Ungefrahia pia kwa sababu Mungu amekuepusha na mengi kuhusu Mitchell, also we learn from mistakes jitie nguvu kama mwanaume upewe vitu zako usafiri tena ( your bright future is yet to come) Mungu atakubariki na mwanamke mwema mwenye hekima atokae kwa Mungu pia omba Mungu akupee hekima kwa kila unalotaka kulianzisha ...( PUT GOD FIRST EN TRUST IN HIM FULLY)
Aggrey please be strong and make sure umepata mali yako even shukur,,,mungu umejitoa.kwa story ya mtoto come back be working utapat wako ,,na uwajane na mambo ya uyo MITCHELL
Angry shuru mungu amekuto kwenye shinda hizo unafaa kufurahi sasa pingania mahli yako mungu atakubariki na watoi wengi wengine beautiful na wengine hand some
Just be happy maana kama ungeoa huyo dem ni mengi yenye ungepitia, Mungu amekuepusha na mengi yenye ungepitia hapo mbeleni, be happy God is bringing something good in your life, fuatilia zenye zimebaki sasa
Sasa wakati ni sasa wa kushukulikia documents zako na urudi tuchape sana dear ❤na ukumbuke kua bado uko na watoto wako kwa mwili so never give up in life just moveon na utapata bibi poa😊🫂🫂
Kubali matokeo Mungu atakupa mke mwingine na watoto sasa wewe Fanya hivi wewe futilia document na balance yako but maneno ya mtoto ya mtoto sahau wewe ni mwanaume Mungu atakubariki na mema my brother