Apostol, namshukuru mungu Kwa ajili Yako umenifungua macho ya rohoni Kwa mafundisho Yako. Nina kiu ya kusikiliza neno la mungu kila siku.am akenyan but follow you from Saudi Arabia
Amen 100 % nimeguswa na somo na nishaelewa Sasa Ni kwanini kwa miaka kadhaa niliishi mkoa fulani na Sasa Mungu kanileta mkoa niliopo.Oooh kumbe ni kipawa changu kinageuka na kukaa katika eneo langu.HALLELUYAA 2021 IS YEAR OF BEING LIGHTENED BY MY TALENT
Like father like son,may the Lord increase you.What a preaching,what a revelation. Thank you man of God,indeed we will never be the same again in Jesus name.
John njase I want to be your brother I live in England I am a son of major 1 please help me my body is weak sun of major one help me I need miracle oil pray for me my body has the man is weak I am son of major 1 4 ECG church
" Hili somo nilifundishwa nikiwa darasa la tatu , bila mwalimu ,ila roho wa Mungu na ndio kiliniongoza , ni somo.la kila siku,dakika,sekunde,hata kinakuongoza. Kutumia njia tofauti au barabara,kipawa kinaenda na muda,. Ni somo la kutisha ,ndio kina beba maisha ya kila siku, Damu ya Yesu ikufunike mtumishi.