Demu amekuzungusha kama miezi sita hivi ataki kukupa game, kwa wale wazee wa kuchezesha hivi ndivyo wanavyofanya... Sanaa nyingi uongo mwingiiii kwa style hii lazima utatoa game tuuu
Asee joti hebu toa part two yake hii tuone mziki wa demu utakavokua hapo dukani baada ya sopa kuchovya utambi Bagamoyo alafu TV haijawa delivered kama ilivyotarajiwa. I hope wazo langu litafikiriwa 😂