Тёмный

Kuna Hoteli Zanzibar ambayo watu weusi hawaruhisiwi kuingia, ni wazungu tu, staa wa South azuiliwa 

Подписаться
Просмотров 22 тыс.
% 259

Aliyewahi kuwa girlfriend wa Idris Sultan na aliyeiwakilisha Afrika Kusini kwenye shindano la Big Brother Africa 2014, Samantha Jannsen amelalamika kukumbana na ubaguzi wa rangi katika hoteli moja huko Zanzibar ambayo amedai inaruhudu wazungu peke yake!

Авто/Мото

Опубликовано:

 

17 авг 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 304   
@amanicharles5456
@amanicharles5456 5 лет назад
ili tuweze ku deal wazungu katika swala zima la ubaguzi,, inabidi tuache kwanza kujibagua wenyew kwa wenyew na tujue thamani ya umoja wetu kwanza..
@king_maik6375
@king_maik6375 5 лет назад
Sio kweli, Hakuna cha ubaguzi, kila hotel Na utaratibu zake, huwezi kuingia kama huja booking, mimi ni mtanzania haswa, Na nilikuwa pale vera club kwa week zilizopita.
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 5 лет назад
Hongera Fredrick uko vizuri mno kwa kutafsiri
@hassaname1298
@hassaname1298 5 лет назад
Sio kwel kabisa na hili hiyo club mimi nimefany kazi alichomaanisha huyo mlizi ni kwamba huwez kuingia bila oda maaluum na wote wanoingia humo wameweka booking kabisa.
@fatmax8710
@fatmax8710 5 лет назад
sawa mm pia nilikua mfanyakazi wa hoteli za mfumo huo ila mlinzi hakujua kujibu alichoulizwa tena mbona zipo nyingi Zanzibar zenye mfumo wa club
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 5 лет назад
Hata rufiji ipo mpaka ubook ndio wanakupokea
@roi2554
@roi2554 5 лет назад
Hii sheria sio nzuri kwa kweli maana sote ni biumbe vya mungu ila watambue tu kuwa na sisi tuna haki zetu pia tukiwa nyumbani ama nje ikiwa tumefukuzwa je, tukienda uko makwao itakuwaje? But this system also itapelekea kuvunja CV yetu na itapelekea wenzetu wengine kuogopa kuja kutalii
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 5 лет назад
Waitaliano wabaguzi mnoo..kwao huwezi kukuta mwafrika ana own hoteli wala duka wala nyumba kubwa. Ni ujinga wetu ndio unasababisha tunabaguliwa na watu wa nchi nyingine nchini kwetu wenyewe..what a shame!!
@lisajackson5867
@lisajackson5867 5 лет назад
jamani tusipende kutukana bila kufuatilia me n mtanzania but sipendi suala l ubaguzi isipokua huyo mlinzi kashindwa kujielezea tu hata huku masaki kuna hoteli moja hiv kuingia hapo lazima ufany bookng ndo uingie hapo s kwa mwafrika tu hata mtu yyte ndo sema huyo mlinz kashindwa kumuelezea vizur huyo dada n akaelewa but angefany bookng unaruhusiwa kuingia
@bennybenson777
@bennybenson777 5 лет назад
*WAAFRICA WENYE KUPENDA PESA ZAIDI KULIKO UTU WAO NDIO WAMEWABAGUA WAAFRIKA WENZAO.* Viongozi wa kisiasa ndio watu wa kwanza kushiriki ubaguzi kwa kuruhusu ujenzi wa Hotel/Club ya watu wa jamii fulani tu. Binafsi sijapendezwa kabisa na huo ubaguzi, na lingekuwa ni suala lililo ndani ya uwezo wangu, nadhani hao waitaliano wangenikumbuka daima 😠
@mumbasag679
@mumbasag679 5 лет назад
Ni aibu sana sana sanaaaa
@seifseif7218
@seifseif7218 5 лет назад
Bado hatujajitambua kaka. Dawa nikuanza kuwashughulikia hao viongozi ambao bado wanaweke mbele maslahi yao kabla ya maslahi ya taifa letu.
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 5 лет назад
Sio tu zanzimba ata horiday inn posta kuna saa msichana ukienda mwenyewe wanakataza sababu wadangaji wanagonga vyumba vya wageni na wazungu hawapendi usumbufu wanakuja nawake zao sometime na familia yan wanachukua nyumba kam ni mwaka au miezi sita kipindi cha summer wako likizo yan wanabooking before so zote zinakuwa zimejaa na wanalipa kwa dora au euro kam nyumba yke kam vile mtu huwezi kwenda kwenye nyumba yamtu tu bila kumjua mtu ni hivyo huyo kijana kashindwa kuelezea na hapo usiku ingekuwa mchana kam kuangalia tu wangemruhusu wataliano wanaume wanapenda sana wasichana wakiafrika ila usiku ukiwa msichana peke yko sio zanziber tu kwenye mahotel makubwa wanakataa ata club zile zilizoendelea sababu yasumbufu
@roccafella9873
@roccafella9873 2 года назад
yes
@hopechidera
@hopechidera 5 лет назад
Jaman hiyi habari inanikera sana😟🙃😣kama kweli watu weusi hawaruhusiwi kuingia kwa hiyo hotel na iko ndani ya TZ inchi ya weusi,inamaanisha watu weusi ndo akili zao hazitaki kutoka ubaguzini; -Kwanza sababu gani watanzania waliruhusu hiyo hotel iwe na hiyo sheria ya racism kwa inchi yao?hata kama ni ya waitaliano nisawa lakini hata rangi zote zingeruhusiwa kuingia,kwani wote wanaingia ndani ni waitaliono tu?mmhh siamini sababu huwezi kujuwa haraka muitaliono na mufaransa au muguriki ngozi yao ni mweupe,in short kabisa ni ya weupe nasi ya weusi. -Pili weusi nao wanakuwa na businesses nyingi ndani ya inchi za wazungu lakini sijawahi kuona au kusikia business ya mweusi akikataza mzungu asiingie by the contrary ni wazungu ndo wanajitenga wenyewe wakiona ni business ya mweusi. Kweli Mungu utujalie tu sijuwi sababu gani kuna watu hawataki #racismizikwe I can not believe this in this century!?🤔 en #2019 vraiment!?iyi itauma weusi wengi,kwanza wazulu watafuatilia iyi kesi mpaka wasikie TZ itaamua nini.
@slimjumakimamba3979
@slimjumakimamba3979 5 лет назад
Iyo hôtel hata wazungu wa kawaida hawaingiii. Hata wazungu wa kawaida hawaingii
@hopechidera
@hopechidera 5 лет назад
@@slimjumakimamba3979 wow! Kumbe ni hatari sana🤔
@alicetitus1615
@alicetitus1615 5 лет назад
South Africans are very sensitive when it comes to racism.
@zainabsige7432
@zainabsige7432 5 лет назад
Yes very true they do not buy that shit!
@mohammedally1108
@mohammedally1108 5 лет назад
But those south African they are most racist people nonsense 😆😆😣😣
@carinoussi70
@carinoussi70 5 лет назад
Walo coment wengi hawajitambui zanzibar hoteli hizo ninyingi zipo hiyo hoteli hatengi waa africa humo mtuyoyote anaingia kwataratibu zao hiyo ni Italy club anotaka kuingia hapo ukafanye booking Italy kwa yoyote yule njooo ni maldive hapa muone pia ipo edenviagg nayo huruhusiwi kuingia bila ya kufanya booking ndani ya Italy
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 5 лет назад
Nimeskia juzi juzi wanasema waafrika tuko chini kabisa kuliko race zote..nashangaa sana watu wanaokubali hii kitu!!!inaumiza sana jmn
@fashiontrendstv3207
@fashiontrendstv3207 5 лет назад
Mimi nashangaa Sana huku ulaya watu weusi wanabaguliwa na wakirudi kwao pia wanabaguliwa na huyuhuyu mzungu sasa MTU mweusi aende wapi ?? Sns do something
@mumbasag679
@mumbasag679 5 лет назад
Very stupid my dear. Wake up Africa
@maryamjuma9816
@maryamjuma9816 5 лет назад
Sasa hiyo hotel ipo ltaliy au ipo kwetu tz hebuuuu mjombaa maguuuuu fanyaa kazi yakoo harakaa
@jancybimetv2856
@jancybimetv2856 5 лет назад
Magufuli akienda watamuzuiya watowe hao mapumbafu warudi kwao
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 5 лет назад
Wao nchini kwao hawataki waafrika waingie inakuwaje pia kwenye Nchi yetu wanaendeleza ubaguzi wao haikubariki hata kidogo
@jp1780
@jp1780 5 лет назад
Sabina Online ukweli ni kwamba wa africa tuko wajinga nawapole sana aje mtu akurusi kwenda kwake pia akurusi uwende jumbani kwako na wewe unakubali? Kama vipi iyo place itiliwe jini na moto acheni kuwa wastarabu sana those white have cross the line!!!
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
MBONA WASIAJIRI WATALIANO WAMEAJIRI WAFRICA
@ashwajeshi1558
@ashwajeshi1558 5 лет назад
Kuna hoteli kama hiyo Malindi Kenya pia. Hata super market kunayo...hawaruhusu weusi. Kuna kingine Nairobi.... Wachina hujaa huko...hawakubali waafrika.
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 5 лет назад
Is high of it Discrimination in own countries to Sad😥
@nancynmbugua7047
@nancynmbugua7047 5 лет назад
Yani mimi sinjui ni seme nini....I can't imagine wazungu how treat us here then treat us in our own countrys. Come on people it's not possible ...you people better do something before it get worse..#254
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 5 лет назад
Mimi na mwenzangu niliwahi kwenda hoteli hiyo ktk mwaka wa kwanza tokea kufunguliwa basi aina ya mapokez na hudumai niliyoyapata "na kwa uzoefu wangu wa kusafiri na kukaa ktk mahoteli", nilielewa palepale kuwa ndio naambiwa kuwa "Hutakiwi ktk hoteli hii na nenda waambie wenzio huku njee".
@joycenahimana6079
@joycenahimana6079 5 лет назад
Mmmh mpaka nashindwa niseme nini ...Acha tusubiri tuone wanaamua nini
@teggertegger3669
@teggertegger3669 5 лет назад
Duh hiyo ni thru zenji mafala sana mie yashanikuta hayo yakuambia sehem ya wazungu hahahahha but mwisho tulitiwa police na hatujaondoka tumeparty kwasana but nilikiona hapo jama lakiume bonge la mtu mzungu anafukuza kwa viatu coz anagaiwa misosi ilobaki hell no but saizi yao mwenyewe kwa wenyewe wanajibagua zenji ubaguzi bado uko wachini wachini
@mwanatz5980
@mwanatz5980 5 лет назад
Hatari heeee! wanaona bora wataliano kuliko wa Africa wenzao yakufungiwa hasa hiyo hotel.
@roccafella9873
@roccafella9873 2 года назад
mambo vp boro ni kweliy but some time hotel inakuwa full mengmet ninamua kuwa hawahiji wageni kutoka nje sio
@agnettakamugisha4984
@agnettakamugisha4984 5 лет назад
Let's not jump to conclusions. We need more information. I believe they misunderstood the guard. I think he said you had to book in Italy, meaning you had to make a reservation in Italy. NOT that Italians only. It sounds like a PRIVATE party of Italians. It could have been any country.
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 5 лет назад
WTF..... Book from italy?????? What about the local people, and others who are not in Italy? Italians private party needs to be in Italy not in my country. Which happens to be the beuatiful island of Zanzibar by the way. I could see if it was a wedding or some kind of a private event. A hotel in Zanzibar halafu ufanye reservation in Italy??????.😳😳😳😳 . That's BS. They need to get the F.... Out of zanzibar Coz I'm sure that shit can never happen in Italy.
@simonnicholask6274
@simonnicholask6274 5 лет назад
Agneta hiyo ni kweli na hawajaanza kukataa Leo ni muda mrefu siku nyingi yaani kiujanla no black guest are allowed in ...only white especially Italians na Hata kama muitally akikuingiza huingii na Wa najua hilo mwenyewe waitaliano...
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 5 лет назад
Agneta acha kuwatetea hawa jamani. Ukiwajua vizuri utaamini icho kitu. Waafrika tunaonaga wazungu ni watu wazuri kweli, but they are not what we think of them. Hawatupendi wanakuja kwetu kwa maslahi not kwa upendo.
@sylvestermgonja8525
@sylvestermgonja8525 5 лет назад
Achen upuuz mmeambiwa hiyo hotel una request directly from italy...so kama we ni black unataka kwenda pale basi nenda italy kwanza uriquest ndo urudi
@dynamite925
@dynamite925 5 лет назад
Nurdini Mndeme umeona eeh
@fatmax8710
@fatmax8710 5 лет назад
tatizo humjui sheria za hoteli zenye mfumo wa clan ndio mnasema hivyo
@rashidrashid9007
@rashidrashid9007 5 лет назад
SYLVESTER MGONJA
@cholloriyamiy8995
@cholloriyamiy8995 5 лет назад
@@nurdinimndeme2912 Tanzania Hatua Mfumo huooo.. Kwetu kila RAIA ana haki ya kuingia sehemu yoyote ktk nchi yake hususani kimbu za starehe.
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 5 лет назад
Jamani jamani Kha! Viongozi wa Tanzania wachukur haraka na waifunge
@biddii1972
@biddii1972 2 года назад
Hawa wezi
@JeremiahAgustino
@JeremiahAgustino 9 месяцев назад
Nipe majibu Kam wamechukua hatuja serikalinijue plz
@salehalkindi437
@salehalkindi437 5 лет назад
lam an Omani Arab born in Nzega Tanzania and l visited Zanzibar in 2004. l was with my unckle in Stone house hotel and we met relatives there from Dar. we decided to go and have coffee at anothet hotel. We went to a new hotel there and while entering a shabby gate a lady at an entrance gate called us and said you are not allowed. Having understood the scenario because of my vast experience world wide l said to her " be careful we just want to have coffee and we are Arabs or terrorist"! my colleagues were suprised and all of them were against my action except one. The gatekeeper conspicuously from mainland went inside and in around 5 minutes she came and told us each coffee is 30 thousand shs and at that time it was astonishing amount. l agreed and we went in we took our coffee and no wa was there apart from the one who served us. Suprisingly, when l asked for the bill l was told it is complementary. Thus this is not new in Zanzibar and the authorities are buzy with their Zanzibarism.
@samirnaty8774
@samirnaty8774 5 лет назад
We pia kati yao unabagua mpaka lugha
@redscorpionboy2189
@redscorpionboy2189 5 лет назад
Kua Malaya wa IDRISA SULTAN HAITOWI RIGHT YA KUFANYA UCHAFU ZANZIBAR - Hotels, restaurants and clubs have their own rules, written as well as ... Hanging a sign on the door saying 'Right of Admission Reserved' Lazima ifuatwe pia
@teychriss3248
@teychriss3248 2 года назад
Ajabu Sana! Na viongozi wapo! Hii ndiyo tabu ya viongozi wa Africa kushobokea wazungu kiasi tunanyantasika!! 😠😠😠
@perpetuapallangyo5714
@perpetuapallangyo5714 5 лет назад
Nimefanya kazi na Vera club miaka ya nyuma kidogo kama 14 years sasa lkn hapakuwa na hiyo hali why now?? Ni mbaya mnooo ina maana na Staff wote ni Waitaliano wenzao???
@mumbasag679
@mumbasag679 5 лет назад
It might be. Waibebe na kuihamishe hiyo hotel, coz they are in Africa surrounded by BLACK people
@roi2554
@roi2554 5 лет назад
Inamaana hata akija lil wayn ama anko magu wanafukuzwa? 😂😂😂😂Nataka jibu
@mdachiog5211
@mdachiog5211 5 лет назад
Haaaahaaaaa
@salumjuma3152
@salumjuma3152 5 лет назад
It’s true hii hotel wanasema ni kwa wataliana tu mie pia niliwahi kuenda na familia walikataa tusingie na nyengine ipo pongwe pia jina limenitoka lakini wao hizo hotel ni kwa wataliana tu
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 5 лет назад
😡😡😡😡😡😡
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 5 лет назад
Mgerumani au mrusi pia haingii 🤭
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 5 лет назад
Ubaguzi wa watu weusi na hoteli iko africaine😂😂
@Nassra_alzakwani
@Nassra_alzakwani 5 лет назад
I can’t believe this. I think there is miss a big understanding or someone is looking for attention
@papawaroma
@papawaroma 5 лет назад
Atuwa Mara moja wapi CCM?
@kidafrica_25
@kidafrica_25 5 лет назад
ata uyo mtaliani mwenyee akitaka kuingia kwa style iyo aruusiwi,sawa ni oteli ya kitalini lakini aimaanishi kwamba muafrica aruusiwi mana uko itali pia waafrica wapo tatizo uyo binti alitaka kuingia kwenye oteli kama anaingia guest,izi oteli its about booking through agency sio kwenda kuongea na gate man ahahah atlist pia ungemwambia unataka kuenda resaption ungepata maelezo zaidi istoshe uyo ni mlinzi anajua kulinda tu sio ishu nyengine sasa wewe unamuuliza hii oteli airuusu waafrica ulitaka akujibu vp wakati yeye anaona wageni wataliani tu mda wote maelezo mazuri ungepata resaption sio kwa gate man ahahah
@queenwinnie256
@queenwinnie256 5 лет назад
Kabisa unafanya booking sio uingie kuangalia,
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 5 лет назад
Sasa utazuiaje mtu getini kabla hajafika hapo reception kupata hizo informaton and dirctions zinazotakiwa? Kama ni mlinzi kawekwa kuzuia wahalifu sio wageni wanaokwenda, ilikua amuache afike pale ambapo angepewa maelezo kamili na mtu ambae wangefahamiana lugha. Communication is the key
@dn.n4983
@dn.n4983 5 лет назад
Tena washikiwe haraka sana nikija rasmi nije wanifukuze nitumia cnn hawa wako sawa kwani wako kenye nchi yao kama hawataki wafungiwe kabisa
@Chalu_Dallas
@Chalu_Dallas Год назад
..me kwa upande wangu ipo swa tu tena ipo swa sana..
@biddii1972
@biddii1972 2 года назад
Watanzania sisi niwabishi san tunashindwa kuelewa kua nchi yetu bado niya wazungu na kabisaaa tunajiona et sisi tuko huru bado wazungu wanatutawala san ona hii tuna nyanyaswa na nchi yetu harafu ikifika siku ya kusherekea uhuru et tunashangiria, dah mungu tulikukosea nini sisi watu weusi mbona umetuacha ivi
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 5 лет назад
Mungu wangu sasa nikweli weusi hawaingii! Mungu wangu! Kama nikweli wazungu wauwe uwe weusi walioko uko kwao maana si wenyewe tuna jizarau
@queenwinnie256
@queenwinnie256 5 лет назад
Sio kweli hotel za Zanzibar zinautaratibu hasa kwa nyingi, fanya booking online unaenda kama mgeni wao, hiyo aliyoendanayo style sio tena vera wanawageni wao wanatoka Itali moja kwa moja tena wengi ni zaidi ya 500, lkn kwa getini hata angekuwa mzungu asingeingia,
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 5 лет назад
@@queenwinnie256 mmmmhh acha kutudanganya
@queenwinnie256
@queenwinnie256 5 лет назад
@@eneolatukio8493 nenda na bravo kama utakuta mgeni mwingine zaidi wa cio, tu hapo hakuna kiingeleza wala kifaransa,
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 5 лет назад
@@queenwinnie256 sasa huoni huo ni ubaguzi wazi wazi. Kwao mtu huwezi kufanya ivo
@mtuhuyu8702
@mtuhuyu8702 5 лет назад
Anatafuta Kiki Tu huyu , ye hakuwa Mgeni wa Vera Club (sio hoteli za kuingia na kuuliza kama chumba kipo na wakakutizamia, ni club lazima ufanye Booking kwao Italia mapema). Sasa ye nakuwa Mgeni wa humo ila alitaka kuzamia tu kwenye party ya watu..... (Sio Kama nawatetea wazungu , ila Kwa hili tunawaonea.
@mtuhuyu8702
@mtuhuyu8702 5 лет назад
This is the public answer of vera club: Dear Mrs.Samantha I am the Veraclub Manager on the island of Zanzibar the accident that unfortunately happened to you on the 15th leaves me sorry and regretted because it is absolutely not the policy of our company to make customer distinctions within our clubs. I would just like to explain to you if it gives me what the practice we usually ask those who want to join our club in Nungwi. Having the club the all inclusive formula we require all people who want to use our services: bar restaurant rooms, to pass through the reception where it is registered as happens in all clubs where guests do not pay their drinks and their lunches in cash or dinners the club, except in overbooking situations, is open to everyone and anyone can have access to the club following the correct procedures. I interviewed the security officer who told me that, unfortunately, when he misunderstood what she was asking him, and what he meant to explain to her was that there were only Italian customers present at the club. it is a very serious lack on our part not to have ensured that all the personnel were able to give the exact explanations in case of necessity but I assure you that we are aware of being guests in a friend country that does not absolutely grant cases of racism. We have inform also the Honorable Minister Of Tourism mr.Mahmoud Kombo And we have explain him all the situation. I apologize for embarrassing all the Zanzibar authorities but I hope you can understand and believe in our good faith and take this opportunity to officially invite you if you were still in Zanzibar in our hotel and could offer you an apology in person. hoping for your answer, I offer you my profound apologies and my wish that what happened did not ruin your vacation
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 5 лет назад
Wameandika wapi hii tafadhali?
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 5 лет назад
I think it's a communication issue😃
@mumbasag679
@mumbasag679 5 лет назад
No dear, it had happen
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 5 лет назад
@@mumbasag679 very sad.
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 5 лет назад
Kutoa taarifa jambo moja lakini kuzifanyia tafiti taarifa zako ili unapotaka kuzitoa uwe na nafasi kubwa ya kuelezea na kutoa maoni ni jambo jengine. SnS mmefeli kutoa maelezo ya kitafiti na yenye uhalisia wenyewe mlichokifanya ni "copy & paste only" kwa upande mmoja unaoonekana umefanyia ubaguzi. Mm ni Mtz ila, lazima tuwe tunautafuta uhalisia kwa utafiti, hakuna atakayekubali mgeni kumbagua mwenyeji akiwa kwao inawezekana kuna masuala mengi hapa hasa, kuharibiana kwa makampuni, tricks za kisiasa baina ya Z'bar na Tz bara hasa kwenye suala la Utalii kutaka "staircase" ya kuingizwa kwenye suala la muungano, core cause ya kupiga hodi katika kuikagua kwenye hii sector ya utalii. Sometimes, vyombo vya habari vinatumika kupaza sauti ya kupiga hodi conspiracies za wengine, haya mambo yanaeleweka.
@paschalmatay6024
@paschalmatay6024 5 лет назад
Naunga mkono hoja yako ingependezza zaidi waulizie upande wa hotel wajibu tuhuma hizi ndo ziwekwe mtandaoni maana unaweza kuta mtu mwenyewe english inapiga chenga kidogo hajawaelewa vizur
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 5 лет назад
Paschal Matay; Exacly, inawezekana ikawa ni tatizo la lugha, kijana alitaka kutafuta namna ya kufupisha maelezo juu kumjiibu huyu sister ndio akaona ni sahihi "kumpiga lock" ya kwamba, kuna watu maalum ndio wanastahiki kuwemo ndani ya hiyo hoteli. So, media zinakimbilia kupost habari ambazo ni "unresearchable" kutafuta views, that's why wanashindwa kueleza kiundani taarifa hizo, wanachofanya ni "copy and paste" dakika 3 zinaeleza habari za ubaguzi ndani ya hoteli nonsense!!!!! Watafute matukio mengine yanayofanana na hili la sister ndio wawe na nguvu ya habar zao. Medias zinapotosha jamii.
@roccafella9873
@roccafella9873 2 года назад
huwezi tuu kesma tu hotel ifungwe sio yeye hajaitwa sio
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 5 лет назад
Waziri wa utalii ni wa muungano?
@rahelmilami1271
@rahelmilami1271 5 лет назад
daaaaaa sisi waafrica tunasarauliwa sana
@helenajusto2254
@helenajusto2254 5 лет назад
sawa hiyo hotel ichukuliwe hatua lkn pia mbona kwao nao hawawataki waafrika wenzao?tena wanawaua kabisa
@muthegreat3667
@muthegreat3667 5 лет назад
Duh yani nchi yetu alafu tunaletewa ubaguz warangu aiseee .
@marcokosei3474
@marcokosei3474 5 лет назад
naunga mkono sana alicho kifanya huyo Dada ,maana mtu anakuja kuwekeza badla yake analeta ubaguzi wa rangi kwenye nchi ytu tulivu
@blueeconomy7208
@blueeconomy7208 Год назад
Wazanzibar tumebaki kutizama tu mana hatudhani kama Serikali yetu itaweza kuchukua hatua yoyote
@halimatanzania645
@halimatanzania645 5 лет назад
Mnaligundua hilo leo Zanzibar kuna hotel nyingi watu weusi hawaruhusiwi kuingia kiukweli inasikitsha Sana
@krisjonas6561
@krisjonas6561 5 лет назад
🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️ I can’t believe this
@Nassra_alzakwani
@Nassra_alzakwani 5 лет назад
Simba wamorogoro me too
@simonnicholask6274
@simonnicholask6274 5 лет назад
Ni kweli
@Nassra_alzakwani
@Nassra_alzakwani 5 лет назад
Simon Kinabo Nimefatilia na kuapata jibu kutoka hotel manager. But its voice. Anyone interested to hear it send me your whatsap no na ntawatumia
@simonnicholask6274
@simonnicholask6274 5 лет назад
@@Nassra_alzakwani ok
@maryakinyi6672
@maryakinyi6672 5 лет назад
Na hoteli iko katika ardhi ya africa ya watu weusi jamani
@smartson8234
@smartson8234 5 лет назад
Haaah!! Nasikia nini hiki!!!!
@m-jay2840
@m-jay2840 5 лет назад
God no please can’t be true In Africa black people country Ivi president john magfuli is ok with that even him not allowed to enter that hotel in a country his leading Lord have Mercy
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 5 лет назад
Mbona mambo hayo yako zanzibar mnashangaa mnaongea kwa sababu mtu wa South. Ubaguzi Upo kwa sababu wanyonge wa zanzibar hawana say. Mie mzaliwa zenj na nimefanya kazi Najua yote. M umeanza nyie wabara ubaguzi na kutawala nchi kuwaonea wa zanzibar mnategemea nini.
@shuweynalove3622
@shuweynalove3622 5 лет назад
Kweli kabisa na sasa wanawambia mawaziri wao wachukue hatua wanajifanya wamesahau kama znz kuna raisi wake na mawaziri wake
@noelgasto7989
@noelgasto7989 5 лет назад
Ndugu zangu bara na visiwani sisi sote n ndugu nawaombeni acheni mawazo hasi juu ya muungano huu
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 лет назад
Nchi yetu tenaaa loooh waende hukooo kwakooo watuachie nchi yetu
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 5 лет назад
Umeona ee
@dayana5513story
@dayana5513story 2 года назад
Nikweli kabisaaa hasa kiwengwa kunasehemu uwezi ingia bc wewe nimweusi
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 лет назад
Hata Kenya kuna no go Zone for black pipo Africa imerogwa na nani
@eddimalon6051
@eddimalon6051 5 лет назад
Hawo wazungu wabaguzi kwenye nchi yetu kiboko yao ni Magufuli tu, hakuna mwengine. mjulisheni Magufuli tunaona kazi yake.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 5 лет назад
Yeye. Mwenyewe mbaguzi hapendi Watu wa bwani na waislam Ndio maana kawafunga wengi magerezani hususani wazanzibar na watanga Sasa ni sawa Tu. Ukimbilie Wapi Wakati Wakati zanzibar mshaitawala nia tuzaliane na nyie Sana ili asili yetu ipotee na mtu change dini na kalcha zetu basi. Kama huwaimini ninayo sema kama na nyie Wabaguzi safiri na boat zenj nchi moja ukifika dar una seachiwa kama mabegi kwa mikono Wakati zenj limeangaliwa na michine Ndio nini. Kama nchi 1 kweli yote hayo ya nini kudhalilishana. Maji ya zenj hayendi dar hata sukari kama sio ubaguzi nini hamuini au Ndio nyani haoni kundule
@eddimalon6051
@eddimalon6051 5 лет назад
@@ukweliunauma4570 Sawa kaka nimekuelewa vizuri sana, tunabaguana wenyewe kwa wenyewe tena vibaya sana. Lakini tusikubali watu wengine kutubagua ndani ya nchi yetu. kwenye nchi zao wanatubagua vibaya sana. basi mpaka kwetu, hatari. Wanataka nini jamani?
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 5 лет назад
@@eddimalon6051 nia tufe sote wachukue nchi kama newsland America na Australia mfano wake
@eddimalon6051
@eddimalon6051 5 лет назад
@@ukweliunauma4570 Subhana lwah. Kasheshe.
@bennyasseralfred7139
@bennyasseralfred7139 3 года назад
Labda kunifitu viko nyuma yabazia kwenye hio hotel. Si kawaida watubague na kutuzarau mpaka na kwetu! Hip aiji akili kabisa
@mayco-channel__1
@mayco-channel__1 5 лет назад
Duh😇😇 Nchi hii au mbon sielewi
@nessa4899
@nessa4899 5 лет назад
Magufuli yuko wapi katika jambo hili
@ashanalinga8719
@ashanalinga8719 5 лет назад
Zanzibar Kuna Rais wao na Tanzania bara ndo Kuna magufuli
@rihammoosa9213
@rihammoosa9213 5 лет назад
Sasa magufuli akatete wajinga vp 😂
@maryamm7765
@maryamm7765 5 лет назад
Makubwa basi nyinyi kwa nyinyi mwajibagua si kazi hiyo
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 5 лет назад
Millard huu ni uzushi kwanza verde haipo nungwi na huyo aliezungumza muhudumu analafidhi ya kiithiopia na waziri anehusika na mambo ya utalii I Zanzibar sio kingwangwala waziri wa utalii Zanzibar ni Mahmoud thabit Kombo acheni uzushi kwani zanzibar ni nchi inayokitegemea wanaamua mambo yao wenyewe
@paschalchristopher5711
@paschalchristopher5711 5 лет назад
Nyie ndio wale watumwa Wa wazungu Zanzibar, Zanzibar haina mamlaka yake binafsi asikudanganye mtu mnaongozwa na bara tena kulingana na saizi ya ardhi mnapaswa kuwa wilaya sio hata mkoa, eti nchi nyoo
@leylahley3542
@leylahley3542 5 лет назад
Duuuh..mtihani
@rozeypwizzy6472
@rozeypwizzy6472 5 лет назад
Ingekuwa TANGANYIKA bac ingefanyiwa hatua lkn huku Zanzibar hamna lolote litakalochukuliw na serekali ndo maana tukaitwa mdobwedo.. dah nataman rais Mh J P Maguful angekuwa rais wa Zanzibr tungeinyoi sana..
@nureyna629
@nureyna629 5 лет назад
Hahhaaa eti mdebwedo😂
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 5 лет назад
Kwani si raisi wa Tanzania akitaka anaweza kama anavoweza kucontrol mambo mengine ya Zanzibar, lakini na akae huko huko zanzibar hatumtaki mkoloni mweusi na yy.
@shuweynalove3622
@shuweynalove3622 5 лет назад
@@AP-uk3mq hahaaa wasije wakatutawala
@djmeza411a58
@djmeza411a58 5 лет назад
Hiyo hotel ifungwe
@samanthaali873
@samanthaali873 5 лет назад
Duh
@zaharadaffa6851
@zaharadaffa6851 5 лет назад
Dah
@chuwimkali547
@chuwimkali547 5 лет назад
Kigwangala hausiki na zanzibar.hapo anausika mahamod dhabig kombo waziri muusika wa utalii zanziba
@lmdos4382
@lmdos4382 2 года назад
Waafrica ni watu wa ovyo sana, kazi kulia lia tu
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 5 лет назад
Duh mimi sizivopenda ubaguzi asee ila trust me upo umejaa wahindi,waarabu ndo wakwanza kabisa mimi nina ushuhuda
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 5 лет назад
Mahmoud Thabit Kombo ndio waziri husika na sio Khamis Kigwangala huku zanzibar tuna waziri wetu wa Utalii
@smartson8234
@smartson8234 5 лет назад
Haya mwambieni afanye kazi yake.
@smartson8234
@smartson8234 5 лет назад
Tena haraka iwezekanavyo.
@smartson8234
@smartson8234 5 лет назад
Nakuja huko weekend ijayo.
@ashaali7154
@ashaali7154 5 лет назад
Kwa hiyo haya anayajua na hajafanya chochote na bado munasema muna waziri kweli shame on you.
@abdulshakurjumbe4116
@abdulshakurjumbe4116 5 лет назад
@@ashaali7154 ...musikurupuke kwa vitu musivojua undani wake.Zanzibar hakuna ubaguzi wa rangi...Kila hotel inataratibu zake.zipo hotel zinapokea wageni wakushtukiza ambao hawana booking yaani walk in guests na zipo hotel hazipokei hao walk in guests hususan ikiwa ipo full book na kila hotel inakuwa na burdan kwa ajili ya wageni wao wa ndani ya hotel.Hiyo vera club hotel ni hotel yenye soko lake kwa wataliano tu yaani wao wameamua wanachukua wageni wataliano ambao wanaletewa moja kwa moja na makupuni ya italy.Humo ukiingia humkuti mtalii mmarekani,muingereaza wala taifa jengine zaidi ya Italy na huo sio ubaguzi ni marketing policy ya hyo hotel.Tatizo ni mlinzi kukosa ueledi wa kumfahamisha huyo Dada.
@magrethjames6811
@magrethjames6811 5 лет назад
Hata Tanga ipo hawaruhusu waafrika kuingia ni wazungu tu.
@ramabendera8183
@ramabendera8183 5 лет назад
Tanga seemu gani
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 5 лет назад
Sasa huu ni wazimu wa waAfrica wenyewe msilaumu mzungu.maana kama walikua hawajaachiwa wasingefika huko ama sio?
@mkabesamaashao6805
@mkabesamaashao6805 5 лет назад
🙆🙆🙆🙆🙆🙆
@mkabesamaashao6805
@mkabesamaashao6805 5 лет назад
@@AP-uk3mq kweli kbs . Mmmmm inasikitisha. Sijui lkn maana utakuta waliingia kwa mkataba tofauti na wanachokifanya. Tusiongee sana labda inaruhusiwa kisheria
@salmaothuman9762
@salmaothuman9762 5 лет назад
😳😳😳😳😳mmh makubwa haya
@kautharjadiyd9175
@kautharjadiyd9175 5 лет назад
Uongo uongo sikweli uyo dem amekosea utaratibu tuu
@ashaally7593
@ashaally7593 5 лет назад
Sasa kma ni uongo ww mwenyew ungejuaje kama ni hotel ya namna hiyo acha fikra finyu
@fatmax8710
@fatmax8710 5 лет назад
@@ashaally7593 Hamna fahamu sio hawaruhusiwi watu weusi ila zile hoteli zenye mfumo wa club huwa kinachukua oda moja kwa moja kutoka itali na wakifika pale hoteli inakua imejaa kwaio hua hawachukui wageni wengine kutoka nchi yoyote sio watu weusi peke yake ila uyo mlinzi hajaijua kujieleza tu.mm ni mmoja miongoni mwa wafanyakazi wa hoteli za mfumo huo
@kautharjadiyd9175
@kautharjadiyd9175 5 лет назад
@@fatmax8710 mwambie uyo bongo zozo apo ni wataliano tu ila watu weusi sisi wakati mwengine tunapenda lawama MTU atahajui utarabu anasambaza uwongo
@iddageorge1877
@iddageorge1877 5 лет назад
Ndio
@mkabesamaashao6805
@mkabesamaashao6805 5 лет назад
Amekosea wkt amerekodiwa, wee vipi mpaka ufungwe mnyororo ndio utaamini
@evelyinipaja1202
@evelyinipaja1202 5 лет назад
Na huyo mfanyakazi kweli kabisa anakubali kufanya kazi kwenye hotel ya jinsi hii?!!
@ramabendera8183
@ramabendera8183 5 лет назад
Ulitaka aachekazi
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
Hivi unasahau watu Wana teseka hakuna Kazi mtaani
@zulfaabdallah3217
@zulfaabdallah3217 5 лет назад
Nchi yetu wenyewe bado tunatawaliwa
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 3 года назад
Hata meseran Arusha wana huo mchezo
@rihammoosa9213
@rihammoosa9213 5 лет назад
Mm nimefurah kutolewa wajuwe km hela haifany kila kitu😂😂😂😂 wajistir looooh nenden zenu huko
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 5 лет назад
Ufunge hiyo hotel
@blueeconomy7208
@blueeconomy7208 Год назад
Yani bro hilo jambo lipo kabisa
@queenwinnie256
@queenwinnie256 5 лет назад
Ndio zipo nao ndio taratibu zao, ni kweli na hao wanaepusha usumbufu na makabila mengine, hapo sio weusi tu hata wazungu makabila mengine, na wala na yy ndio usajiri wake ni zaidi ya wageni 500 ni Italia sasa wewe mmoja ukafanye nn??? Hotel zipo nyingi hakuwa na haja ya kuleta zengwe,
@alihaji251
@alihaji251 5 лет назад
Queen Winnie sasa kwanini wasibaki Italy kama hawataki kuwa na malabila mengine ?
@shuweynalove3622
@shuweynalove3622 5 лет назад
@@alihaji251 izo hotel ni za wataliano na serikali ya znz inapata mipesa kibao hata mkisema kazi bure
@mkabesamaashao6805
@mkabesamaashao6805 5 лет назад
Hebu nenda italy ufungue inayoleta waafrika tu uone moto wake.
@queenwinnie256
@queenwinnie256 5 лет назад
@@shuweynalove3622 wageni wao wanatoka itali moja kwa moja ni zaidi ya wageni mia 500, na ukisikia high season kwa Zanzibar ni wataliano mvua zikianza kunywesha hotel za kitaliano zote zinafungwa zaidi ya miezi mitatu, nao ndio biashara yao
@mkabesamaashao6805
@mkabesamaashao6805 5 лет назад
Fyekelea mbali hiyo hoteli na wamiliki wao. Kwa masaa 24. Pamekuwa peupe. Lkn znz kuna Rais analijua hili? Wazanzibar walilinyamazia mpaka anakuja mtu kutambua hili? Why??????? Inaamaana Wa znz bar hawalijui hili?????????? Mmmmmm maajabu haya yanatisha sana. Usalama wa znzbar je haupo? Nashangaa kbsaaaaaa
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 лет назад
MKABESA MAASHAO,,,MAPATO(KODI). AFRIKA NJAA INAENDEKEZWA.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
Really???? Embu baba Magufuli tumbua Hilo jipu
@sashashamsia6894
@sashashamsia6894 2 года назад
Kwamba watu weupe kinyesi chao cha dhahabu ee
@mohamedsasma879
@mohamedsasma879 5 лет назад
If this is what happened please let this man from itally pack and leave our country immediately! We don't entertain that kind of character in and if we leave it to continue they will come to out head nor sooner had we discover than its going to be ltoo late!
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
Nashindwa hata Ku comment doooooooooooh hata Africa wanaunga mukono Trump hawo wanafaa kupewa adabu 😢😢😢
@salhatkarimu5434
@salhatkarimu5434 5 лет назад
Naomba kujua ndio watu weusi hawatakiwi kuingia hapo sawa je waudumu nao watu weupe ama weusi🚶🚶
@fatmax8710
@fatmax8710 5 лет назад
sikiliza hizi hoteli zipo katika mfumo wa club huwa haizichukui oda kama hizi wanakua wanafanya booking kabisa kwaio Italy kwaio wakifika pale hoteli inakua imejaa na ndio maana hawakuruhusiwa kuingia sio kwa ubaguzi jengine wafanyakazi wa hoteli hizo wengi ni watanzania na kama unavojua watanzania ss ni weusi wala hawatubagui maana mm ni mmoja wa wafanyakazi wa hoteli zenye mfumo huo
@rihammoosa9213
@rihammoosa9213 5 лет назад
Hao wadada itakua hawajaelewana
@salhatkarimu5434
@salhatkarimu5434 5 лет назад
@@fatmax8710 ahaa hapo nimeelewa Asante sana kwa kunielewesha
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 5 лет назад
@@fatmax8710 mi sikubaliani nawewe. Haziwezi kujaa kila siku bana..noo noo noo. Mie niko nje ya tz najua huo mfumo wa kubuku. Wao hawataki waafrika na ndio mana wanasema ivo. Wabaguzi wakubwa hao. Inamana akija mtaliano hapo anataka chumba watamnyima?? Noo way
@fatmax8710
@fatmax8710 5 лет назад
kama hukubali basi cha kukwambia subiri serekali itowe ufafanuzi ikiwa kweli.kuna ubaguzi kama unavojua ww
@lareineminah1353
@lareineminah1353 5 лет назад
Uzwazwa tu watu weusi Ukoloni uta isha lini mixuuuuu
@خسنموس
@خسنموس 5 лет назад
Yatakwisha ukwl ukijulikana but uchunguzi ufanyike km kwl.
@queenwinnie256
@queenwinnie256 5 лет назад
Hiyo iko kwa wataliano tu miaka nenda rudi nao ndio utaratibu wao, na sio weusi hata mzungu kabila nyingine haingii nao wanamaana yao, na sheria inajua, na inahudumia zaidi 500 kila siku sasa hapo kuna ubaya??
@خسنموس
@خسنموس 5 лет назад
@@queenwinnie256 amna ubaya
@mkabesamaashao6805
@mkabesamaashao6805 5 лет назад
Mussa unataka ukweli upi zaidi ya kurekodiwa, huyo dada alifanya vizuri kwa ushahidi huo. Ili msiseme ni uongo
@mkabesamaashao6805
@mkabesamaashao6805 5 лет назад
@mussa unakataaa nn na unakubali nn
@خسنموس
@خسنموس 5 лет назад
@@mkabesamaashao6805 but sio poa ubaguzi wa rangi, wote ni wateja wanafaa kuhudumiwa kwn ubaya.
@godfreythomas5315
@godfreythomas5315 5 лет назад
Nikienda kuuwa sitaki lawama
@wisdomkeen3914
@wisdomkeen3914 5 лет назад
Chenyewe jpm atawadanya hawatakaa kuja aminii maishaa😂😂 #choochakike.
@violetmunuo5053
@violetmunuo5053 5 лет назад
i can't believe it eti mzungu mtaliano mkimbizi afu atupangie kwenye inch ya weusi pumbavu tena Zanzibar aise kuna baadhi ya wazungu wajinga san wew hupendi wwus what are u doing in afrik fuck u
@mumbasag679
@mumbasag679 5 лет назад
F*ck them! They better move that hotel and send it to Italy moron
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 5 лет назад
Yeah..fu..k them kwao hawana lolote hawa nishakaa nao
@amphreyjohn5293
@amphreyjohn5293 5 лет назад
Naomba lfatiliwe jamani VIP Tanzania wanatuzoea kwanini sasa
@msodokithesantz1655
@msodokithesantz1655 5 лет назад
Hii hotel kwel ya wataliano haingi wengine tunaijuwa sana hii wataliono watupu wamo