Usinikumbushe my cousin alikula pesa ya chama akijuwa by Dec atarefund my dear imefikia siku wamama wanataka pesa yao wasort Xmas weeee alifaint akaenda amkia hosy 😂😂😂😂😂😂
Umesema na maanthaari? Phanise pse be ready this gal is plotting for your money ju ya kukula tu. Hii chama sioni ikiendelea kama Awinja ndio treasurer 😅😅😅😅😅