Тёмный

KUMEKUCHA-KUMEKUCHA DIMWA AMTAJA OMO KWA JINA KURA YA MAPEMA"UKIJA NA MGUU SUPU TUNAKUJA NA BOFLO 

Tifu Tv
Подписаться 27 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@OmarJuma-og4kd
@OmarJuma-og4kd 7 дней назад
Dah.....CCM ovyo Sana Muogopeni Allah mnapupa ya Dunia mmesahau mauti mnazani mtaish milele poleni sana
@bukhanmohd456
@bukhanmohd456 6 дней назад
Namshaangaa muislam yeyote anaekubali kusalishwa na imamu ambae ni mshabiki wa CCM Kwa upande wangu haitowahi kutokea maana mimi c mnafiki wala cna chembechembe za unafiki wala cna ushirikiano wa aina yeyote nao rabda nicmjue simshawisi kuniiga ila nachunga uislam wangu CCM naijua A_Z na Sera zao haziendani na maslahi ya akhera yangu...🙏
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 7 дней назад
Dokta Shein ni nani nyinyi nyote munajiona muko safi lakini kumbukeni wangapi walikuwepo sasa wako wapi sasa Nyinyi tumie ubabe na Allah ndiye mwenye uwezo huo jifanyeni muko safi iko siku mutaingia kwenye mikono ya Allah poleni sana kwa Dhuluma munaoifanya
@rashidramadhani9264
@rashidramadhani9264 7 дней назад
Wizi mtupu. Safar hii musitarajie km mutatoboa. Labda mutuuwe sote.
@Sheba4651
@Sheba4651 День назад
Msifikie huko.
@Amini-aliAmini
@Amini-aliAmini 7 дней назад
Hahahahaha omo chonde usije itikia wito wawo wakutaka utie saini ya kushindwa
@allyhamad4344
@allyhamad4344 7 дней назад
munaijuwa kweli zima au ndio mnazani ndio mutaishi milele hapa duniani
@MohammedAlHanaei-f1y
@MohammedAlHanaei-f1y 7 дней назад
Lazima useme hivyo," kura ya mapema ni lazima". Kwa kuwa nyie ni wezi na waauwaji. Sio mwaipenda Zanzibar na raia wake. Lakini In sha Llah, 2025 ndo mwisho wenu wenye laana. Ujinga Ujinga huo basi. Hasbi Llah alaykum waniima al wakil.
@baraghash4964
@baraghash4964 7 дней назад
Hakuna mkate mgumu, mbele ya supu Vita ya supu na boflo tutaiyona uchaguzi huu.
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 2 дня назад
DAAH KUNA WATU HAWAMUOGOPI MUNGU NAONA NI HAWA CCM😮😮😮😮😮
@SoudAli-i5l
@SoudAli-i5l 7 дней назад
Tutaona tukijaaliwa
@SuleimanMuhamed-it8bj
@SuleimanMuhamed-it8bj 7 дней назад
Hatuitaki kura ya mapema tunakula sahani moja na nyie
@KomboHamad-e3t
@KomboHamad-e3t 4 дня назад
Wewe sema uwongo iko siku Allah utajibu
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 7 дней назад
Acheni😂mbinu za wizi hamnauwezo🎉wa kushinda mpaka mupige kura siku mbili
@bukhanmohd456
@bukhanmohd456 6 дней назад
Binafsi ata wake milele hawanikeri maana najua hakika nini kitawapata baada ya kufa kwao🔥🔥🔥 kwani firauni na timuyake waliishi miaka mingapi? na leo wako wapi?
@allyhamad4344
@allyhamad4344 7 дней назад
Ww babu wacha ujina ww ni mwanamme kama unajiami kwanini unataka kura siku mbili au ndio kuimba vizuri kwenu yy ccm
@MakameAly
@MakameAly 7 дней назад
Hapo ni wizi tuu hakuna kura
@NoufelSalim
@NoufelSalim 6 дней назад
Wote woga huo ,😂sasa munaogopa nn? Munapenda dhulma
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y 7 дней назад
Bofulo mlete mkeo mshenzi ww kushinda hamushindi na watu meawapiga msohaya mabunju ccm
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db 7 дней назад
Kumbe watu wasio weza kujaza hata uwanja wa kijisiwa ndui huwa ni wengi ?
@w4058
@w4058 7 дней назад
Mshenzi Dimwa wewe ulipata kusikia Binadam wa maana akaitwa dimwa
@yasserahmed9420
@yasserahmed9420 7 дней назад
Wagonjwa wa malariaaaa😅😅😅😅😂😂😂😂
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 7 дней назад
Mkowengi,mnaogopa,nini
@w4058
@w4058 7 дней назад
Kwenda uko muhuni jambazi wa kura wewe na system yenu nzima ccm Hasbunallah Waniimal Wakiil
@Giulnara
@Giulnara 7 дней назад
sasa uko bara hakuna ao wazee,walemavu na vikosi stupid reason
@mangofish9079
@mangofish9079 5 дней назад
Hawa ya mbayana inawaumbua kwasababu hayo wanayoyasema ni dhahiri na yale wanayo shutumiwa kila siku
@AbdulhaamisSoud
@AbdulhaamisSoud 6 дней назад
DC longido kamaliza maneno ushindi wa CCM ni mpango wa serekali na sio kura za wananchi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 дней назад
msipate tabu Ccm mtashinda kqa kishindo Hussain anachapa kazi vizuri sana ameifanyq Zanzibar iwe kama Dubai
@ZANAMBER
@ZANAMBER 7 дней назад
Achaa uwongo ww paka mweusi
@KhamisSalum-wz8cy
@KhamisSalum-wz8cy 6 дней назад
Jina la mbeto na dimwa wazanzibari mmeyatoa wapi ?
@ZANAMBER
@ZANAMBER 7 дней назад
Nyinyi munatengemea wiz wa kura pumba ww
@salehabdallah4114
@salehabdallah4114 7 дней назад
Wizi na nusu
@WakaWaka-eu9ky
@WakaWaka-eu9ky 5 дней назад
Acha uongp uwoooo mnafik mkubwa weeee mungu atakulipa hp hp 😊😊😊😊
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk 6 дней назад
Wao vikosi wanaotaka wapige ya mapema cku ya pili hatwendi kupiga kura ya jamhuri ya muungano
@NaglaSaid-jn1xo
@NaglaSaid-jn1xo 7 дней назад
Kila siku story hio hio , hebu twambie la maana wewe DIMWA
@AbdulhaamisSoud
@AbdulhaamisSoud 6 дней назад
NENO DIMWA ni nyani laasili linalopatikana ktk misitu ya kongo Brazzaville
@NaglaSaid-jn1xo
@NaglaSaid-jn1xo 7 дней назад
Mh yaani mnawapa rushwa hao wazee ili wakaipigie kura CCM , hakuna hata mtu mmoja mnaeweza kumdanganya , mh mnakumbuka 2015 mlivyotia mpira kwapani? Nyie ni wezi, matapeli , majambazi nyooote hakina DIMWA wala DEMA ,
@KhamisSalum-wz8cy
@KhamisSalum-wz8cy 6 дней назад
Hao hapo nyuma yako asilimia 80 ni wakuja wazanzibari wanataka mamlaka ya nchi yao wewe dimwa kwenu wapi?
@saidkhamis1356
@saidkhamis1356 7 дней назад
Mbona bara hawapigi kura ya mapema wizi mtupu
@haroubhbm5728
@haroubhbm5728 5 дней назад
Kura ya mapema😅😅
@user-nt3my1jf9t
@user-nt3my1jf9t 7 дней назад
Yaan huyu hata kuongea hajui aongee nin maskin dah Dunia ni mapito sana ipo siku utakuja kujuta dimwa ndgu yangu Tena ukiwa hapa hapa dunian mana Kuna wenzako weng sana Sasa hv wanajuta
@user-lb8gz5pt3u
@user-lb8gz5pt3u 5 дней назад
Zanzibar hamna kura ya siku mbili
@Ahmarhassan-lk3ms
@Ahmarhassan-lk3ms 6 дней назад
😮
@haroubhbm5728
@haroubhbm5728 5 дней назад
Hamna kitu hapa sio kweli hapo mwanzo kulikuwa hamna ulinzi sio kweli
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp 3 дня назад
Vijitu vyenyewe vichache🎉eti kura ya mapema😂china yenye mamilion ya watu kura one day,znz vijitu laq6kura ya mpm echeni wizi nyie ipo siku mutakufa na mutaulizwa
@user-lb8gz5pt3u
@user-lb8gz5pt3u 5 дней назад
Kura ya mara moja haiwezekan
@MaulidSharif
@MaulidSharif 6 дней назад
Nyie hamna lenu hasa ww dimwa huna lolote la kuwaambia wazanzibar babuu
@MmangaKombo
@MmangaKombo 7 дней назад
Unamdanganya nani wewe tumechoka na utawala wa ccm hamna jipya
@fahmysaid-zw4np
@fahmysaid-zw4np 7 дней назад
dimwa unaongea pumba izo izo kila sikuu wee vip
@user-lb8gz5pt3u
@user-lb8gz5pt3u 5 дней назад
Ccm hamna watu
@user-lb8gz5pt3u
@user-lb8gz5pt3u 5 дней назад
Kura moja tu sio siku mbili
@ramzsule7678
@ramzsule7678 6 дней назад
Baba angalia mbele IPO siku utaitwa marehemu
@Grataaaaa
@Grataaaaa 7 дней назад
ilo domo lake kama finiko la choo
@Idoman493
@Idoman493 5 дней назад
Hanisi La Wapi Hili?
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 3 дня назад
Mkundu
@MaulidSharif
@MaulidSharif 6 дней назад
Hamja shinda kipindi mna nguvu mshinde saivi watu washashtuka tena
@KhamisMakame-o8b
@KhamisMakame-o8b 7 дней назад
Hujapendekeza vutulako lipigwe mapema
@nassorhassan7288
@nassorhassan7288 7 дней назад
😅😅😅
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 дней назад
Hamuiwezi kamwe Ccm mtabakia na ruzuku tu kuleni
@Hassanali-sq2dm
@Hassanali-sq2dm 6 дней назад
Yani apigwe Tena ndo amani hiyo wanatangaza amani huku wameficha mapanga
@delasdiego6537
@delasdiego6537 6 дней назад
Mnazima kwer hasa sio uongo na mnawasha na ujani Jidanganyeni tu sisi kama wazanzibar tunasubiria hizo boflo kenge ww
@aliomar9763
@aliomar9763 6 дней назад
Ww huna mapenzi na zanzibar una mapenzi na tumbo kwa kauli zako
@WakaWaka-eu9ky
@WakaWaka-eu9ky 5 дней назад
Onesheni watu waliohudhuria bas mnaficha nn ushalaaniwa ww lanatu wwahi dimwa umeka uwakilishi mpendae huna moja ulilolifannyaaa
@saidsaid548
@saidsaid548 4 дня назад
SAW TUIONDOE KURA YA MAPEMA ILI TUSHINDI MCHANA KWEUPE CCM NI CHAMA CHA WATU.
@salehbakar-e3x
@salehbakar-e3x 6 дней назад
Kwn uyo sheni ni nan
@SaidHassan-ot3un
@SaidHassan-ot3un 6 дней назад
Sisi tumeshaiandaa supu tunasubiria hizo boflo tuzitafune.Hata kujibu haujui
@Manyotasuleiman
@Manyotasuleiman 6 дней назад
Kura ya haki dimwa huna uwezo wa kushinda
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 7 дней назад
Wazanzibari wote wamekukataa wewe Dimwa na chama chako CCM hamna jipya fanyeni musepe
@salyali7807
@salyali7807 7 дней назад
Laanatullah
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 7 дней назад
Znz,kura,siku,mboli,wizi,mtupu
@KhamisSeif-t3d
@KhamisSeif-t3d 6 дней назад
Wee Mjinga kuwa na akili siasa za kutukanana zimepitwa na wakati
Далее
MKUU WA MKOA PEMBA ATOA HUTBA YA AJABU
6:36
Просмотров 14 тыс.
СМЕЛОЕ РЕШЕНИЕ #shorts
00:14
Просмотров 17 тыс.
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
СМЕЛОЕ РЕШЕНИЕ #shorts
00:14
Просмотров 17 тыс.