Тёмный

KUMEKUCHA !!! 

Oliver Paul Tz
Подписаться 1,3 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Sasa ni zama za ushindi na utukufu

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@maomacatta9770
@maomacatta9770 12 часов назад
Nimemuelewa Mwalimu Nyangusi ni mwalimu pia ni usalama wa taifa na takukuru mkoa wa dodoma waliingizwa king bila kujua na wakapewa assignment bila kujua huyo ticha ni nani 😅😂
@simonsadala2386
@simonsadala2386 15 дней назад
Comred Nyangus Mhaziri wangu bora sanaaa nakumbuka malezi yako na ushauri wako pale nilipopata changamoto za ki taaluma Mungu akubariki pole kiongozi
@Madinitv_
@Madinitv_ 15 дней назад
Watu mna siri sana! Hivi kumbe Mwalimu Nyangusi ni Padre!! Yote kwa yote pole sana mwalimu wangu, tatizo vile vi slide ulikuwa unavikimbiza faster sana, ila ulinisaidia, ufundishaji wako ni wa kipekee Mungu akupe maisha marefu, mengine hayo ni mapito tu. Usiache kusamehe.
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 16 дней назад
Km jirani yangu. Nilisikitika sana na nili doubt sana juu ya tuhuma hizo. Thank God now that you are free
@enocksitta6350
@enocksitta6350 16 дней назад
Pole sana,hao jamaa nasisi huku wanatusumbua sana,nijambi la kumshukuru Mungu
@rubeba9624
@rubeba9624 17 дней назад
Wakati wa Bwana ndio wakati sahihi. Pole kwa yote na hongera sana kwa kuwa huru!
@oscarmtavangu3053
@oscarmtavangu3053 16 дней назад
Pole sana mtumishi wa Mungu, dhahabu lazima ichomwe moto Ili iongezeke thamani.
@Lizzy-gh2ls
@Lizzy-gh2ls 16 дней назад
Hakika hapa duniani kuna watu wamedhulumu maisha sana
@JelemiaMajengo
@JelemiaMajengo 16 дней назад
Pole sana mwana darasa ! Mungu mwenye haki ,akutetee na kukulinda.Amina
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 16 дней назад
Ki ungwana kabisa .. Binti amuombe huyu mzee msamaha hadharani kabisa.. Tofauti na hapo atajutia maisha yake yooote ... Na atalipa garama ..
@adammeshackakyoo2422
@adammeshackakyoo2422 16 дней назад
Pole sana Oliver, wengi kwenye vyuo vikuu wamedhalilishwa sana kwa uongo na hila. Hata hivyo ukweli mara zote unashinda hata ichukue muda. Bravo hao vijana weledi wa system na Mahakama kuu. Watu waadilifu bado wapo hata katika giza hili. Nakuombea uponyaji wewe na familia kwani najua mmeumia sana roho zenu. Mungu ni mwema, keep going!
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 17 дней назад
Pole sana mhadhiri....
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 9 дней назад
Pole sana mwalimu!
@umesikia
@umesikia 13 дней назад
Yaani kama hichi Cha wafanyakazi wangekifuta. Watu wanaonewa sana makazini selekarini. Kuna watu badala ya kupanda madaraja wanashushwa. Makazini wanalindana kama huna mtu utapata shida.
@kimallyaeliac5641
@kimallyaeliac5641 6 дней назад
Ukuu wa Mungu ni mkubwa mno,hatimaye wamejifedhehesha na hila zao chafu.kusudi la Mungu lizidi kumea kwako.
@ladiusmulokozi9288
@ladiusmulokozi9288 16 дней назад
Pole sana mwl wangu hakika Mungu atukuzwe sana
@Tutindaga
@Tutindaga 17 дней назад
pole sana ndugu,Mungu atakurejeshea Muda na gharama zoote ulizopoteza kwenye hiyo kesi ,na hao vibaka watalipwa kwa wakati wao
@AbelnegoPhilimon
@AbelnegoPhilimon 16 дней назад
Natatizwa sana na amani yetu, mbona kunamambo yanayofanyika mengine yanayofanyika nyuma ya pazia ambayo hudhibisha kuwa amani yetu kama nchi iko matatani kutokana na upotoshwaji wa haki.Mm naona kunahaja ya watanzania wote tuendelee kuiombea nchi yetu iwe na amani halisi na sio cover
@josephatmaross8019
@josephatmaross8019 12 дней назад
pole sana mwalimu
@naftalkileo5224
@naftalkileo5224 4 дня назад
Sasa mbona unatoa siri za system tena?
@kilimbelememe2632
@kilimbelememe2632 16 дней назад
🇹🇿 is our homeland 😢😢. May God be our saviour
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 16 дней назад
Uswahili shida sana. Ngozi nyeusi roho mbaya ndo urithi wetu. Acheni roho mbaya watoto wenu watapitia hayo hayo.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 17 дней назад
Vita kiroho na vita ya kimwili vinatofauti mkubwa sana
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 16 дней назад
Women have been weaponized by the system. So they use their precious weapon.
@davidshinje6379
@davidshinje6379 15 дней назад
Pole sana mwalimu wetu nyangusi huna baya.
@kisikalaizer1834
@kisikalaizer1834 13 дней назад
Pole sana mwl
@gasperswai6963
@gasperswai6963 16 дней назад
.mhe pole saaana na sifa ba utukufu apewe Mungu!!! Mwisho nakushauri wafungulie kesi ya kuchafua jina lako kwa kukufungulia kesi ya uongo ambayo ime sababisha damqges nyingi kama careers damages, professional damages, social damqges, na pia walienda mbali kuchafua jina la chuo pamoja na wafanyakazi wa taasisi!! ili iwe fundisho kwa watumishi wengine!!!
@khadijamasele9005
@khadijamasele9005 16 дней назад
Hao takukuru hawajielewi na ni shida sana
@samuelelikana3459
@samuelelikana3459 14 дней назад
Bwana Nyangusi😂😂 Mtu poa sana huyu
@meshackeliau8973
@meshackeliau8973 14 дней назад
Walimsulubisha Nyangusi wetu asee😢😢
@emmanuelmwangoka4972
@emmanuelmwangoka4972 16 дней назад
Pôle Sana Mwl wangu. Mwenyezi Mungu azidi kukutunza
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 16 дней назад
Wahadhiri wa Kiume vyuo vikuu wamekuwa wakichafuliwa sana na mifumo mibovu ya kijinsia
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 16 дней назад
Kabisa kabisa kabisa
@collinsulomi1008
@collinsulomi1008 16 дней назад
Pole broo. God is always Great
@lovisfrederick3629
@lovisfrederick3629 6 дней назад
Kwani serikali ni nini au ni Nani? Na takukuru ni chombo cha Nani? Sijui Anajitahidi kusafisha system gani 🤦
@MaximillianNgoiya
@MaximillianNgoiya 16 дней назад
Aisee kamauna phd nenda Marekani haraka sana ukapige hela huko watu hawataki kupiga shule
@elizabethmwakalinga3287
@elizabethmwakalinga3287 12 дней назад
Daaaah hii dunia hii 😢
@mekyussanga5382
@mekyussanga5382 16 дней назад
Anaitwa nani huyu baba?...Pole sana kwa madhila yaliyokusibu
@oliverpaultz56
@oliverpaultz56 16 дней назад
@@mekyussanga5382 Anaitwa Jacob
@aronmilinga7303
@aronmilinga7303 16 дней назад
Malecture muach tabia za kuon mabint il wawe salama n kukubal kutumiwa, kumbuken hao wana wanaowapenda, na zaid km han uwezo kwel bac wapen Carry over au supplementary c kutengenez mazingira ya kuingizana ktk mapenz. Tunayaona ayo vyuon watto wa watu wananyanyaswa kisa mungu kawapa sura na shepu
@ifonlyiknew619
@ifonlyiknew619 13 дней назад
Kwa Hiyo Unataka Kusema Nini Hapa..,,?Kama ilikuwa ni Kukuchafua Ilikuwa lazima Wafanye mambo bila Kutumia Ubongo..Daaah..!
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 12 дней назад
Baadhi ya viongozi wetu katika ofisi za serikari sio waadirifu mwisho wa siku wanalichafua taifa hili la Tanzania
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 17 дней назад
Pole sana.
@ProsperChuwa-l8t
@ProsperChuwa-l8t 16 дней назад
Pole ndugu
@charlesngamanya9275
@charlesngamanya9275 17 дней назад
Pole sana
@edmundhenrykagimbo9776
@edmundhenrykagimbo9776 15 дней назад
Duh??? Hebu tuwafahamu hao Jamaa waliofanya huo uhalifu!
@KheiriBafadhili
@KheiriBafadhili 16 дней назад
Ukweli ni hisitolia nzuli na hiii moja kwa moja hulikua na tofauti na watawara hiii ndio tanzania pesa za huma kuchezewa na wasio na waredi kabisa
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 15 дней назад
Kumbe Kuna Rushwa ya NGONO! JE Rushwa ya MADARAKO inayo tunyima KATIBA yetu mpya, Kwa Nini haisemwi?. Hii ni Rushwa inayofanya na CCM Kwa lengo la kuitawala NCHI hii BILA ridhaa ya kura za KWELI za WANANCHI.
@timurmauga6559
@timurmauga6559 9 дней назад
Ungewashitaki kwa kubambika ili wafungwe waavhishwe kazi
@isaacmwaipopo
@isaacmwaipopo 16 дней назад
Kama hukuhusika kweli Mungu awe nawe. Ila wahadhiri wengi wana tabia mbaya sana ya kuwataka wadada rushwa ya ngono. Huenda pengine umesafishwa na mahakama lakini rohoni mwako unashuhudiwa tu kwamba ulimwomba rushwa ya ngono. All in all, Mungu ndio anajua.
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 16 дней назад
Msililize anachoongea- 1. Aliyemsingizia hakuwa mwanafunzi 2. TAKUKURU Dodoma waliingia mgogoro na TAKUKURU Dar es salaam 3. Hata kama kuna rushwa ya ngono vyuoni lakini isitumiwe kuchafua watu kiholela 4. Katika hili kulikosekana weredi kwa sababu walitangaza kwenye vyombo vya habari wakati bado suala linafanyiwa uchunguzi 5. Ilianza rushwa ya ngono ikaenda mpaka uhujumu uchumi
@barmwa
@barmwa 16 дней назад
​@@christianmwabukusi8132yaani mwaisa Mwaipopo kaniangusha tayari taarifa inasema binti hakuwa mwanafunzi wa Udom sasa rushwa ya ngono inahusikaje?
@furahachuma9039
@furahachuma9039 16 дней назад
Katika chuo gani? Muwe mnaleta na ushahidi si manenomaneno.
@barmwa
@barmwa 16 дней назад
@@furahachuma9039 kabisa mate siyo kukurupuka tu kuponda jambo bila ushahidi
@MtegekiKaijage
@MtegekiKaijage 15 дней назад
Najiuliza kama PCCB chombo amabcho kimeaminiwa na kupewa mamlaka kubwa nchi hii kinatumiwa kutumika na kusingizia watu wa kawaida how safe are we sie wanyonge
@SwinportEnterprises
@SwinportEnterprises 15 дней назад
Yani kama jitu halijafika hatua ya chuo hawezi kujua kama rushwa vyuoni IPO. Lakini ni kwa moto.
@godfreykiama1930
@godfreykiama1930 17 дней назад
sasa utueleze nini lengo lao toka siku ya kwanza,au ww unahisi ni nani yupo nyuma ya hiyo hujuma?na mlikosania nini mpaka atumie takukuru kukukomoa?
@hkaniugu
@hkaniugu 16 дней назад
Au ili waonekane wanafanya kazi
@nyadunga
@nyadunga 17 дней назад
Mungu mwema
@abdulisiwa4118
@abdulisiwa4118 13 дней назад
Hiki chombo bado hakijajua nn Cha kufanya na kimejichokea kesi nyingi zinashindwa
@stevennenelwa3192
@stevennenelwa3192 16 дней назад
Mtumishi akil kubwa sn pole Kwa changamoto
@arcadiusbombo7661
@arcadiusbombo7661 16 дней назад
Kumbe ni Padre, si mmeona hiyo picha, au hamjaelewa?
@hajimaftaha3272
@hajimaftaha3272 16 дней назад
Kuna shida kwenye mifumo yetu ya kisheria na ukosefu wa maadili kwa ndugu zetu wanaopewa majukumu haya yahusuyo haki za raia-
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc 16 дней назад
Kumbukeni 2018_2021 ilikuwaje?
@priscargodwel8333
@priscargodwel8333 6 дней назад
Sisi Wana udom tunalikumbuka Sanaa hili
@paterinishayo-ef4sx
@paterinishayo-ef4sx 16 дней назад
Daaaa kumbe ni father hongeran saana pia pole saana ila tukio limekufanya sasa uwe maarufu tungekujuwaje kama mandonga tuu ukipiga ukipigwa ni wewe tuuu
@MwajumaMsimuwilliam
@MwajumaMsimuwilliam 15 дней назад
Mnataka kuniambia kuwa wale wasiooa wote wahalifu, na waliooa wote watakatifu!!!!??
@richardhosea8827
@richardhosea8827 16 дней назад
Walikuwa wanahangaika na Baba paroko pia mfumoni
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 16 дней назад
Unahofu tu ya kutumia
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 16 дней назад
Mabinti wetu wanadhalilishwa sana na hawa watu huko vyuoni,,,,,
@paterinishayo-ef4sx
@paterinishayo-ef4sx 16 дней назад
🤔🤔🤔🤔🤔
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 16 дней назад
Padre
@isaacmwaipopo
@isaacmwaipopo 16 дней назад
Alafu hivyo vifaa hauwez kuviweka makumbusho kumbuka ulishtakiwa na serikali. Sasa serikali itawekaje kumbukumbu hiyo???
@oliverpaultz56
@oliverpaultz56 16 дней назад
@@isaacmwaipopo 🙏🙏🙏
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 16 дней назад
Ana haki kasome KATIBA,Kwa kuwa ameshashinda kesi,anahaki ya kuviweka makumbusho,angekuwa ameshindwa HAPO ingekuwa ngumu
@michaelgilbert1531
@michaelgilbert1531 15 дней назад
Angevichoma moto
@danielvengei6065
@danielvengei6065 15 дней назад
Naomba usitumie maana labda kuna mtego .
@rogersiddy
@rogersiddy 15 дней назад
Duh kumbe Tundu Lisu nae hawezi kuweka Gari lake Makumbusho ya Taifa sababu nayeye pia alishawahi kushtakiwa pia na tumechanga hela apate gari mpya🙄🤔😢😢
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 16 дней назад
La mwisho tafuta fidia yako za uchafudhi na mengine ya maumivu ( watu wakianza kuifungua hizi kesi akili zita Piga)
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 16 дней назад
Anae toa na anae pookea ni watu wazima,,,ila rushwa haitakiwi
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 16 дней назад
Takukuru wanatoa rushwa tena!!! Ya kuhamasisha wandishi
@adaNahimana-y7b
@adaNahimana-y7b 16 дней назад
Kuna Haja Ya Kilamtu Kuwa Na Silaha ya Kujilinda majumbani.
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 16 дней назад
Baadhi ya wasomi waliokalia ofisi wanalipoteza taifa
@NaomiDanielSumaye
@NaomiDanielSumaye 16 дней назад
Pole sana
@KheiriBafadhili
@KheiriBafadhili 16 дней назад
Pole sana
@magejuliani5293
@magejuliani5293 16 дней назад
Pole sana
Далее
KUMBUKIZI YA MIAKA 24 YA MWL J K NYERERE NA SENSA
19:53