafika mbali watu Wana muelewa sana huyu jamaa Ngoma Kali dungaaaaaaaa
@hafidhali4336
@hafidhali4336 Год назад
Ngoma nagwa og. Au macho yangu tu. Hamilton William mtu mbady✌😁😁😁😁😁
@FrancisMkonda-ie6zm
@FrancisMkonda-ie6zm Год назад
I fell from the depest part of my HEART....u're genious BRO.😢❤
@1ontrendingmgimba
@1ontrendingmgimba Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-5i0BV2OkJI8.html
@JacobSamwel-yv3pq
@JacobSamwel-yv3pq Год назад
Nyimbo ukiisikiliza ina mengi ya kujifunza, sio wote wanao penda kuwa katika hali ya uwizi,ukabaji na kutofautiana na wengine ila ni maisha waliy pitia au wanayo pitia... MUNGU AWAONGOZE WOTE WALIO KAMA DUNGAMAWE SIKU MOJA WAISHI NA KUTIMIZA NDOTO WALIZO PANGA WAKIWA WANAKUWA
@YohanaNguvumali-fe2gk
@YohanaNguvumali-fe2gk Год назад
Chuma Nagwa hyo n kboko zaid y kboko🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@abiasifredrickdima3255
@abiasifredrickdima3255 Год назад
Yani Content ya wimbo na mhusika NAGWA vinaendana Sana Kontawaaaaa we ni noma 🙌🙌🙌🙌
@RBTZOFFICE
@RBTZOFFICE Год назад
kama unaamini huyu ndy anafaa kuwa dunga mawe like hapa
@November19tv
@November19tv Год назад
Endelea kukaza mwanangu badman kontawa, respect pia kwa script writer kaitendea haki ngoma kweny video nimeuelewa xana ujumbe kuliko nilivyokuwq naisikiliza audio Jamaa kanyoosha xana scrpt nicklas nae kawaida take kufanya vyema.
@nicho.haircare9367
@nicho.haircare9367 Год назад
mtaa umekukubali... KONTAWA, WE NI NOMA.... KONTA WA MAKONTA💥💥💥💣
@smartwhite1945
@smartwhite1945 Год назад
Sawa mwanangu dunga mawe
@issaothmanhamis4857
@issaothmanhamis4857 Год назад
Umeuwaaa mwambaaaa sanaassa
@thomasmakala2082
@thomasmakala2082 Год назад
RIP AHOUFE, the only African 2 Pac and real Dunga mawe we ever had.
@HeriUpendo
@HeriUpendo 9 месяцев назад
Like, by zungu.
@paschalgabrie1099
@paschalgabrie1099 Год назад
Yes! Kontawa, kwanza Hongera kwa tuzo....hakika unastahili zaidi ya hapo...naam hii ndo video tuliohitaji...maana tuliisubili baada ya ile story ulotusimulia pale tunaota 🔥👍👏👏👏👏
@1ontrendingmgimba
@1ontrendingmgimba Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-5i0BV2OkJI8.html
@Clvestar
@Clvestar Год назад
Haya ndo mambo mazuri ya kuiga wasanii wengine wajue big up kontawa 🙌
@JacklineStephen-xw5ik
@JacklineStephen-xw5ik Год назад
Unakuta wasanii wa kenya wanajilinganisha na wa bongo mbwa hawa @kontaaa🔥🔥🔥
@bellrajkachafuo7813
@bellrajkachafuo7813 Год назад
Doooo very impressive story nagwa moja ya bloody my G kontaqa
@ShaniKazumali
@ShaniKazumali Год назад
Kama Umerielewa Ili Goma gonga like twende pamoja # Mwanangu Dunga Mawe✒️⚒️🇹🇿✌🏿
@don_dallartz
@don_dallartz Год назад
Dunga Nagwa Mawe😅👊🏿🔥🔥🔥🔥🔥
@aminaomary3548
@aminaomary3548 Год назад
Daah SEMA mwamba Dunga stones kafa kiume, wote tunaomkubali "DUNGA MAWE " like za Kwenda
@TitoEzekiel-ft5jb
@TitoEzekiel-ft5jb Год назад
Daa mnyama kontawa nimekubali we ni mwamba Kwa Ngoma kama hizi pamoja.
@asifiwe4773
@asifiwe4773 Год назад
Oa umepiga kwenye mshono kabsa mwanangu nagwa ✌️✌️✌️
@besteva499
@besteva499 Год назад
ngoma moto🔥🔥🔥🔥🔥
@khatibaliy4738
@khatibaliy4738 Год назад
Hujamaa ana weza sana kontawa top in town namba like zenu
@ibrahimkigomba9686
@ibrahimkigomba9686 Год назад
Uyu jamaa anachora na anaona mbali Kama harmonize' hakika "we proud of them" Rip Mr dunga stone
@harry495
@harry495 Год назад
Kotwala l am from Kenya and you have nice song Kwanza hiii ndio inamaliza mwazo big up Sana to this song and keep up.
@paulgaspary2459
@paulgaspary2459 Год назад
Wimbo mzuri sana Kontawa. Nimeusikiliza vizuri nimepata feelings flani hivi basi tu. Na huyo mwamba NAGWA Namkubali sana huyo ndo DUNGA MAWE 😃😀
@josphatkatheu3445
@josphatkatheu3445 7 месяцев назад
In malindi they love you sana kila place nikienda ni hii mwanzo maskani weeh inspiration kwao wanahustle wakitegea wazungu ipo siku
@Peterwiz_254
@Peterwiz_254 Год назад
Massage mzuri kwa mayouths.. from Kisii Kenya 🇰🇪
@khalefkhalef5733
@khalefkhalef5733 Год назад
Wakwanza mm nipeni like zangu 10 tu nikalale Kontawa & Ngwa unyama ni mwingi
@samwelipaul1462
@samwelipaul1462 Год назад
Tuna isubili kwa ham hii dunga mawe 🔥🔥💉💉
@Amikeyplayan
@Amikeyplayan Год назад
Naiyi kabisa kali sana kk inabili iwe music bora sana kk This is my favorite song ❤❤❤❤❤❤🎉
@awadhnassor
@awadhnassor Год назад
Sema ingeisha uyo dem anazaa hme wakat nagwa anaaga ingekuwa noma Sanaa!ingekuwa mwanzo wa dunga mawe jr! But all in all big up Sanaa shout out to @kontawa @nagwa OG a.k.a dungamawe😅
@Jaraboyflemy
@Jaraboyflemy Год назад
NAGWA YANII HII NGOMA INAMUONGELELEA YEYE KAPISA.... RESPECT TO KONTAWA ENDELEA KU SHINE BRO❤❤
@GreysonDawson-om3sr
@GreysonDawson-om3sr Год назад
Perfect character(Dungamawe) 👍good point
@godwinchristian5252
@godwinchristian5252 Год назад
Mwana e shikilia hapo hapo usibadilishie hii ndio gia ya mwisho mwendo wa kipekee sana 254 kenya tumekubali
@jofreysj_tz6693
@jofreysj_tz6693 Год назад
Kontawise umenyoosha kak hain chenga story na ngom vinaendan kinoma noma 🔥🔥🔥🔥🔥
@BONGOKUMENOGATV
@BONGOKUMENOGATV Год назад
kontawa uko juu Sana dam yangu
@FAMILYSIMBA
@FAMILYSIMBA Год назад
APPRECIATE THIS TALENTED BOY! I wait this dungamawe nagwa
@user-yk1pc5pj8s
@user-yk1pc5pj8s Год назад
anyshow to kenya il be there
@ndikumanarodrigue5657
@ndikumanarodrigue5657 Год назад
Kama umeckitishwa n hii ctory na unamkubali Kontawa gonga like hapa
@silvoclassicofficial959
@silvoclassicofficial959 Год назад
Kama movie vile big❤up sana brothe 🇺🇸🇺🇸✊🏿🦅
@brostonekillerofficial8344
@brostonekillerofficial8344 Год назад
Nimefurahi sna kumuona ngoma nagwa
@stopathelombe4454
@stopathelombe4454 Год назад
Sio poa
@allymachejo2996
@allymachejo2996 Год назад
Licha ya magum yoliyopitia muhunwetu Dunga Mawe lakn alikufa kwa kutaka kumsaidia mke wake RESPECT SANA✊
@shebbythespyro5393
@shebbythespyro5393 Год назад
Yani ime suit sanaa hii shot kupewa ngoma nagwa dunga mawe na talented work
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Год назад
Dunga mawe ya moto...🔥🔥🔥
@kapesamjenga8971
@kapesamjenga8971 Год назад
Minuno5000 Cheko la 1000 Ngoma nagwaaaaa
@mbuziwakutaga
@mbuziwakutaga 7 месяцев назад
Namkumbuka sana mwanangu David wa masumbwe geita😢😢kama dunga mawe r i p😢
@alecksdencil4445
@alecksdencil4445 Год назад
From the City of Africa"Nairobi"🇰🇪 l love this bro, you're the Star 🌟
@abdoulanzize6632football
@abdoulanzize6632football Год назад
Kontawa you're my champion 🇹🇿🇹🇿🇰🇲🇰🇲👑👑
@rosejackson5930
@rosejackson5930 Год назад
Ooh jmn 💯💯💯
@samomnanka2779
@samomnanka2779 Год назад
Goma liko poa sana... Ila angalia usizoee hii tabia ya lurudiarudia melodies. mfano hii ni melody ya #Champion.
@patriciotadeu5311
@patriciotadeu5311 Год назад
Ngoma nagwa
@ponyoduguru
@ponyoduguru Год назад
Wakwanza mimi 🇮🇹 tujuwane kwa Likes
@mwambino
@mwambino Год назад
Dunga mawew mnyamaaa
@Producer_s_254
@Producer_s_254 Год назад
Talanta kweli kwako ipoh Sawa Fast of all beats moto vokoo kali pia
@salumstamil
@salumstamil Год назад
Huyo ndo Dunga mawe sasa mwenyewe mmetisha sana💪💪
@jembelakijiji
@jembelakijiji Год назад
Wangapi tunasubiria hili jiwe
@feddyfeddy2597
@feddyfeddy2597 Год назад
Nipeni like zangu
@ezrommussamusssa2540
@ezrommussamusssa2540 Год назад
Oy dunga mawe ...The best chipkiz 😍😍😍
@user-gw4ym8ok4k
@user-gw4ym8ok4k Год назад
Dah big up San mazee kontawa hii ngoma noma San alaf dunga mawe sela flan ivi Atari mzee respect kwak kontawa
@LOOKMAN123
@LOOKMAN123 Год назад
Ngoma nagwa ndan ya nyumba DUNGA MA........🚬
@morrixeernext5532
@morrixeernext5532 Год назад
Ngoma nagwaa Baba dungamawe kbsaa
@MsanuajiOg
@MsanuajiOg Год назад
Nakubali hii mzee
@frielarlmond8482
@frielarlmond8482 Год назад
Huyu jamaa ki ukweli ni mkali kwa mashairi🎉🎉🎉🎉😊
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 Год назад
Nagwa kavaa uhusika hakika uyu ni Dunga Mawe 🙌🏿
@petersmuhika
@petersmuhika Год назад
This song is on ANOTHER LEVEL,,💥💥💯
@1ontrendingmgimba
@1ontrendingmgimba Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-5i0BV2OkJI8.html
Далее
СЛАДКОЕЖКИ ПОЙМУТ😁@andrey.grechka
00:11
Tundaman Ft Kontawa -Ushauri (Lyrics video)
2:55
Просмотров 60 тыс.
Kontawa : Mwalimu (official Video)
3:20
Просмотров 1,1 млн
Anjella - Nimekumiss (Official Lyrics Audio)
3:12
Просмотров 34 тыс.
D Voice feat Zuchu - Nani (Official Lyric Audio)
3:16
Mbosso ft Jaivah - Dokta (Official Video)
4:27
Просмотров 530 тыс.