Simba ebu acheni kutufanya watoto .mwaka jani ilikuwa iviivi kwa mchezaji fulani tukasikia yuko andia. Tena mnataka kutudanganja tena kuhusu mayele duuuu
Mmechoka na sisi habar zakizush kias hik mnafanya biashala au ushamba tumewachoka meshindwa kutafta habali za ukweli mnatuona sie mashabiki wa Simba mazizu