Тёмный

KUANDAA MAYAI YA KUTOTOLESHA ILI KUPATA VIFARANGA WENGI SANA 

Kuku Village
Подписаться 66 тыс.
Просмотров 31 тыс.
50% 1

#mayai #vifaranga #kuku

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 68   
@ayubumerciory3725
@ayubumerciory3725 4 года назад
Habari naitaji kuku wale wenye kuota manyoya miguuni
@GrevenTarimo
@GrevenTarimo 5 дней назад
Habari haya mayai ya dukani dk za mwisho yakishatolewa yanapelekwa wap na Kisha kila tunavyoweka haya matatu yanabk hapo hapo au tunayaondoa
@KukuVillage
@KukuVillage 3 дня назад
1. Kazi ikiisha unaweza tunza kwa matumizi ya baadae
@khadijaathuman614
@khadijaathuman614 2 года назад
Habari mm nilikuwa nauliza kabla ya kutiya mayai kwenye incubator ukicheki yai kwenye tochi na likawa na matundu mengi linafaa kutotolisha au halifai
@rogerslaurence3035
@rogerslaurence3035 3 года назад
Habari ya asubuhi, mnapatikana wapi, nahitaji jogoo na mitetea
@annamushi5206
@annamushi5206 4 года назад
Je utajuaje yai linafaa kutotoleshwa
@dullyhaleem6962
@dullyhaleem6962 3 года назад
nahitaji kujua nawezaje kutofautisha kwamba yai hili likitotolewa atatoka tetea na hili atatoka jogoo..!
@KukuVillage
@KukuVillage 3 года назад
Tupigie kwa ufafanuzi... 0621063255
@martinchisale8464
@martinchisale8464 3 года назад
Kama Kuku 30 zinatagia siku Moja utabidi uandike tarehe Moja au vipi?
@KukuVillage
@KukuVillage 3 года назад
Yes
@kandachidy3744
@kandachidy3744 3 года назад
Natamani Sana kufuga kuku lakin aidia ndo sina
@emmanuelnyika726
@emmanuelnyika726 4 года назад
Machine ya kutotolesha ni sh ngapi?
@SalumAme-wc8ho
@SalumAme-wc8ho 10 месяцев назад
Kk wangu nakosa vifarangawakia tamia
@msengimanase3605
@msengimanase3605 2 года назад
Unapotaka kuhifadhi mayai kwa usahihi sehemu ipi ya yai kuangalia juu
@KukuVillage
@KukuVillage 2 года назад
Isiyochongoka
@MoabuFredrick
@MoabuFredrick Год назад
je mayai ya bloiler yanaweza tumika kutotolesha??
@jadsonchachamaige6142
@jadsonchachamaige6142 4 года назад
Nina kuku watano nataka niwafuge kisasa ila ndo naanza sijawa na eneo la kutagia la kutosha ntawezaje kuwatunza na tiari washaanza kutaga angalau nikujipange
@KukuVillage
@KukuVillage 4 года назад
Tengeneza eneo la kutagia.
@rashifahamza8557
@rashifahamza8557 2 года назад
Kama kuku wanataga hawalali unafanyaje?na ni wa kienyeji kabisa?
@rosepaul7901
@rosepaul7901 2 года назад
Mimi sijaelewa, yaani mwanga mkali ambao ni upi?! Mfano ndani usiku lzm niwashe taa na nakua nimeyaweka mezani kwenye trei, lkn mchana pia yanakua hapo hapoo kwenye meza na yanakutana na mwanga ambao ni ule wa asili yaani maana nyumba ina madirisha makubwa kutosha kupenyeza mwanga kuingia ndani, sasa kati ya mwanga huu wa asili wa ndani ambapo jua halipenyi kuingia ndani na mwanga huo wa taa wa usiku, ni mwanga upi haufai unaweza kuharibu mayai?!
@charlesmarwa336
@charlesmarwa336 2 года назад
Nikitaka kutumia tea au balupu kutotolesha na fanyaje?
@KukuVillage
@KukuVillage 2 года назад
Ni maelekezo marefu tutayaandalia video yake..
@MarcusEswau
@MarcusEswau 8 месяцев назад
Kama kuku ndo amenza kutaga mara ya kwanza na nima dogo unaweza kumtamishia
@KukuVillage
@KukuVillage 8 месяцев назад
Acha walau zipite wiki 2. Ila ila kama ni Kienyeji pure haina shida
@petronillajosephat2655
@petronillajosephat2655 4 года назад
unauza incubator zinazotumia mayai machache
@KukuVillage
@KukuVillage 4 года назад
Unapatikana wapi?
@ludoviclimo4153
@ludoviclimo4153 4 года назад
petronilla josephat how much
@marymakundi8032
@marymakundi8032 4 года назад
Nina kuku wachsche sana lkn wakati wa kutaga wanatagia kiota kimoja yaaani wanagombania kiota kimoja nifanyeje?
@raphaelhanya8131
@raphaelhanya8131 4 года назад
Nina incubator ya mayai 48 naomba kujua humidity Ni asilia ngapi na joto na sentegrade naomba msaada
@sabrinahamisi7544
@sabrinahamisi7544 2 года назад
Joto Ni 37.8 isishuke zaidi ya Apo,. Na unyevu Ni 45 mpka 75, inatakiwa isishuke chini ya 45
@sessekiza2047
@sessekiza2047 Год назад
Je inaweza kumu changiya kuku wakitamia mayayi ya kizungu na yayi ya kinyeji?
@KukuVillage
@KukuVillage Год назад
Inawezekana ila ya kizungu ili ya yatotolewe lazima yawe na mbegu
@sessekiza2047
@sessekiza2047 Год назад
@@KukuVillage mbengu aje? Ki ini cha kuku una tizama kupitia toch
@bernardcheruiyot4242
@bernardcheruiyot4242 4 года назад
Kuku ulalia mayai ambayo imekaa kwa muda gani?
@KukuVillage
@KukuVillage 4 года назад
Siku 14 kurudi mpaka siku 1
@deborashendu7548
@deborashendu7548 4 года назад
@@KukuVillage naomba namba yenu
@lucasmwinuka3838
@lucasmwinuka3838 4 года назад
Yai linatakiwa likae muda gani kabla na baada ya kuweka kwenye machine kwa kutotolesha
@KukuVillage
@KukuVillage 4 года назад
Yai linatakiwa kukaa siki 7tangu litagwe, kabla ya kuwekwa kwenye incubato. Baadae hutotolewa ndani ya siku 21.
@lucasmwinuka3838
@lucasmwinuka3838 4 года назад
Asante Kuku Village Kitu kingine thermostat zinapatikana wapi na gharama yake ipoje.
@KukuVillage
@KukuVillage 4 года назад
@@lucasmwinuka3838 zipo sehemu mbali mbali. Kwa watu binafsi na katika maduka ya vifaa vya kuku na incubators. Bei inategemea na uwezo uimara na muuzaji mwenyewe.
@lucasmwinuka3838
@lucasmwinuka3838 4 года назад
🙏🙏🙏 @Kuku Village
@tinasharali7596
@tinasharali7596 3 года назад
Machine yangu haina trey nnawekaje mayai
@saidmohammed3592
@saidmohammed3592 4 года назад
Hiv ushamuacha kuku kitaga ndani ya siku tatu halafu nikimuweke mengine atataga
@KukuVillage
@KukuVillage 4 года назад
Atataga. Ila usifanye akiwa anakuona
@KukuVillage
@KukuVillage 4 года назад
Atataga. Ila usifanye akiwa anakuona
@sessekiza2047
@sessekiza2047 Год назад
Na ita totowa siku moja na ya kienyeji
@erickmagezi8581
@erickmagezi8581 4 года назад
Nipe ramani ya banda halisi la kufugia kuku
@KukuVillage
@KukuVillage 4 года назад
Tazama video za mabanda zipo hapa hapa kwenye channel hii ya kuku village.
@KukuVillage
@KukuVillage 4 года назад
Tazama video za mabanda zipo hapa hapa kwenye channel hii ya kuku village.
@omarali2707
@omarali2707 4 года назад
Hy kaka mm nataka kunza hiyo kazi sasa mayai ni hao yanayo nunuliwa dukani ama mayai nitafauti
@KukuVillage
@KukuVillage 4 года назад
Sijakuelewa
@emanuelyaman766
@emanuelyaman766 4 года назад
Tubashukuru kwa maelezo mazr nauliza joto ktk incubator lapaswa kuwa °c ngapi???
@amrilubarati8351
@amrilubarati8351 3 года назад
Je Mayai yakae siku gapi
@lydiamichael8449
@lydiamichael8449 4 года назад
nahitaji vifaranga mnauzaje?
@KukuVillage
@KukuVillage 4 года назад
Aina gani?
@khatibujuma1008
@khatibujuma1008 4 года назад
Kutotolesha mayai kwa nitumia books utumie vifaa gani
@KukuVillage
@KukuVillage 4 года назад
Rudia kuuliza vizuri swali halijaeleweka
@lubenfrorian4173
@lubenfrorian4173 2 года назад
Unaweza kutotoa vifali
@lubenfrorian4173
@lubenfrorian4173 2 года назад
Unaweza kutotoa vifalanga bila kupima joto
@eloiskasereka9874
@eloiskasereka9874 4 года назад
Mimi ni KASEREKA LUKOGHO Elois , mkaaji wa drc, kilometa 100 toka mji kuu wa butembo, nashukuru sana kuku village, shida langu nikuwa number zote zenu za whatsapp haniweze kuzipa naomba muniunge kwenye group ni sheye na wengine, niko mfugaji mdogo tu, ila Nina ndoto. Number yangu ya whatsapp ni 0811554532
@feisalathmanali5538
@feisalathmanali5538 3 года назад
Naomba niunge kwa gruop la WhatsApp +254726647856
@amosimwita2245
@amosimwita2245 3 года назад
Mayai ya kutotolesha yanatakiwa yawe yamechukha mda gani baada ya kutgwa ?-
@KukuVillage
@KukuVillage 3 года назад
Siku 6. Kwa mashine Siku 13 kwa kuku
@sch6796
@sch6796 2 года назад
Siku 1 hadi 14. Zaidi ya hapo halifai kutotilesha
@lucasmwinuka3838
@lucasmwinuka3838 4 года назад
Yai linatakiwa likae muda gani kabla na baada ya kuweka kwenye machine kwa kutotolesha
@rosepaul7901
@rosepaul7901 2 года назад
Ngoja nikusaidie kdg japo na yy huyu mtaalam naye atakuja kusema, yaani mayai yasizidi siku 7 ndo yanafaa kuweka kwenye mashine, na yale ambayo hayana uchafu, lkn pia yale ambayo hayajashikwa na manukato, na ndani ya siku 7 yaani week moja yakiwekwa kwny mashine ndo yatajulikana yapi yanatotoleka na yapi hayata totoleka, japo mm nilikutana na changamoto, niliweka mayai 30, kisha yaloonekana yatatotoleka yalikua 13, ajabu siku ilipofika ya kuanguliwa, nilipata vifaranga 3 tu, so wkt mwngn mashine nayo inakatisha tamaa na sitamani tena kuweka mayai kwny mashine, ngoja mtaalam aje tujue vzr
Далее
How would you react?!😳
00:44
Просмотров 3,4 млн
For my passenger princess ❤️ #tiktok #elsarca
00:24
MUONGOZO KUHUSU INCUBATORS
12:17
Просмотров 24 тыс.
JINSI YA KUiTUMIA MASHINE YA KUANGUA MAYAI 48
14:33
Просмотров 6 тыс.
NJIA YA KUPATA KUKU WENGI WA KIENYEJI KWA MUDA MFUPI
10:52
FAHAMU NAMNA BORA YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU
11:56
Просмотров 10 тыс.